Kwanini "kingmaker" Rostam Aziz amerudi nchini kipindi cha uchaguzi?

You vulture...Kori bastard...!!!

Kazi kulamba watu makalio...there is no way utamchafua Lowassa....
You shemales, of unkown gender, ID, personality, pooo... don't even think of wasting ur stupid head to demean Lowassa, na kumchafua kupitia Rostam, or whoever else...!!!

Go to hell, CCM and outside CCM for now, the most powerful and preferred Presidential candidate ni Lowassa...!!!

Ww kapigie kelele agenda of SAME SEX MARRIAGE to support you shemales...nasty...dudu ww..!!

Piga kwanza mswaki nguruwe pori wee. Unaunga mkono hoja huku unajamba jamba ovyo jukwaani...kama alimuwek jk ndio anataka atuwekee mwingine tena? umemuumbua na tumeamka
 
Tutakuwa wapumbavu, Rostam aliyelifedhehesha taifa kitaifa na kimataifa tena na LOWASSA huyohuyo, leo tena anakuja kumpigia chapuo mtu kuingia Ikulu? JK asingeshtuka mapema leo tungekuwa tumeuzwa.

Tena wapumbavu siyo kidogo, watu kama Rostam hawakupaswa kukanyaga tena ardhi ya Tanzania.
 
You vulture...Kori bastard...!!!

Kazi kulamba watu makalio...there is no way utamchafua Lowassa....
You shemales, of unkown gender, ID, personality, pooo... don't even think of wasting ur stupid head to demean Lowassa, na kumchafua kupitia Rostam, or whoever else...!!!

Go to hell, CCM and outside CCM for now, the most powerful and preferred Presidential candidate ni Lowassa...!!!

Ww kapigie kelele agenda of SAME SEX MARRIAGE to support you shemales...nasty...dudu ww..!!
ng'ombe asiye na pembe wana tabia kama hizi za kwako. kung'arisha viatu vya rostam na lowassa nyambafff zenu.
 
Ndugu wakigombana.................Wakipatana...............Mie huyo na sepa shamba..............:msela::msela:
 
You vulture...Kori bastard...!!!

Kazi kulamba watu makalio...there is no way utamchafua Lowassa....
You shemales, of unkown gender, ID, personality, pooo... don't even think of wasting ur stupid head to demean Lowassa, na kumchafua kupitia Rostam, or whoever else...!!!

Go to hell, CCM and outside CCM for now, the most powerful and preferred Presidential candidate ni Lowassa...!!!

Ww kapigie kelele agenda of SAME SEX MARRIAGE to support you shemales...nasty...dudu ww..!!

Lowassa alishachafuka siku nyingi, wala siyo kuchafuliwa leo. Na kama nikweli kuwa Rostam Aziz ameingia tena kumpeleka ikulu ndo kabisaa amezidi kujipaka masizi. Haya matusi sidhani kama yataondoa ukweli huo
 
Tutakuwa wapumbavu, Rostam aliyelifedhehesha taifa kitaifa na kimataifa tena na LOWASSA huyohuyo, leo tena anakuja kumpigia chapuo mtu kuingia Ikulu? JK asingeshtuka mapema leo tungekuwa tumeuzwa.

Msitake kujifanya nini hapa, hizi mnazoleta hapa ni siasa za majungu. Watu tumelalamika miaka mingi kwamba ccm chini ya JK imeleta siasa za kipuuzi na kuruhusu kuwa chini ya wafanyabiashara wa biashara haramu. Leo EL kawapeleka kona mbaya ndio mnajifanya kuleta siasa cha kuchafuana hapa. Sisi wananchi tunajua nyie ccm ni chama cha wezi sio Rostam wala EL/Jk wote wezi watupu ndio maana hamna siasa za hoja bali visasi na majivuno ya kipuuzi.
 
amekuja kumtia moyo yule mbunge wa monduli .
 
Sijapata kuona jitu jiongo kama wewe.

Rostam yupo hajafunga virago kwenda kokote na kama anasafiri basi anasafiri kwa shughuli zake za kibiashara na kurudi.

Hivi huo uongo unawasaidia nini?
Hilo lijamaa lenu la maccm.
 
