Jaji matundu
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 251
- 92
ugomvi wa ndugu mi simo ila mkisha maliza mabishano mtuletee mgombea wenu apambanevna ukawa.
Lostam hana hela. Anachota tulizonazo na kujifanya mwekezajiKama inaonekana Nchi hii anaiona Kama aina Fulani ya...anabadili kadri anavyotaka. Kwa nini asitupatie tu hela akainunua kama anaweza abaki anaiendesha anavyotaka! Inakera.
Kama alifungasha virago au la si suala nyeti hata kidogo. La msingi tusikubali mtu atuamlie nani awe Rais ili aje alinde uozo wake.
Mgombea atakayechaguliwa na CCM ukawa hawatadiriki kuingiza pua zaougomvi wa ndugu mi simo ila mkisha maliza mabishano mtuletee mgombea wenu apambanevna ukawa.
wewe ni msemaji wake?
Jibu swali uliloulizwa mama. Mbona unapanic hivyo?Kwani mleta mada ni msemaji wa nani? au wewe msemaji wa nani?
Jibu swali uliloulizwa mama. Mbona unapanic hivyo?
Jibu swali uliloulizwa mama. Mbona unapanic hivyo?
Ni panic nini kijana? hivi JF watu wote wanaoandika humu ni wasemaji wa mtu fulani?
Mwaka huu lazima mpasuane tunapowaambia kuwa ccm mnatafunwa na makundi nyie mnabisha sasa ona mnavyopishana wewe na gamba mwenzio
Kwani kura ya rostam ni ya Veto?
Kwa hiyo hapa umejibu swali au umeendelea kupanic?Ni panic nini kijana? hivi JF watu wote wanaoandika humu ni wasemaji wa mtu fulani?
Rostam na Lowasa wamekufanya uwe taahira. Ndo maana unabweka bweka hovyoRostam Azizi ni mtanzania tena ana mizizi ya utanzania kuliko wengi wetu[ uliza tabora-mimi nilivyohadithiwa na baadhi ya wazee nilichoka]. uchaguzi wa 2015 ulikuwa unajulika miaka 10 iliyopita kwa hiyo 'ughafla' uliosema sijauelewa.
Huyu jamaa ingawa alijiuzulu nyadhfa zake lakini hakujiuzulu uwanachama wake wa ccm
Bado sijakuelewa unamaanisha nini kwa mada yako?
Hivi maana ya NAKEMBETWA ni nini? Samahani lakini Mkuu. Imekaa kama kimatusi matusi vilemwenye mbwa kaja a.k.a usiyempenda kaja!