Nguruwe ni sehemu ya Daku huko Uarabuni ...Kwann nisifurahie Nguruwe ?Sheikh wetu Abdul Yahya Shiraz una lolote la kuchangia?
Nakumbuka nilikukuta pale kazimoto tabata unafurahia hii kitu.
Nani kasema ni haramuKwa sababu ni haramu, vitu haramu havina ngozi
AllahNani kasema ni haramu
hile kitu nitamu mkuu,hakuna sababu ya kutoa na kutupwa ,simple ni sababu inaliwaKwanini nyama ya nguruwe huwa haichunwi ngozi kama ya Ng'ombe au Mbuzi badala yake inatolewa tu manyoya kwa kukwanguliwa?
Yesu alisema vitu haramu ni vile vitokavyo moyoni mfano husuda wivu chuki ulafi nk lakin kiingiacho mdomoni kisha kutoka katika njia ya haja kubwa kisha kuingia shimoni sio najisi ,acheni itikadi za kina musa😎😎😎Allah
Mdudu kafiri😅Wanamwita MDUDU. 😁
Kwa mujibu wa allah hiyo ni haramu.Yesu alisema vitu haramu ni vile vitokavyo moyoni mfano husuda wivu chuki ulafi nk lakin kiingiacho mdomoni kisha kutoka katika njia ya haja kubwa kisha kuingia shimoni sio najisi ,acheni itikadi za kina musa😎😎😎
Mdudu kafiri😅
Sio kwangu, ni haramu kwa allahHaramu kwako bro
Nigeria wanakula ngozi za Ng'ombe na Mbuzi, wanaita "Ponmo". Kuna kundi kubwa pia la WaNigeria hawachuni ngozi Ng'ombe au Mbuzi, wanawatengeneza kama kitimoto tu.Nyama zote tamu na zenye afya kwa binaadamu , Kuku, Nguruwe ,samaki Huwa hazichunwi ngozi. Haya manyama yenye sumu kama ya ngombe ,mbuzi ,kondoo, ngamia ndio huchunwa ngozi kuondoa sumu
YpKwa sababu ngozi yake ina mafuta yanoifanya nyama iwe laini na yenye ladha wakati wa kupika.
Ngozi yake inaliwaKwanini nyama ya nguruwe huwa haichunwi ngozi kama ya Ng'ombe au Mbuzi badala yake inatolewa tu manyoya kwa kukwanguliwa?
Ngoja kwanza nitete na bwana Kimaro.Kwanini nyama ya nguruwe huwa haichunwi ngozi kama ya Ng'ombe au Mbuzi badala yake inatolewa tu manyoya kwa kukwanguliwa?