Kwanini Kenya wanapenda sifa sana?

Kwanini Kenya wanapenda sifa sana?

Oh my GOD! una maana gani kuhusu "msingi mzuri wa uchumi?" Viwanda 400? siyo msingi? Siasa iliyoweka mbele maslahi ya maskini yaani Ujamaa na kujitegemea siyo msingi?
Nyerere siyo wa kulaumu nafikiri! wa kulaumu ni watanzania wote hasa viongozi waliofuata!! Ongea vilevile by 1980 Kenya ilikuwaje! Unajua mabadiliko makuu yamefanyika Kenya katika utawala wa Kibaki!? Ninaganga njaa hapa Nairobi ninaona!! Unajua MOI aliimaliza kabisa Kenya?!! Hivyo tatizo siyo Nyerere ila maintaining and conceptualizing his thinking!!
I can agree on one thing: yale mashati yaani wasaidizi wa Nyerere "were dancing to a tune of a song they did not believed in" evidence Azimio la Zanzibar na uuzaji holela wa viwanda na mashirika aliyoacha nyerere! What should be done? tuyajadili hayo zaidi ya kurusha makombora nyuma ya historia: Nyerere, nyerere, nyerere! obselete thinking!

Nampongeza sana Nyerere kwa kuanzisha viwanda! He did a great job, natayari nimeshalizungumzia hili! Lakini ukweli bado unabaki pale pale kwamba pamoja na kuanzisha viwanda hivyo, lakini karibu vyote vilikuwa economically inefficency wakati anaviacha! Viwanda vingi vilishakuwa mahututi na vingine kufa kabisa wakati wa utawala wake! By the way, nyie watu mna kuza mambo.....hapa hakuna cha kumshambulia Nyerere bali kilichopo ni economic history of Tanzania!! Huwezi kuzungumzia ecnomic history ya Tanzania bila kuzungumzia economic history ya wakati wa Utawala wa Nyerere; na hiyo sio kwamba kumshambulia! Acheni mawazo mgando! Leo hii tukitaka kulinganisha uchumi wa Tanzania na Kenya; lazima different economic development phases kati ya nchi hizi mbili.....hapo huwezi kukwepa kuzungumzia utawala wa Nyerere!! Hapa ni sawa na majengo mawili! Moja, limejengwa chini hadi juu; na hata bati zimepigwa lakini bado finishing wakati jengo lingine limeishia kati kati! Sasa wakati mwenye jengo la kwanza atakuwa anazungumzia atumie rangi gani, atengeneze bustani ya aina gani; na kama atumie aluminiium windows au hapana; huyu wa jengo la pili lazima atakuwa anazungumzia upatikanaji wa bati, mbao, na vitu kama hivyo!! Hapa ndipo ulipo msingi wa hoja! Kenya wana kila sababu ya leo hii kuzungumzia au kuweka reli za kisasa; flyovers, na mambo mengine kama hayo kwavile ile miundo msingi iko vizuri tangu miaka kadhaa iliyopita!
 
unaonekana umekata tamaa sana na maisha ya Tanzania, pole sana, lakini hata kwingineko pia sio rahisi hivyo, hiyo ndio bahati mbaya yenyewe, hivyo hatuna jinsi bali kuendelea kupambana tu, lakini bado naamini ukijituma sana bila kuchoka na kulalamika sana utafanikiwa tu, mimi ni mfano hai na wapo wengi tu kama mimi ambao tumeanzia sifuri 0 mpaka sasa tuna tunauwezo wa kumiliki kitu na kuendesha maisha yetu ndani ya Tanzania hii hii!

