Kwanini kila ukikutana na mwana Yanga aliyevalia Jezi yao mpya ya Mkuranga na Tandale na kumwambia aonyeshe BARCODE mnagombana?

Kwanini kila ukikutana na mwana Yanga aliyevalia Jezi yao mpya ya Mkuranga na Tandale na kumwambia aonyeshe BARCODE mnagombana?

Kwani wakisema tu Jezi zao hazina BARCODE kwakuwa Mgombea Ubunge Aliyetoswa kazitengenezea Mkuranga na Tandale watapungukiwa nini?
Tangu lini kijora cha WAJUMBE WA KURA ZA MAONI IKAWA NA BARCODE.
 
Barcode hiyo ni aina gani ya supu?
Tumwambie Eng Hersi ipikwe jangwani tukainywe bure kama kawaida yetu!
 
Back
Top Bottom