Msukumakizazi
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 2,595
- 2,069
Sasa mchafu hasaidiki? Leta ushauri badala ya ku condemn
teh teh teh unahisi atakuwa si riziki?Unamaanisha za kwako hazitakati au za wanaume wote? Kama ni za wanaume wote hapo sidhani kama upo sahihi. Ulijuaje kuwa za wanaume wote hazitakati????
Kwanini korodani hata uoge vipi uchafu uko palepale yaani ukokoukoko ambao ukijikausha tu na taulo ukabaki unyevu ukasugua unapata mabujebuje ya uchafu?
Wadau nipeni jibu KWANINI korodani huwa hazitakati?
Huo ni ugonjwa, jaribu kutumia sabuni ya Unga na brush ya kuchania nywele. Uo uchafu utaisha kabisa.
unachokitafuta utakipata. Ngozi ya pumbu haitakiwi kusuguliwa kama unasugua gaga, shauri yako.
We bado kajamaa kadogo kua kwanza tupu mbu twako bado tudogo waachie wakubwa wajadili
Kwanini korodani hata uoge vipi uchafu uko palepale yaani ukokoukoko ambao ukijikausha tu na taulo ukabaki unyevu ukasugua unapata mabujebuje ya uchafu?
Wadau nipeni jibu KWANINI korodani huwa hazitakati?
Kwanini korodani hata uoge vipi uchafu uko palepale yaani ukokoukoko ambao ukijikausha tu na taulo ukabaki unyevu ukasugua unapata mabujebuje ya uchafu?
Wadau nipeni jibu KWANINI korodani huwa hazitakati?
Chukua asali changanya na unga wa tangawisi unapakaa inaicha masa kadhaa hayo magamba yote yatatokaKwanini korodani hata uoge vipi uchafu uko palepale yaani ukokoukoko ambao ukijikausha tu na taulo ukabaki unyevu ukasugua unapata mabujebuje ya uchafu?