Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,257
- 8,775
Bila samahani, NaelewaPliz samahan sana Gavana
Bila samahani, NaelewaPliz samahan sana Gavana
Unafurahi watu wakikosana, Ndiyo mafundisho ya Kanisa lako hayo?
Acha kutukana tukana kafir kubwa wee kila chaka mkojo unakuumaRoho Mtakatifu wako amekuongoza Kwa hasira??
Unaona leo au umebadilisha I'd unitukane??
Soma post zangu tokea mwanzo , Nani alibadilisha mada
Ukweli mtupu mkuu!tatizo la watu wengi ni mareligious na sio spritual so kuna vitu hawataweza kuvijua maishani ! kuna biblia 6000 huku duniani .achana na hii moja ya mzungu aliyoiframe kwa manufaa yake hapa africa
Kamwambie Askofu wako, Mimi sifanyi hiyo kazi ya mikojo kwa watu kama nyinyi
Hajakukosea alikua anakwambia Ukweli.Unafurahi watu wakikosana, Ndiyo mafundisho ya Kanisa lako hayo?
Hii ni Missology nduguSalam
Katika soma soma zangu na kutafuta ukweli na kumtafuta Mungu wa kweli nikagundua kuna vitabu viliondolewa kwenye biblia i.e non canonical books mfano ni book of Enoch na rest of Ester
Sababu zinazotolewa ni kwamba eti kina verses ambazo wao wanaamini hazikuongozwa na roho mtakatifu.
Nilichojifunza katika kitabu cha Enoch ni juu ya origin ya mtu mweupe (kina eleza Mungu aliumba mtu mweusi ila mtu mweupe alitokana na malaika wenye tamaa i.e fallen angels waliokuwa wakiwaingilia kimwili binadamu). Vile vile kinaeleza juu ya mpinga kristo na siku za mwisho.
Swali langu:
Nini kinachowafanya wajue kama ni hekima za binadamu ukilinganisha na vitabu vingine?
Ni kwanini kilitolewa ikiwa kama hekima za Enoch i.e great grandfather of Noah zilitambuliwa na kutajwa waziwazi na waandishi wa agano jipya mfano Jude?
Ndivyo alivyokuambia Roho Mtakatifu wako?
Tulia kijanaa au mtoto wa ma mdogo wew????Ndivyo alivyokuambia Roho Mtakatifu wako?
Umebadilisha I'd??
Aisee nilikuwa nafuatilia maelezo yako kwa ukaribu sana.Ni hv kwa kifupi tu huko nyuma kuna tukio kubwa sana lilitokea na hadi leo athari zake zinatawala maisha yetu.tukio hilo ni interaction kati ya binadamu na viumbe fulani wengine wa Mwenyezi Mungu(huwa tunawaita tu malaika hii inatupa upofu sana)walikuwa 200 wakiongozwa na mkuu wao Azazel waliposhuka ktk kilele cha mlima Hermon na kuigiza maumbile ya kibinadamu.kilichowaleta ni kutamani binadamu.walitaka kukaa nao,wawatawale,wazae nao,waanzishe empire yao tofauti na utaratibu waliopangiwa na Mungu.wakafanya hivyo.ikazaliwa offspring ya ajabu,majitu makubwa yenye nguvu za kutisha na akili za ajabu na roho za ajabu maana nusu binadamu nusu malaika.waliitwa nephilims,leo tunawaita titans(usifikiri hadithi ya kigiriki hii)!kutokana na hiyo offspring kuwa imbalance,ilileta vurugu kubwa duniani,na kama Mungu asingeingilia kati mbegu ya binadamu pure ingetoweka.hao malaika pamoja na hayo matoto yao ndio walifundisha binadamu mambo meengi ambayo leo yana sehemu kubwa ktk sayansi,elimu na tamaduni zetu hasa mashariki ya mbali,India na america.base yao kuu ilikuwa bara la Atlantis lililokuwepo katikati ya america na ulaya.kitendo hiki kilimchukiza Mungu mno akaamua kutuma gharika ya maji na kuteketeza dunia nzima pamoja na bara la Atlantis isipokuwa binadamu mmoja anaitwa Nuhu na watoto wake na baadhi ya wanyama ambao hawakuchafuliwa(nephilims walizaana hata na mijusi,kilichotoka hapo ni balaa).LAKINI kuna laana alitamka Mungu,kwamba roho za viumbe hao hataziangamiza,ataziacha na zitakuwa chanzo cha kila uovu duniani kwa umri wote wa dunia hadi mwisho ili viumbe wake wote wapate darasa how serious was this mistake!roho hizo ndizo zilimuongoza Nimrod kuijenga Babylon na kuanzisha idol worshiping na tamaduni za Atlantis zikaanza kurudi taratibu huku spidi yake ikivurugwa na elimu ya dini ya mitume na manabii wa Mungu.ilibidi utaratibu wa kuinteract na binadamu ili kutimiza lengo lao waufanye kwa siri,taratibu,miaka na miaka,wakiibadili dunia taratibu hadi mazingira yakiruhusu,roho hizi zikiwa ndani ya miili ya kibinadamu,zitaigeuza dunia nzima kuwa kama Atlantis!ndipo hapa vyama vya siri na dini zisizoeleweka vinaposhamiri underground.
Ndivyo alivyokuambia Roho Mtakatifu wako?