Mwambie Invisible akupe "Like" yangu!
 
kwa hiyo nyerere ndo aliwaambia muuze madini kwa royalty ya asilimia 3? nyerere ndo amewaambia mfiche matrilion ya shilingi nje wakati watoto wenu wanakaa chini mashuleni? je nyerere anahusika na wizi wa EPA? je nyerere ndo amewaambia muingie mikataba ya gesi bila bunge kuridhia? nimetaja mambo machache tu ambayo kama umakini ungekuwepo, leo barabara zetu zote zingekua na lami

Utawala wa Nyerere uliiacha Tanzania almsot 20 years back! Ni kwamba alituachia pale pale ambapo alitutoa. Alianza vizuri sana lakini akaja kuharibu vibaya sana! Am very sure, pamoja na ufisadi wote uliopo, (ambao Kenya nako umeotaa mizizi almost the same as Tanzanaia), endapo Utawala wa Nyerere usingeharibu uchumi wake ambao ilishaujenga, leo hii tungekuwa mbali sana kuliko Kenya!! Na kama kuna kosa kubwa ambalo lilifanyika, ni kuuacha uchumi mikononi mwa dola kwa 100% bila kutoa nafasi kwa sekta binafsi!! Ingawaje KANU ya Kenyatta nayo ilikuwa ni socialist part, lakini uchumi wa Kenya ulikuwa almost, mixed economy na hii ilisaidia sana kuwepo efficiency!
 
Nsabhi Kwanza hapa nazungumzia Utawala wa Nyerere, na sio Nyerere, nyie vipi?!

TRUE, utawala wa Nyerere ulijenga viwanda vingi sana....nini kilikuwa delivered kutoka kweney hivyo viwanda?! Je, vilikuwa na tija wakati utawala wake unatoka madarakani?! Kwanini watu walikuwa hawavai viatu wakati kulikuwa na kiwanda cha viatu?! Kwanini watu walikuwa wanapanga foleni kununua sabuni na viberi kama kulikuwa na productivity kwenye viwanda?! Kwanini kulikuwa na ulanguzi wa bidhaa mbalimbali wakati wa utawala wake?!So, ingawaje alijenga viwanda vya kutosha lakini karibu vyote vilikufa before 1985!!

Tukija kwenye ufisadi, nchi hii haijapata kuwa free na ufisadi tangu Uhuru! In short, hata wakati wa Utawala wa Nyerere, kulikuwa na ufisadi!! Wakati Mwinyi anaingia madarakani, aliingia na kaulimbiu ya Fagio la Chuma! Kauli mbiu hii ilimaanisha kuondosha uchafu na makandaokando yote ambayo yalikuwa serikalini! Sasa kama wakati wa Utawala wa Nyerere hakuklua na ufisadi, hilo fagi la chuma lililenga kufanya nini?! Hata hivyo, Mwinyi nae alishindwa kwani karibu serikali yote ilikuwa imeoza!
 
Last edited by a moderator:
Hiyo network ya KQ tu inatisha. Uzembe wa kufikiri wa viongozi wengi ktk baraza la mawaziri ndo chanzo cha kutoendelea kwetu. Niliwahi kumsikia waziri mmoja akihojiwa na redio mojawapo hapa Dar kuhusi ni mikakati gani mipya aliyonayo kuendeleza sekta ya maji. Yeye alimjibu mwandishi kwa kusema"mimi sina mikakati mipya ila natekeleza ilani ya chama changu cha ccm" - that was 23 years baada ya kuingia madarakani na ilani ilikuwa 2 yeras old. Ukiwatizama ma RC na ma DC ndo uoza mtupu. asilimia 90 ni wanajeshi au wanausalama wastaafu!!:target:EL huyo
 
