Kwanini kituo cha Mawasiliano kinaitwa Simu 2000?

Kwanini kituo cha Mawasiliano kinaitwa Simu 2000?

Hiyo mbona simple tuu. Yaani maana halisi ya Simu2000,.
Simu ni simu kama inavyojulikana, iwe ya mkononi, mezani, tablet, computer au yoyote ile.
2000, hii inasimamia salio, bando, vocha.ili mawasiliano yatimie lazima uwe na kifaa cha mawasiliano na mihela.
Mbona simple tuu.
Simu+2000=mawasiliano.
Mimiuyoooooo.

Ila bange nayo tam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini kituo cha Mawasiliano kilichopo Sinza/Ubungo kinaitwa Simu 2000. Jina hilo limetokea wapi?
Baada ya TTCL kubinafsiahwa na mafisadi mwaka 1999,ilianIshwa kampuni hodhi(holding company) ilioitwa simu 2000,hiyo 2000 ni mwaka ulioanzishwa hiyo kampuni
Majukumu ya kampuni hiyo yalikua ni kusimamia mali zote za TTCL,yakiwemo majengo na viwanja
Hicho kiwanja chote kwenye kituo mpaka jengo la mawasiliano vinamilikiwa na kampuni ya simu 2000
Hivyo basi wakati wa kutoa majina ya vituo,akina mzee mwaibula wakapaita simu 2000
 
jibu lako hili hapa....
Screenshot_20190315-123155.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naona mnadanganyana sasa!
SIMU 2000 ilikuwa ni kampuni iliyokuwa inahodhi mali za serikali wakati wa ubinafsishaji awamu ya tatu ya ben mkapa, hii kampuni ilimaliza kazi zake mwishoni wa awamu ya tatu na kazi zake nafikiri siku hizi zinafanya na consolidate holding corporation wapo pale mirambo st opposite na ofisi za world bank tanzania ,pia nilisikia CHC muda wake wakufanya kazi ulitakiwa uishe mwaka huu wa fedha,pia kulikuwa na kampuni nyingine zinazofanana na SIMU 2000 kama LART, ATHCO
kwa hiyo kile kituo kipya cha mabasi kilikuwa kinaodhiwa na hiyo kampuni inayoitwa SIMU 2000 Tanzania ltd ndio maana bado panatambulika kama eneo la kampuni tajwaa iliyohodhi eneo hilo

hilo swala la vibaka kuiba simu na kuuza shilingi 2000 wapate pesa ua unga ni uongo mkubwa,
unaweza kupata info za kampuni ya SIMU 2000 kupitia tovuti ya ::CHC Homepage::
nimeona niisogeze hapa
 
Sent using Unknown device
 
Shukrani wote mliochangia. Nimejifunza.

Leo mambo ni mengi na muda ni mchache, nikipata muda nitarudi kutoa Likes stahiki.
 
mtani we si mtoto wa mzizima hapa hapa, embu tujuze, wenzako wakuja tometokea kibarashi uko ndani ndani
Hahahaaa. Nshafika huko Kibrashi Mtani. 🙈🙈🙈 Nna ndugu zangu ujue. 😅😅

Mie wa Mkoani Mtani. Dsm nakusikia tu na hata hiyo Simu 2000 nilikuja nikaona gari zimeandikwa hivyo. Nikawa nashangaa simu 2000 ndio nini?
 
Kibarashi ulifikaje fikaje uko meyangu na wewe ni mtembezi kweli kweli.
Jukwaa lako penda sitaki Ku click Uzi wowote mpaka mambo yawe sawa nime lihama kwa mda mtani maana si kwa presha hizi
 
Back
Top Bottom