ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,676
Kundi halijavunjika Peter amekanusha vikali kilicho fanyika ni kuhama management
Pesa ndugu yake ni matumizi tuPesa haina undugu
bandugu wakigombana chukua jembe kalimeHabarin wana jamvi..nimesikia tetesi hawa jamaa wamevunja kundi lao.. Anaefaham nn chanzo?

Mambo ya kiki hayoHabarin wana jamvi..nimesikia tetesi hawa jamaa wamevunja kundi lao.. Anaefaham nn chanzo?
Kwa kwelinairaland web system mbaya kweli yani jf is the best