Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,718
- 11,333
sijui nikwambieje mdogo wangu!!
Wanaume wanakapenda sana hako kamchezo!!! Ila ni katamu ujue.
Bora usijaribu ukae hivyohivyo.
Ukishaingia hutoki na wanaume wa sasa kumpata mmoja mpaka ndoa ni issue na weee hujakomaa kwa heka heka.
Mungu akujaalie ujitunze usikutane na mibazazi mikurumbembe tuliyokutana nayo sisi.
Habari wana jf! Me am so exhausted na hizi mambo.. When i was a little gal i used to think that one day ntakuwa na boyfriend nicly one ambae hatuta make love mpaka anioe.. Kumbe i was wrong now am 22 kila anae nitongoza hutaka Ngono first mmh.. Honestl hiyo condition siiwezi What i decided niwe single as usually.. Nimegundua mwanaume without thos bra bra no relation its fun
mm mwenyewe natafuta msichana wa namna hyo, kudo mpaka 2takapooana kama upo tayar npm 2we 2nawacliana.,npo serious kwa hlo..
wewe ni mwenyeji wa wapi?mbona hueleweki unazungumza lugha gani?
Maisha yamebadilika mama... wakati ni ukuta ukipigana nao utaumia.
Pengine hujakutana na unayempenda kwa dhati but siku ukikutana nae usijiwekee vizingiti...
Naunga mkono hoja!
Tulisemaga hivyo pia
Hiyo bana uwezavyo lakini utaachia tu...Habari wana jf! Me am so exhausted na hizi mambo.. When i was a little gal i used to think that one day ntakuwa na boyfriend nicly one ambae hatuta make love mpaka anioe.. Kumbe i was wrong now am 22 kila anae nitongoza hutaka Ngono first mmh.. Honestl hiyo condition siiwezi What i decided niwe single as usually.. Nimegundua mwanaume without thos bra bra no relation its fun
Chakufanya mdogo wangu unapoingia kwenye relationship weka terms kabisa mwanzano. Ili kusiwe na huo unaoita usumbufu japo me naita nature.
Ukute kwenye mahusiano unakubali romance, phone sex ...ila unabana tu mtu asiingie hapo kati! Hyo ni mbaya na unakuwa unamuharibu mwenzio. Kama ni no sex kataa na hayo mengne like french kiss na vichocheo vyovyote vya kingono!
By the way mahusiano unayotaka ina maana huyo mwanaume atakuwa amekosa dada na cousin wake kwa ajili ya stori hadi aku adopt ww muishi like that?
[QUOT gud gal....stay single nd dont give any man ur cookie before marriage...trust me nothing gud has ever come out of premarital sex. na hiyo mambo ya kusema eti hamna kuuziwa mbuzi kwenye gunia ni the inane way of justifying the evil ways.
it is a virtue being a virteous lady...keep it up!!
Ngoja tuone ka utamaliza huu mwaka mzima, kwa comment za JF mbona utakua curious tu kujaribu
WARNING! Ukiingia unahitaji nguvu ya ziada kutoka hasa kwa wale wa mara ya kwanza kwanza
walah!!! nilitaka kumuuliza labda anaweza akanipa nikanyonya kidogo!!
napenda maziwa mie jamani!!