Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,351
- 8,088
Mmmhhh si ndio nishafika mwisho....hahaha
Mmmhhh si ndio nishafika mwisho....hahaha
Hujafika mwisho... ulijipua na nani. .. na kweli ulikuta ni kutam?..
Habari wana jf! Me am so exhausted na hizi mambo.. When i was a little gal i used to think that one day ntakuwa na boyfriend nicly one ambae hatuta make love mpaka anioe.. Kumbe i was wrong now am 22 kila anae nitongoza hutaka Ngono first mmh.. Honestl hiyo condition siiwezi What i decided niwe single as usually.. Nimegundua mwanaume without thos bra bra no relation its fun
sijui nikwambieje mdogo wangu!!
Wanaume wanakapenda sana hako kamchezo!!! Ila ni katamu ujue.
Bora usijaribu ukae hivyohivyo.
Ukishaingia hutoki na wanaume wa sasa kumpata mmoja mpaka ndoa ni issue na weee hujakomaa kwa heka heka.
Mungu akujaalie ujitunze usikutane na mibazazi mikurumbembe tuliyokutana nayo sisi.
Mimi naamini hutafika mwisho kwa sasa itunze lakini utawapa tu hata kabla ya malengo yako wanaume wenyewe ndiyo hawa swaga kibao utawapa tu one day.
Huwezi nunua kiatu bila kukijaribu hata siku moja
Sometimes It's better to be alone no one can hurt you that wayHabari wana jf! Me am so exhausted na hizi mambo.. When i was a little gal i used to think that one day ntakuwa na boyfriend nicly one ambae hatuta make love mpaka anioe.. Kumbe i was wrong now am 22 kila anae nitongoza hutaka Ngono first mmh.. Honestl hiyo condition siiwezi What i decided niwe single as usually.. Nimegundua mwanaume without thos bra bra no relation its fun
Tulisemaga hivyo pia
Maisha yamebadilika mama... wakati ni ukuta ukipigana nao utaumia.
Pengine hujakutana na unayempenda kwa dhati but siku ukikutana nae usijiwekee vizingiti...
No siwez jiachia Never
uamuzi mzuri siyokukimbia panapofuka moshi bali angalia ule moshi ni wa nini na utaudhibitije.many tanzanian tuna roho nyepesi ya kukata tamaa mapema.majaribu ndyo kipimo cha ushindi
You have a long way to go.