William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
Thread yangu niliyoianzisha hapa ikapigwa vita sana na kuhamishwa...Ile iliyokuwa ikisema.."Kikwete akataa Ballali Asiletwe"
Mkuu Mushi,
Heshima mbele, ulipoiweka ile kitu, ninakumbuka jinsi ulivyotukanwa tena na some of the bigs hapa, wanaojiita waelimishaji, mpaka nilipokuja to the rescue ndipo topic ikasimama na nikasema hivi balozi wa US hawezi kusema openly to the public kuwa rais wenu hataki tumrudishe Balali, lakini kwa maneno aliyoyasema kwa lugha ya ki-diplomasia ndivyo exactly alivyokuwa akisema,
Unajua huwa ninafurahia sana ukweli uliotabiriwa mapema kama wako on this, unapokuja kutimia na watu kukumbushwa, I love it mkuu, keep it up! Ngoja niitafute ili tujikumbushe kidogo na tuone unafiki ulipo!