peedee dise
JF-Expert Member
- Aug 11, 2019
- 203
- 124
Hapa ndipo naiona raha ya Uislam. Kitabu kimoja tu kisicho na shaka ndani yake Qur'an.
Qur'an 2:
KWA JINA LA MWENYEEnZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0
1. Alif Lam Mim. 1
2. Hiki ni Kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongofu kwa wachamungu, 2
[/NdoNdo hivo ndugu yangu Mungu si yupo tutaona uko mbeleSi kwamba mimi siielewi Historia,ninachokifahamu mimi ni kuwa kuna tatizo kubwa la watu wengi,hasa Protestants,kuhusianisha Matatizo ya Dola ya Kirumi na jinsi walivyowatesa Watu na Kanisa Katoliki,wanasahau kuwa hata Kanisa nalo lilionja joto la jiwe kwa kupingwa Vikali na Viongozi wa Kirumi,lilikuja kupata Kaunafuu kidogo Mwanzoni mwa Karne ya nne B.K.lkn mateso yaliendelea.Ndio maana unasikia hbr za Wafia dini wa Kikatoliki,jiulize Waliuawa na nani?.Any way kila mmoja achukue Hamsini zake,tutaonana mbele ya haki.