wa Kenya si watu wa longolongo ni watendaji wa ukweli wa Tanzania uwizi mtupu
 
NasDaz What I see here is poor analysis na hapo sijui nawezaje kukusaidia maana unaandika vitu vingi ambavyo haviko correlative na thread maana badala ya kutuambia kwanini Kenya ipo pale ilipo wewe unatuletea historia na bado unataka tuwe vilema na watumwa wa historia. Nimekwambia with precion certainity kwamba je, Nyerere aliweka social and economic overhead capital au la? Hutaki kujibu lakini unatulazimisha kuwa hakuweka misingi ya uchumi. Misingi yako nini? What is your empirical analysisto back your argument? All you have ended up beating about a bush. Tumekupa misingi ya kama mabwawa ya kuzalisha umeme wewe unasema watu wangapi walikuwa wanatumia umeme. Nafikiri hujui mu;tiplier's effecet. Unatakiwa kuanzia hapo ili ujenge hoja yenye mashiko. Ulitaka Nyerere aongeze population iendane na overheads alizoweka? Poor thinking. Yeye aliona miaka mingi mbele 30 ndio maana akajenga mabwawa ya kuzalisha umeme na viwanda zaidi ya 400. Si kweli vilikuwa havizalishi. General tyre ilikuwa inauza matairi South of the Sahara mpaka utawala wa Mwinyi ulipoinyongonyeza na wengine waliofuata wakaizika. Sasa kama kilikuwa kinasewrve internal market and external hiyo inafanya kuwa hakikuwa efficient? Unaniambia kulikuwa na magari mangapi. Kwanza hoja sio magari mangapi na wala hakuna nayesema uwepo wa magri mengi is indicator of economic development. Kukua kwa uchumi ni indicators zake au nimekwambia economic/social overheads capital ambazo wakati wa Mwalimu zilikuamong wepo na zilikuwa tangible. Waliofuta wakaua. Zilizosalia kama Sigara, TBL, Urafiki Textile, Bandari na vingine vichache walipobinafsisha ndivyo wanavitumia kutamba kuwa ubinafsishaji una manufaa. Oh! Kumbe. Msingevikuta mgeuza nini?

Na jingine unaitumia mno Kenya. Kenya tunayoisifia ni Kenya ya kina Kibaki na yeye anasema he wants to leave two legacies sustainable economic growth and vibrant infrastructure among others. Sio wewe unatuambia radio na television and for your information simu, television na computer ni infant developments na ndio maana kuziweka kama maendeleo ni miaka ya 2000 ndio sekta hizi zimeanza kuchangia katika maendeleo ya mataifa mbalimbali. Chukua angalizo.

Lingine narudia misafara ya bidhaa-consumer goods ni propaganda kwa wale wanaotaka kutuaminisha kinyume na "one swallow does not make summer". Tatu kumfanya Nyerere kuwa persona issue you have said as I have nothing to gain ukimsema vibaya au vizuri. Cha msingi na naendelea kusisitiza don't blaime your failures to the dead. What have you done. Your stance that Nyerere took us 20 years behind, what is your benchmark.You can't build your phenomenology without logic system of positive philosophies, ideas and framework
 
Last edited by a moderator:
Sherrif inabidi nikupe kazi ya kufundisha kwa vitendo mawaziri wetu kwa maana zile semina elekezi za Ngurdoto ni kama zilikuwa holiday
 
Mwanangu NasDaz ingawa kuna jembe kidogo za ukweli katika unayosema, nadhani wakati wa kumlaumu Nyerere umepita. Mie nadhani kusema eti Ujamaa ulitukwamisha si kweli. Tatizo ambalo hutaki kulikubali ni kwamba watawala wetu tangu Mwinyi ni wezi na wasio na visheni. Haiwezekani Kenya nchi isiyo na madini wala ardhi kama yetu watuzidi halafu tuanze kusingizia miaka 30 iliyopita. Nyerere aliacha mtandao mzuri wa kuweza kuendeleza nchi haraka. Hakuna kitu muhimu alichofanya Nyerere kama kulinda raslimali zetu ambazo leo watawala wetu wanazigawa kutokana na upogo. Hiyo Kenya unayosifia kuna kipindi inatumia raslimali zetu kama vile Tanzanite kujiingizia kipato. Nimalizie kwa kusema kuwa tatizo la Tz siyo Nyerere bali watawala vipofu na wezi.
 
Kuendelea kumlaumu Nyerere for our demise as a nation ni ujinga wa hali ya juu. Kagame halalamiki juu ya holocaust, Wachina hawalalamiki juu ya Mao. Tuliendelea na mind set ya kumlaumu mtu aliyestaafu mwaka 1985 kwamba he is the reason for our demise then we will continue drag our feet while others are leaping forward.
 
