Mkuu narudia tena pengine wewe ndio hufahamu.
Ukitaka kuhuisha leseni yako iliyoisha muda wake, wakati unaenda TRA kuna option ya kupiga picha upya.
Unawaambia tu nataka kubadili Picha, unaenda wanakupiga nyingine leseni yako mpya ikitoka inakuwa na picha yako currently.
Je, ulishajaribu kufanya hivyo ikashindikana?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Asante sana kwa ushahidiNinafahamu hasa kwenye leseni.
Mfano mimi leseni yangu kwa mara ya kwanza niliipata 2004 (picha za kubandika ilikuwa kipindi hiki), nikiwa na miaka 20.
Nimeshaibadili mara kadhaa kwa kupiga picha upya, tena imekuwa rahisi kwasababu ya mfumo uliopo sasa hivi.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Wameamua tu kukunyima.Hiyo option haipo TRA Millenium Tower Kijitonyama? Mbona nimewaambia mara 2 lakini sikupigwa picha mpya?
Vitambulisho vyote hivyo ni vile vyakirapeli vya mwanzo mudawake ukiisha utapewa Kama changu hakina expire date
Inawezekana vp mkuu ukawa na ambacho hakina muda wa kuisha?
Ulitaka upigwe makofi?umeshaambiwa hiyo option haipo.Hiyo option haipo TRA Millenium Tower Kijitonyama? Mbona nimewaambia mara 2 lakini sikupigwa picha mpya?
Ulitaka upigwe makofi?umeshaambiwa hiyo option haipo.
Mbona unapuyanga!!!??? Tunazungumzia Tanzania, Eswatin inakujaje!!!?? Kwahiyo unatushauri tuhamie Eswatin?Leseni za madereva wa eSwatini/Swaziland hazina muda wa kwisha matumizi kwa taarifa yako. Kwa hiyo usiseme haiwezekani.
Mbona unapuyanga!!!??? Tunazungumzia Tanzania, Eswatin inakujaje!!!?? Kwahiyo unatushauri tuhamie Eswatin?
Mbona Yangachamwene alisema hicho kitambulisho sio cha uraia?Inshort utaifa wako una-expire kila baada ya muda fulani.