acha uchafu wewe hujui zinaoshwaji hizo,Kwanini korodani hata uoge vipi uchafu uko palepale yaani ukokoukoko ambao ukijikausha tu na taulo ukabaki unyevu ukasugua unapata mabujebuje ya uchafu?
Wadau nipeni jibu KWANINI korodani huwa hazitakati?
Unataka ziwe nyeupe kama usoeeeKwanini korodani hata uoge vipi uchafu uko palepale yaani ukokoukoko ambao ukijikausha tu na taulo ukabaki unyevu ukasugua unapata mabujebuje ya uchafu?
Wadau nipeni jibu KWANINI korodani huwa hazitakati?
Au msasa.Stil waya
swadakta kabisa pia pilipili ya unga inasaidiaBaada ya kuoga vizuri paka chumvi yenye unyevunyevu, chumvi hii pia husaidia kuzuia harufu inayotokana na jasho katika sehemu zetu nyeti na hakuna haja ya kupulizia manukato ya kemikali. Utabaki kuwa fresh kwa masaa 24 na maambukizo ya Ngozi utakaa nayo mbali.
Kwanini korodani hata uoge vipi uchafu uko palepale yaani ukokoukoko ambao ukijikausha tu na taulo ukabaki unyevu ukasugua unapata mabujebuje ya uchafu?
Wadau nipeni jibu KWANINI korodani huwa hazitakati?