Nampongeza sana Nyerere kwa kuanzisha viwanda! He did a great job, natayari nimeshalizungumzia hili! Lakini ukweli bado unabaki pale pale kwamba pamoja na kuanzisha viwanda hivyo, lakini karibu vyote vilikuwa economically inefficency wakati anaviacha! Viwanda vingi vilishakuwa mahututi na vingine kufa kabisa wakati wa utawala wake! By the way, nyie watu mna kuza mambo.....hapa hakuna cha kumshambulia Nyerere bali kilichopo ni economic history of Tanzania!! Huwezi kuzungumzia ecnomic history ya Tanzania bila kuzungumzia economic history ya wakati wa Utawala wa Nyerere; na hiyo sio kwamba kumshambulia! Acheni mawazo mgando! Leo hii tukitaka kulinganisha uchumi wa Tanzania na Kenya; lazima different economic development phases kati ya nchi hizi mbili.....hapo huwezi kukwepa kuzungumzia utawala wa Nyerere!! Hapa ni sawa na majengo mawili! Moja, limejengwa chini hadi juu; na hata bati zimepigwa lakini bado finishing wakati jengo lingine limeishia kati kati! Sasa wakati mwenye jengo la kwanza atakuwa anazungumzia atumie rangi gani, atengeneze bustani ya aina gani; na kama atumie aluminiium windows au hapana; huyu wa jengo la pili lazima atakuwa anazungumzia upatikanaji wa bati, mbao, na vitu kama hivyo!! Hapa ndipo ulipo msingi wa hoja! Kenya wana kila sababu ya leo hii kuzungumzia au kuweka reli za kisasa; flyovers, na mambo mengine kama hayo kwavile ile miundo msingi iko vizuri tangu miaka kadhaa iliyopita!
Ninaona (kwenye nyekundu) unahangaika kuelewesha mambo ya std 2!! Hutaki kuelewa kuwa uongozi unaofuatilia unaweza kubomoa kazi za uongozi uliopita! Kwa taarifa yako Kenya wanaamini kuwa MOI alipangua na kuharibu kazi zote za Kenyata!! Utashi wa kisiasa ni jambo linaloweza kuleta faida au hasara!! hebu ona tawala zote!! baada ya Nyerere! Umeshaelewa akiba na pato la taifa lilikuwaje Ruksa alipokabidhiwa Nchi? Basi Ruksa alikula akiba!!/mbegu zaidi ya hapo akaenda ZNZ kunajisi hata ule mfumo wa kuhakiki unaopigania maskini. Ben aliweza kuimarisha Uchumi kidogo lakini akaharibu katika kuendekeza Rushwa! na kuuza mashirika kiholela! . Kwa sasa majibu yako kwa wote!!
 
Wale ni wachapa kazi na wanatuonyesha sie wanyonge tuliozoea kuongea na kutofanya kazi namna ya kujituma. Wenzetu hufanya vitu kwa vitendo sie mpaka tuambiwe what to do. Si mnaona wenyewe Kenya wakifanya kitu sie tunafuatia kuwaiga.
 
Ninaona (kwenye nyekundu) unahangaika kuelewesha mambo ya std 2!! Hutaki kuelewa kuwa uongozi unaofuatilia unaweza kubomoa kazi za uongozi uliopita! Kwa taarifa yako Kenya wanaamini kuwa MOI alipangua na kuharibu kazi zote za Kenyata!! Utashi wa kisiasa ni jambo linaloweza kuleta faida au hasara!! hebu ona tawala zote!! baada ya Nyerere! Umeshaelewa akiba na pato la taifa lilikuwaje Ruksa alipokabidhiwa Nchi? Basi Ruksa alikula akiba!!/mbegu zaidi ya hapo akaenda ZNZ kunajisi hata ule mfumo wa kuhakiki unaopigania maskini. Ben aliweza kuimarisha Uchumi kidogo lakini akaharibu katika kuendekeza Rushwa! na kuuza mashirika kiholela! . Kwa sasa majibu yako kwa wote!!



