Kwanini kwenye usajili wa plate namba za magari hakuna herufi ( i )?

Jofure freeman

Senior Member
May 21, 2018
149
375
Nimekuwa nikifatilia hili jambo kwa muda mrefu ila majibu niliyokutana nayo yasiyo na shaka ni kwamba elfu i, haipo kwenye usajili wowote wa magari hapa tz . Unaweza kukutana na alfabeti zoote ila ikifika herufi H wanairukia herufi i,wanaendelea na herufi j, wajuvi wa mambo naomba ufafanuzi wa hili jambo.
 
Kwa sababu inaonekana kama namba 1?
 
hata 'O' haipo. sababu inaonekana kama 0. 'I' inaonekana kama 1.

Back
Top Bottom