Rostam yuko nchi most of time...!!! huu ndio uongo wa ajabu, but he is in & out of country for his own business trips...!!
Ni miezi 5 tu imepita TUMEMZIKA BABA YAKE ROSTAM ktk makaburi ya KISUTU Dar es Salaam, watu kibaooo tulikuwepo...!!! Rostam ana biashara nyingii hapa nchini, halali na analipa kodi kubwa halali...!!! Pesa zake nyingii ziko NMB and CRDB, kuna kipindi alivyojitoa ubunge, akawa yuko Sweeden kibiashara, AKATAKA ATOE HELA ZAKE ZOOOTE NMB and CRDB, ilikuwa shida kubwa....akina KIMEI and Mkurugenzi wa NMB walimfuata Sweeden 2012 wakamwomba sanaa...sanaaa asitoe...maana banks hizo zingeanguka kabisa...yaani zingekuwa bankrupty...!!! Hizi ziliandikwa kwa siri sana, ila kuna baadhi ya magazeti yaliandika juu juu tu kwa kutokujua BILLIONS OF DOLLARS Rostam anazoweka ktk hizi banks...!!!!
Huu ni upuuzi mkubwa, kwani hapa wanataka kumchafua LOWASSA, thru Rostam... of which, in which, KAMWE HAWATAWEZA... Lowassa hata Bila Rostam has muscular political, financial
and self supportive power to get going to Magogoni....!!! Na niseme Wananchi wote...si CCM au wapinzani, Lowassa ndio kila kitu kwa sasa...
Juzi tu, 4 days ago, Makamu wa Rais, kamwomba achangishe ujenzi wa msikiti wa Patandi, pesa zilipatikana na kuvuka lengo...lengo lilikuwa tshs 150 milioni, ila Lowassa na friends wake wakapata 240 milioni....
Huu ni ushenzi kabisa, watu hawana strategies, za kampeni...strategies zao kumchafua Lowassa tu....!!! Huu ni ushenzi mkubwa...nosense...!!! Hivi ilishawahi sikia Lowassa au friends of Lowassa wakimshambulia mtu yeyote..!!? Sbb hiyo sio strategy ya kuingia Ikulu.....Fanya kampeni, tuonyeshe utaisaidia vipi Jamii, kabla hata hujaingia Ikulu kwa vitendo sio maneno....!!! So wanao taka urais, BORA LOWASSA kwa mbali, kuliko yeyote yule kwa sasa...!!! Wengine kisiasa kwa sasa ni hohe hahe kwa kila kitu, ila Lowasa ana better Policies, strategies, personality, abilities, cabapilities and sense of humor....ni mtu wa WATU...!!!
Mr.President hii lugha siyo saizi yako banah!
Vipi tena jamaa ameguza kwenye mifupa siyo?
Taratibu wagombea wana hasira kweli kweli usije shangaa wakaleta maushahidi humu.Muda huu siyo mzuri kuumbuana live bila chenga.