Kwanini korodani za wanaume huwa hazitakati?

Tatizo haunywonywi pumbuu
Iyo kitu inaisha ukinywonywa tuu
Ko kuanzia leo hakikisha mkeo au demu wako anakunyonya vzuri ili tupunguze nyuzi kama izii
 
Kaka fungus inakutesa hiyo
inadumu mda mrefu sana, ni vyema kwenda hospital ukatibiwe
ikisha kukomaa unabandua huo ukouko inakuachia maumivu maana inakuwa imechukua ile lea laini ya ngozi ya juu

pia hii shida huwapata sana wanaoishi ukanda wa joto kama dar
Itakunyima raha mbeleni sababu itaanza kutoa harufu,
Na hii usababisha pia na kuvaa boksa kwa muda mrefu bila kubadili pia unapokuwa unaoga huwa haukaushi vizuri na taulo


jitahidi kuvaa nguo zisizo bana
tumia sabuni nzuri ambazo zinakuacha mkavu
usirudie nguo
kama unafanya shuguli zinazokufanya unakaa mda mrefu jitahidi utumie kiti kinacho pitisha hewa vyema (Sio kinachotengeneza joto kama cha chuma or plastic)

vijana wengi wanasumbuliwa na hiii kitu huwa hawajui kama ni ugonjwa sababu mnajikuta mnaumwa wengi wengi

but nenda hospital ukatibiwe
 
Kwanini korodani hata uoge vipi uchafu uko palepale yaani ukokoukoko ambao ukijikausha tu na taulo ukabaki unyevu ukasugua unapata mabujebuje ya uchafu?

Wadau nipeni jibu KWANINI korodani huwa hazitakati?


Una ukurutu peke yako tu jomba
 
Kwanini korodani hata uoge vipi uchafu uko palepale yaani ukokoukoko ambao ukijikausha tu na taulo ukabaki unyevu ukasugua unapata mabujebuje ya uchafu?

Wadau nipeni jibu KWANINI korodani huwa hazitakati?
Ni ngozi Ile. Kutokana na hali ya unyevu uliopo kwa muda mrefu, ngozi inakuwa laini yenye kubabuka fulani hivi.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom