Ha ha aisee kweli unatujua vizuri!
Mkuu una id ndefu kiasi kwamba hata ile icon ya OP inakosa nafasi ya kukaaKawaida mkuu inabidi tuishi nao tu
Hilo jina lako kule kwenu ndio balaa watatamani hata ufe uiache hio gari, watakutukuza na kukuonea wivu mbaya kwa wakati mmoja.....
Huko mbona mbali kiongoz kuna gari ya hadi 1$ (we unalipia usafirishaji na bima tu) ila ukiileta hapa inakuwa nongwa. roho ya kimaskini mbaya sana.Gari kwa nchi kama Tanzania ni anasa ndo maana unaweza nunua gari toka Japani kwa milioni 4 au 5, ukaja kuliipishwa ushuru milioni 12,000,000 au zaidi