Kwanini kitabu cha Enoch kinapingwa vikali na Wanathiolojia?

 
Kwa Kwa lugha ya butiama naweza kuzuia kifo?
 
Mwenye pdf file ya hichi kitabu,Injili ya Tomaso & Yuda anisaidie tafadhali....kikiwa cha Kiswahili kitapendeza zaidi
 
NaOmba PDF
 
Wale waliokua wana compile vitabu mbalimbali kwenye bible waliogopa kukiweka kwakua ndio nabii aliyekua accuracy kwa asilimia mia moja kwakila kitu.Ukikiosoma kitabu chake the way he introduce himself you utashangaa sana I am one of those men that the lord has opened my eyes....

Alafu ndio nabii pekee ambae tunauhakika mwisho wake ulikua ni mzuri baada ya kuishi duniani unlike others.
 
Kuna bonge la kitabu lilitolewa pia lilikuwa linaitwa gospel of Thomas!....... Nafikiri hiki ndo kilikuwa kitabu bora kabisa katika bibilia!.....Sisi wanadamu hasa wa dini ya kikatoliki ni wabaya sana!
Dhehebu lipi lina kitabu hiki? achana kujiita mkatoliki kwani andika yako na lawama zako huwezi kuwa mkatoliki kabisa!
 
tatizo la watu wengi ni mareligious na sio spritual so kuna vitu hawataweza kuvijua maishani ! kuna biblia 6000 huku duniani .achana na hii moja ya mzungu aliyoiframe kwa manufaa yake hapa africa
Exactly kuna biblia ya kirusi inasema watu wakifa watenda maovu watapelekwa kwenye shimo la theluji ya baridi kali sana, tofauti na biblia za Africa kwamba wenye dhambi watapelekwa jehenamu kwenye moto wa milele muzungu inatuchezea kweli?
 
Uislam pia ndio walewale ni dini ya mapokeo ina mapungufu mengi, hapa mimi nina uwezo wa kuorodhesha mapungufu kumi na nne fasta.
 
True. Agenda zote zipo kwenye movies. Na zinakuwa sponsored big na kuoneshwa dunia nzima.

Noah (2014), ina mambo mengi sana ya hayo majitu mnayosema. Avengers zote ziangalie vizuri (sequel kuanzia captain america: winter soldier, Avenger, age of ultron, civil war, infinity war, Thor raknagor, na endgame)

Rudia hata mara tatu, kuna vitu vingi sana utaona.

Every concept ya hayo mambo na kuzimu wamezigusia...tena wakiwataja kwa majina ya sanaa au halisi.

Sent from my TECNO CC9 using JamiiForums mobile app
 
Exactly kuna biblia ya kirusi inasema watu wakifa watenda maovu watapelekwa kwenye shimo la theluji ya baridi kali sana, tofauti na biblia za Africa kwamba wenye dhambi watapelekwa jehenamu kwenye moto wa milele muzungu inatuchezea kweli?
Kusema tu kuna biblia inasema--- bila ya kuionesha biblia yenyewe na mstari usemao hivo,huo ni uvuvuzela tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…