IF WE DON'T COMMIT SIN, ALLAH WILL KILL US
Sahih Muslim, Book 037, Hadith 6622 Abu Huraira stated that the Messenger of Allah (may Allah pray on him and salute him) said, “By Him, which in his Hand is my life, if you mankind were not to commit sin, Allah would sweep you out of the world, and He would exchange you with people who would perform sin and seek forgiveness from Allah, and He then would forgive them.”
Allah will kill only those who do not commit sins. This is a clear proof that the Qur’an copied the Biblical story of Noah’s flood and inserted as Qur’an 11:40–44. The Biblical story speaks about God destroying the “bad ones” and rescuing the good people. However, what we read from the above hadith is Allah doing the opposite. This goes against the logic of punishment and reward, or punishment given exclusively to the bad individuals, as we read the following Qur’anic verse:
Qur’an 11:44
“And it was said: O earth! Swallow up your water and to the sky Be. Clear your clouds, And the water was made to sink and the judgment was completed, and it (Noah’s ship) came to rest upon A-Judi, and it was said: A far elimination for the wrongdoing folk.”
At the same time, it’s a contradiction to the story of Lot who is considered a prophet of Islam. According to Lot’s story, Allah made rocks rain on his people (Lot’s) as a punishment for their sins, as we read in Qur’an 15:59-74.
This story was also taken from the Bible with Muhammad’s own fabricated tale added to it. If we go to the Bible in the Book of Genesis 18:26, we would notice that the God of the Christians and the Jews is willing to refrain from His punishment even if there were only 50 righteous people in the entire city. Whereas the god of Islam, according to the above hadith of Sahih Muslim, Book 037, Hadith 6622, “Allah then would kill all the good ones and replace them with bad ones.” Read with me the following Biblical verse:
Genesis 18:26 - KJV
“And the LORD said, If I find in Sodom fifty righteous within the city, then I will spare all the place for their sakes.”
From reading the above hadith, we can gather the following ideas and understand the mentality and nature of Allah – how he thinks, what he wants and seeks, what cheers him up, and what angers him:
1. Allah needs our sins.
2. Our sins bring Allah joy and he rejoices when we ask for forgiveness.
3. Allah would not hesitate to punish us by death if we had not sinned, or, if we had not given him joy by asking him for forgiveness of our sins.
4. Deception is one of Allah’s tools, which is the same tool that Satan uses. In order for Allah to deceive us, he plays the game of good cop bad cop, wherein he’s the good guy and we’re the bad guys. It constitutes of us chasing him by begging for his forgiveness and him causing us to sin, repeating the whole scenario over and over again. This is how Allah enjoys this world and rewards himself: by causing disorder and deception so that we would try to please him by asking for forgiveness.
5. The God that we have as Christians did not create us to make us ask for forgiveness, but He created us to share His glory with us. This is why we’ve been taught to refer and talk to Him as “our Father.” Our Father is the opposite of the god of Islam. He would not wipe us off if we did not commit sins just so He could replace us with a sinful community. It’s never been about His needs but it’s all about Him loving us and inviting each individual to have a personal relationship with Him.
John 3:16 - KJV
For God so loved the world, that he gave his only begotten Son, that whosoever believeth in him should not perish, but have everlasting life.
In conclusion, Allah is literally a sick god suffering from low self-esteem symptoms. He is moody, unpredictable, and is filled with anger. No one can or could understand him. He does things based on his selfishness and egotistical interests. We are victims of his deception, which for me is a clear observation that he is nothing but Satan hiding behind the name Allah.
Sent using Jamii Forums mobile app
Romans 3:2Salam
Katika soma soma zangu na kutafuta ukweli na kumtafuta Mungu wa kweli nikagundua kuna vitabu viliondolewa kwenye biblia i.e non canonical books mfano ni book of Enoch na rest of Ester
Sababu zinazotolewa ni kwamba eti kina verses ambazo wao wanaamini hazikuongozwa na roho mtakatifu.
Nilichojifunza katika kitabu cha Enoch ni juu ya origin ya mtu mweupe (kina eleza Mungu aliumba mtu mweusi ila mtu mweupe alitokana na malaika wenye tamaa i.e fallen angels waliokuwa wakiwaingilia kimwili binadamu). Vile vile kinaeleza juu ya mpinga kristo na siku za mwisho.
Swali langu:
Nini kinachowafanya wajue kama ni hekima za binadamu ukilinganisha na vitabu vingine?
Ni kwanini kilitolewa ikiwa kama hekima za Enoch i.e great grandfather of Noah zilitambuliwa na kutajwa waziwazi na waandishi wa agano jipya mfano Jude?
Vipi walioenda mbali zaidi na kuondoa Yoshua Bin Sira, Tobiti na Wamakabayo?Kuna bonge la kitabu lilitolewa pia lilikuwa linaitwa gospel of Thomas!....... Nafikiri hiki ndo kilikuwa kitabu bora kabisa katika bibilia!.....Sisi wanadamu hasa wa dini ya kikatoliki ni wabaya sana!
Hiyo Link inajibu Kitu gani hasa?.Sorry hii thread ni kuhusu kitabu cha Enoch,
Kama una COPY huko Answering Islam , hao watu wamepewa majibu hapa
Rebuttal to Sam Shamoun's Article "The (In) Justice of Allah Examined".
Zawadi yako hii
View attachment 993743
Hiyo Link inajibu Kitu gani hasa?.
The Grand Mosque in Mecca, the holiest site in Islam, is under attack by a swarm of locusts