Kwanini kituo cha Mawasiliano kinaitwa Simu 2000?

naona mnadanganyana sasa!
SIMU 2000 ilikuwa ni kampuni iliyokuwa inahodhi mali za serikali wakati wa ubinafsishaji awamu ya tatu ya ben mkapa, hii kampuni ilimaliza kazi zake mwishoni wa awamu ya tatu na kazi zake nafikiri siku hizi zinafanya na consolidate holding corporation wapo pale mirambo st opposite na ofisi za world bank tanzania ,pia nilisikia CHC muda wake wakufanya kazi ulitakiwa uishe mwaka huu wa fedha,pia kulikuwa na kampuni nyingine zinazofanana na SIMU 2000 kama LART, ATHCO
kwa hiyo kile kituo kipya cha mabasi kilikuwa kinaodhiwa na hiyo kampuni inayoitwa SIMU 2000 Tanzania ltd ndio maana bado panatambulika kama eneo la kampuni tajwaa iliyohodhi eneo hilo

hilo swala la vibaka kuiba simu na kuuza shilingi 2000 wapate pesa ua unga ni uongo mkubwa,
unaweza kupata info za kampuni ya SIMU 2000 kupitia tovuti ya ::CHC Homepage::

Nafikiri hili ndio jibu sahihi
 
Mitaa ile nakumbuka sana wanachuo walikuwa wanauziwa simu zao zilizoibwa kwa tsh 2000 na mateja. Ndo maana jina likabaki kuwa simu 2000.na serikali ikakubaliana na hao mateja kuwa simu pale isiwe bei kubwa iwe tsh 2000 tu
 
C&P
.
.naona mnadanganyana sasa!
SIMU 2000 ilikuwa ni kampuni iliyokuwa inahodhi mali za serikali wakati wa ubinafsishaji awamu ya tatu ya ben mkapa, hii kampuni ilimaliza kazi zake mwishoni wa awamu ya tatu na kazi zake nafikiri siku hizi zinafanya na consolidate holding corporation wapo pale mirambo st opposite na ofisi za world bank tanzania ,pia nilisikia CHC muda wake wakufanya kazi ulitakiwa uishe mwaka huu wa fedha,pia kulikuwa na kampuni nyingine zinazofanana na SIMU 2000 kama LART, ATHCO
kwa hiyo kile kituo kipya cha mabasi kilikuwa kinaodhiwa na hiyo kampuni inayoitwa SIMU 2000 Tanzania ltd ndio maana bado panatambulika kama eneo la kampuni tajwaa iliyohodhi eneo hilo

hilo swala la vibaka kuiba simu na kuuza shilingi 2000 wapate pesa ua unga ni uongo mkubwa,
unaweza kupata info za kampuni ya SIMU 2000 kupitia tovuti ya ::CHC Homepage::

Sent using Jamii Forums mobile app
 
labda swali la nyongeza ni kwanini 2000 na si let say 3000

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa mkuu naona wewe umeamua tu kugoma kabisa kuelewa. Hapa tunaongelea kituo cha mabasi Simu 2000. Kwa mujibu wa maelezo ya hapo juu, kuna kampuni ilikua inaitwa hivyo ilikua ikimiliki hayo maeneo na ndio chanzo cha hicho kituo kuitwa hivyo.

Sasa hapa unataka kuhamisha swali kwanini hiyo kampuni iliitwa simu 2000 ltd, hapo hata mimi sijui mkuu.
 
Ila ile stand kuu ni mzuri sana wamejitahidi kuikarabati.. Yaan kama ulaya vile..
 
Sasa mkuu naona wewe umeamua tu kugoma kabisa kuelewa. Hapa tunaongelea kituo cha mabasi Simu 2000. Kwa mujibu wa maelezo ya hapo juu, kuna kampuni ilikua inaitwa hivyo ilikua ikimiliki hayo maeneo na ndio chanzo cha hicho kituo kuitwa hivyo.

Sasa hapa unataka kuhamisha swali kwanini hiyo kampuni iliitwa simu 2000 ltd, hapo hata mimi sijui mkuu.
2000 ni mwaka ilionzishwa hio kampuni kuhodhi mali za kampuni ya simu thus wakaiita SIMU 2000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lile eneo lilikua linamilikiwa na kampuni/shirika la serikali liitwalo SIMU 2000 ambalo lilianzishwa kuhodhi mali za kampuni ya simu kama ilivyokuwa RALCO ambayo inahodhi mali ya kampuni ya reli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sawa, wakati fulani nikiwa field kwa Attorney Genera pale Kivukoni, wana Library nzuri sana, yenye almost kila sheria ya nchi hii.
Siku moja nikipitia mojawapo ya sheria hapo maktaba nilikutana na sheria inayoianzisha hii kampuni ya Simu 2000, ikianzishwa spesheli kwa ajili ya kuhodhi mali za kampuni tajwa.
 
Kuna mtu nilishawah kumuuliza hilo swal ila kamba aliyonipiga nikachoka kabisa.
Alinambia et pale maeneo palikua na wizi sana wa vitu hasa simu kiasi kwamba zilikua zinauzwa aimu kwa dili mpaka shilingi 2000 unaweza pata simu fresh tu.

Sikurudia tena kuuliza awal hilo
 
Uko sawa, wakati fulani nikiwa field kwa Attorney Genera pale Kivukoni, wana Library nzuri sana, yenye almost kila sheria ya nchi hii.
Siku moja nikipitia mojawapo ya sheria hapo maktaba nilikutana na sheria inayoianzisha hii kampuni ya Simu 2000, ikianzishwa spesheli kwa ajili ya kuhodhi mali za kampuni tajwa.
Learned brother...kuna librarian flan pale AG Chambers anaitwa Nassoro....cjui bado yupo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom