Hata ihungo boys..(st.Thomaa more) miaka ya nyuma 90s to early 2000, ilikuwepo office ya wanafunz ya ULINZI. Ulikuwa ukipelekwa humo...unatandikwa bakora,pushup ,waya na mateso mengine mengi..enzi za wakina jon robert, ndyetabula,Kimanda, revocatus,bonny..nk..wange kuona tu umeenda bwaloni na layer (mafuta ya kulia maharage) na usiwape..balaa lake..utalisikia.....siku moja mwl. Mmoja (a.k.a DUBU) alikuwa mwl. Wa civics..alinikuta saa tano nimelala bwenini akasema nani kakuleta humu toka bweni jingine...nikimwambia nimepangiwa hapa...alinipeleka kule ulinz usiku huo akasema tupigane ngumu ukishinda utoke hapa..na ukishindwa "wafwa" mwl. Dubu. Alikuwa anavifaa vya mazoez...nilipigwa mpk basi...bahat nzur akaletwa muoz mmoja muda huo..ikawa pona yangu...! Hizi shule za boys tatizo sana..baada yakumaliza chuo kikuu bahati nimeenda kampala nikamkuta john robert yuko makerere ..nikamwambia mbona ulikuwa katiri hivyo akasema TUSAMEEHEANE..