Kwanini kila Mwanaume hutaka kulala nami before

Napoleon 1

Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
79
Reaction score
23
Habari wana jf! Me am so exhausted na hizi mambo.. When i was a little gal i used to think that one day ntakuwa na boyfriend nicly one ambae hatuta make love mpaka anioe.. Kumbe i was wrong now am 22 kila anae nitongoza hutaka Ngono first mmh.. Honestl hiyo condition siiwezi What i decided niwe single as usually.. Nimegundua mwanaume without thos bra bra no relation its fun
 
Hongera kama umejiweka pembeni,ila now days hiyo haikwepeki hata ukiingia kwenye serious relation utatoa tu maana hakuna anayependa kuuziwa mbuzi kwenye gunia
 
Habari wana jf! Me am so exhausted na hizi mambo.. When i was a little gal i used to think that one day ntakuwa na boyfriend nicly one ambae hatuta make love mpaka anioe.. Kumbe i was wrong now am 22 kila anae nitongoza hutaka Ngono first mmh.. Honestl hiyo condition siiwezi What i decided niwe single as usually.. Nimegundua mwanaume without thos bra bra no relation its fun

Maisha yamebadilika mama... wakati ni ukuta ukipigana nao utaumia.
Pengine hujakutana na unayempenda kwa dhati but siku ukikutana nae usijiwekee vizingiti...
 
sijui nikwambieje mdogo wangu!!
Wanaume wanakapenda sana hako kamchezo!!! Ila ni katamu ujue.
Bora usijaribu ukae hivyohivyo.
Ukishaingia hutoki na wanaume wa sasa kumpata mmoja mpaka ndoa ni issue na weee hujakomaa kwa heka heka.
Mungu akujaalie ujitunze usikutane na mibazazi mikurumbembe tuliyokutana nayo sisi.
 
Mimi naamini hutafika mwisho kwa sasa itunze lakini utawapa tu hata kabla ya malengo yako wanaume wenyewe ndiyo hawa swaga kibao utawapa tu one day.
 
Habari wana jf! Me am so exhausted na hizi mambo.. When i was a little gal i used to think that one day ntakuwa na boyfriend nicly one ambae hatuta make love mpaka anioe.. Kumbe i was wrong now am 22 kila anae nitongoza hutaka Ngono first mmh.. Honestl hiyo condition siiwezi What i decided niwe single as usually.. Nimegundua mwanaume without thos bra bra no relation its fun

Mbinu zetu wanaume huziwezi dada. anza tu kugawa maana hiyo tutaipata tu.
Wife wangu kipindi cha kuifuatilia alibaaaaaaaaana. Nikabadili mbinu. Nilimpa care za hali ya juu hadi akakolea kisha nikabeep kwa kukata kamba ili nipewe kakitu. akakomaa baada ya miezi sita nikaletewa niiifumue. ila anabahati maana nilimpenda kweli na hadi leo niko nae. Katulia tuli pale JAMBIANI-ZANZIBAR
 
Shida iko kwenye uaminifu,n vgum mtu kuamin kua utakua nae bila ngono pia ukawa hutoi penz kwa watu wengne,vijana wengi wa kiume hawataki tena kushikilia pembe,au kutunza wengne watumie,uongo umekua mwng,hakuna atakaekubali hlo la kuuziwa mbuz kwenye gunia,toa mbuz njee tuzungumze bei.unaweza kumpata ila kwa msaada wa Mungu,n wachache sana,one in a million.
 
Nani anataka kuuziwa mbuzi kwenye gunia? Lazima watu wacheki kama yanayotakiwa kuwemo yapo yote.
 
sijui nikwambieje mdogo wangu!!
Wanaume wanakapenda sana hako kamchezo!!! Ila ni katamu ujue.
Bora usijaribu ukae hivyohivyo.
Ukishaingia hutoki na wanaume wa sasa kumpata mmoja mpaka ndoa ni issue na weee hujakomaa kwa heka heka.
Mungu akujaalie ujitunze usikutane na mibazazi mikurumbembe tuliyokutana nayo sisi.

unanikonga nafsi yangu...........amu + ujinga =?
 
Kuna mmoja kama ww nae kaitunza sana...hadi anafika 27 hajaguswa...juzi kaja getto anahamu ya kunyonywa chu*. Heee baada ya hapo naona binti analegea kiulaiiiini......!
Mlango giblatar ukafunguliwa kwa ustad mkubwa....aliposhtuka tayar limeshakuwa shimo..!
 
Habari wana jf! Me am so exhausted na hizi mambo.. When i was a little gal i used to think that one day ntakuwa na boyfriend nicly one ambae hatuta make love mpaka anioe.. Kumbe i was wrong now am 22 kila anae nitongoza hutaka Ngono first mmh.. Honestl hiyo condition siiwezi What i decided niwe single as usually.. Nimegundua mwanaume without thos bra bra no relation its fun

bado hujakua wewe k zilivyovurugwa namna hii hapa mjini nani hataki kukagua
 
Habari wana jf! Me am so exhausted na hizi mambo.. When i was a little gal i used to think that one day ntakuwa na boyfriend nicly one ambae hatuta make love mpaka anioe.. Kumbe i was wrong now am 22 kila anae nitongoza hutaka Ngono first mmh.. Honestl hiyo condition siiwezi What i decided niwe single as usually.. Nimegundua mwanaume without thos bra bra no relation its fun
Hivi kweli unaweza nunua mbuzi kwenye gunia? Yaani usi du na mtu hadi uolewe? Hiyo haipogo karne hii. Lazima utest mambo kwanza kama fresh ndo unatulia, kama hakuna kitu unatambaa zako.
 
Back
Top Bottom