Kaka fungus inakutesa hiyo
inadumu mda mrefu sana, ni vyema kwenda hospital ukatibiwe
ikisha kukomaa unabandua huo ukouko inakuachia maumivu maana inakuwa imechukua ile lea laini ya ngozi ya juu
pia hii shida huwapata sana wanaoishi ukanda wa joto kama dar
Itakunyima raha mbeleni sababu itaanza kutoa harufu,
Na hii usababisha pia na kuvaa boksa kwa muda mrefu bila kubadili pia unapokuwa unaoga huwa haukaushi vizuri na taulo
jitahidi kuvaa nguo zisizo bana
tumia sabuni nzuri ambazo zinakuacha mkavu
usirudie nguo
kama unafanya shuguli zinazokufanya unakaa mda mrefu jitahidi utumie kiti kinacho pitisha hewa vyema (Sio kinachotengeneza joto kama cha chuma or plastic)
vijana wengi wanasumbuliwa na hiii kitu huwa hawajui kama ni ugonjwa sababu mnajikuta mnaumwa wengi wengi
but nenda hospital ukatibiwe