jem_the_great
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 289
- 158
Habarini wana jamvi..
Nimesikia tetesi hawa jamaa wamevunja kundi lao.. Anaefahamu nini chanzo?
Nimesikia tetesi hawa jamaa wamevunja kundi lao.. Anaefahamu nini chanzo?
Mkuu, ukitaka habari za mastaa wa kinaijeria tembelea mtandao wao wa Nairaland, ni kama JF ya yuko. Ingia jukwaa la celebrities, huko taarifa hii unayoulizia inajadiliwa kwa kina. Watu wako deep sana huko, ila jiandae na pidgin English.
chanzo cha matatizo yote dunianiPesa na papuch
Kumbe Jude ndo chanzo cha matatizo..aisee jamaa kazingua sanaSiku zote mkifanya business kindugu lazima shida itokeee
Kaka yao anataka mali zao wagawane sawa ingali yeye ni just manager wao so Peter akakataa and pia peter anaona management yao kama haiwasaidiii yan kaka yao Jude so akataka wabadil management, paul akagoma.
Hapo ndo shida kubwa ilipo bt huu ugomv upo tangu mda sana coz inasemekana peter ameacha kukaa squareville kama four years