Kwanini kunguru akifa hatoki funza?

sio suala la kuoza tu, kunguru huishi pia maisha marefu kuliko kiumbe hai mwengine yeyote.
 
Mkuu Sio kweli, Uwezo wa kutua katika nyaya za Umeme wenye Power sio kwamba ndio ability hata ww unaweza kuninginginia hizo nyanya za umeme tena high voltage bila kudhurika ni namna tu ya kujua kanuni za umeme
Kwahiyo mkuu ndo kusema kuwa Mr Kunguru ni mbobezi kwenye masuala ya umeme ndio maana hapigwi shoti.?
 
Nasikia binadamu eti ana umeme ndani yake!
Kumbe kuwalilialilia Tanesco wakikata umeme ni uzembe wa wabongo tu maana wanashindwa kutumia walionao ndani yao. Labda ndo maana nchi kama Marekani hawalalamikii haya mambo ya umeme
 
laana ni jambo baya...mzoga usipooza jambo hili linawezaje kuitwa laana??
 
Kumbe ndo mana hata akikaa kwenye Umeme hanaswii kabisa
 
Kiumbe yoyote akifa anaoza then funza wanamshambulia lakini kwa kunguru ni tofauti nimeshuhudia kunguru mfu wengi lakini sijaona funza, huyu kunguru ana nini?!
Simple....ni kwasababu kunguru afugiki
 
Hili nimeshudia sana kwenye plant moja ya umeme,sema ile miguu yake ina magamba magumu ambayo huact kama insulator hivyo umeme hushindwa kupenya.Pia akifa wadudu humshambulia(funza weupe) isipokua inzi ndo hawamsogelei.
Hivi, neno sahihi ni lipi kati ya haya ;


Inzi
Nyinzi
Nzi

Kipi sahihi.?!
 
Nasikia kunguru damu yake.ni acid. Na wala katika maisha yao huwa hawaugui kwasababu ya damu yao kuwa sumu na hakuna mdudu anayeweza kuishi kwenye miili yao. Nasikia wanaishi zaidi ya miaka 100 hao.
True, its abt 200yrs
 
clever


big up nmekupata
 
Kiumbe yoyote akifa anaoza then funza wanamshambulia lakini kwa kunguru ni tofauti nimeshuhudia kunguru mfu wengi lakini sijaona funza, huyu kunguru ana nini?!
..damu yake ni sumu....
 
Ivi sumu aliyonayo ndo inasababisha asinaswe na umeme? Maana namuonaga kwenye nyaya za umeme akiwa anatabasamu!

Hahaha asikudanganye mtu kijana.. Nilikuwa maeneo ya Mwananyamala Hospitali kunguru alitandikwa shoti wanaume wa dar acha watoke nduki. Ishu ni kwamba akikanyaga waya mmoja hakuna shida... Yule alifanikiwa kuzigusa mbili.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…