Msitake kujifanya nini hapa, hizi mnazoleta hapa ni siasa za majungu. Watu tumelalamika miaka mingi kwamba ccm chini ya JK imeleta siasa za kipuuzi na kuruhusu kuwa chini ya wafanyabiashara wa biashara haramu. Leo EL kawapeleka kona mbaya ndio mnajifanya kuleta siasa cha kuchafuana hapa. Sisi wananchi tunajua nyie ccm ni chama cha wezi sio Rostam wala EL/Jk wote wezi watupu ndio maana hamna siasa za hoja bali visasi na majivuno ya kipuuzi.

Mkuu kwa hiyo unataka Rostam awezeshe Lowassa kuingia ikulu?
 
Toa ushahidi wa Lowassa kuwa fisadi..!! Sema hapa ww kichwa box....NEC ya CCM, 2013, JK aliuliza wana CCM wote, nani anasema Lowassa fisadi..!"? wana NEC wote hakunaaaa...!!? Kingunge akasimama kwa nguvuu...akasema Mwenyekiti, hata ww, kila mtu anajua, Nape, Sitta wanasema Lowassa fisadi, tena wanatumia fedha za Chama kumchafua, hii ni baada ya Lowassa kumbana JK ktk kikao,....JK kujibu hoja ya Kingunge mara moja kwa gadhabu, akasema, kamati ya maadili itawachukulia hatua Nape na Sitta...Sumaye akasimama kwa fujo, akasema Mwenyekiti, ww ndie leo unajua kuna kamati ya maadili, mtu anachafuliwa bure, huku ukijua na unaona, na hukuwaonya....akamwambia JK kuwa yeye ndio anayalea haya yote na anajua kila kitu.....Mkapa akamkwida JK kisiri, akamwambia baba airisha kikao, moto umekuwakia, ghafla Lowassa akasimama tena, akasema mwenyekiti, Nilishaacha kukupigia cm, sbb unayosema na kuongea na mm sio UNAYOFANYA...IWEJE NAPE NA SITTA WANITUKANE KILA KONA, ww uko kimya na unasema mara kadhaa hujawatuma..!? JK akarudia tena, nasema anaesema Lowassa Fisadi alete ushahidi, pia waliotajwa kumchafua Lowassa kamati ya maadili itawachukulia hatua kali mara moja...!!!

Akaahirisha kikao, busara za Mkapa zoliokoa jahazi...!!!

Sasa ww nyani ni nani...!!?

Lowassa alishachafuka siku nyingi, wala siyo kuchafuliwa leo. Na kama nikweli kuwa Rostam Aziz ameingia tena kumpeleka ikulu ndo kabisaa amezidi kujipaka masizi. Haya matusi sidhani kama yataondoa ukweli huo
 
You vulture...Kori bastard...!!!

Kazi kulamba watu makalio...there is no way utamchafua Lowassa....
You shemales, of unkown gender, ID, personality, pooo... don't even think of wasting ur stupid head to demean Lowassa, na kumchafua kupitia Rostam, or whoever else...!!!

Go to hell, CCM and outside CCM for now, the most powerful and preferred Presidential candidate ni Lowassa...!!!

Ww kapigie kelele agenda of SAME SEX MARRIAGE to support you shemales...nasty...dudu ww..!!
Hapa ndiyo unaweza kujua watu wanaoishi kwa nguvu za pesa za akina rostam na mafisadi engine matusi yeto ya nini kama wewe siyo fisadi.
 
Mkuu kwa hiyo unataka Rostam awezeshe Lowassa kuingia ikulu?

Kama alimuwezesha JK na nyinyi kila siku mnasifia hapa unataka nini tena. Hizi siasa zenu za kipuuzi leo hii ndio zimeipeleka nchi yetu kuwa na viongozi wasio na uwezo bali kutumia ubabe na mambo mengine ya kipuuzi kama hayo. Tunamtaka Rostam amuwezeshe EL kuwa mgombea wa ccm na hapo ndio itakuwa rahisi kwa nchi hii kupata kiongozi makini zaidi toka Ukawa. Huko kwa ccm hakuna msafi bali mnazidiana tu kwa uchafu na siasa za majitaka.
 
Back
Top Bottom