Sina la kukupongeza zaidi ya kukutunuku shahada ya uzamili. Hii nchi Tanzania haitakuja kuendelea kamwe kama bado iko chini ya CCM. Watu ama viongozi wote wa CCM wako pale kwa ajili ya ulaji tu na si kuendeleza nchi. Mkapa aliiba sana na kuuza mashirika kiholela huku akiwekeza humo humo. Then haka kayanki ka sasa tulichonacho, hakina sifa za uongozi bali kuyumbisha nchi na kujilimbikizia mali za umma.
 
kenyatta1963.jpg
nyerere.jpg


Chungwa.jpg
6a00d834522fa869e20120a7f14fcb970b-500wi


Mombasa Port
biz+sub+3+pix.jpg


Dar port
tangaport.jpg


kenya_obama_birthplace_sign.jpg
2007-04-16%20Tanzania02.jpg
 
Kenya Airways
[TABLE="class: toccolours"]
[TR="bgcolor: #E62020"]
[TH="colspan: 8"]KPassenger Fleet[/TH]
[/TR]
[TR="bgcolor: #E62020"]
[TH]Aircraft[/TH]
[TH]In Service[/TH]
[TH]Orders[/TH]
[TH]Options[/TH]
[TH="colspan: 3"]Passengers[/TH]
[TH]Notes[/TH]
[/TR]
[TR="bgcolor: #E62020"]
[TH]C[/TH]
[TH]Y[/TH]
[TH]Total[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Boeing 737-300[/TD]
[TD]6[/TD]
[TD]-[/TD]
[TD]-[/TD]
[TD]16[/TD]
[TD]100[/TD]
[TD]116[/TD]
[TD]One aircraft stored[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Boeing 737-700[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD]-[/TD]
[TD]-[/TD]
[TD]16[/TD]
[TD]100[/TD]
[TD]116[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Boeing 737-800[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD]-[/TD]
[TD]-[/TD]
[TD]16[/TD]
[TD]129[/TD]
[TD]145[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Boeing 767-300ER[/TD]
[TD]6[/TD]
[TD]-[/TD]
[TD]-[/TD]
[TD]20[/TD]
[TD]196[/TD]
[TD]216[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Boeing 777-200ER[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD]-[/TD]
[TD]-[/TD]
[TD]28[/TD]
[TD]294[/TD]
[TD]322[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Boeing 777-300ER[/TD]
[TD]-[/TD]
[TD]1[SUP][59][/SUP][/TD]
[TD]-[/TD]
[TD="colspan: 3"]TBA[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Boeing 787–8[/TD]
[TD]-[/TD]
[TD]9[SUP][59][/SUP][/TD]
[TD]4[/TD]
[TD="colspan: 3"]TBA[/TD]
[TD]EIS: Fourth quarter 2013[SUP][60][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Embraer 170[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD]-[/TD]
[TD]-[/TD]
[TD]8[/TD]
[TD]64[/TD]
[TD]72[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Embraer 190[/TD]
[TD]8[/TD]
[TD]7[/TD]
[TD]-[/TD]
[TD]12[/TD]
[TD]84[/TD]
[TD]96[SUP][61][/SUP][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #E62020"]
[TH="colspan: 8"]Cargo Fleet[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Boeing 747-400BCF[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]-[/TD]
[TD]-[/TD]
[TD="class: table-na, bgcolor: #ECECEC, colspan: 3"]N/A[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Total[/TH]
[TH]39[/TH]
[TH]17[/TH]
[TH]4[/TH]
[TH="colspan: 4"][/TH]
[/TR]
[/TABLE]


Air Tanzania
Fleet

As of May 2012:
[TABLE="class: toccolours"]
[TR="bgcolor: #1E90FF"]
[TH]Aircraft[/TH]
[TH]Total[/TH]
[TH]Registration[/TH]
[TH]Notes[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Bombardier Dash 8[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]5H-MWF[/TD]
[TD]To enter service in 2012.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Boeing 737-500[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]4L-ABJ[/TD]
[TD]Leased from Aerovista Airlines[SUP][27][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Total[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
[h=1]Nairobi Stock Exchange-Listed Companies[/h][h=1][/h]For details on how to be listed, please see our NSE Listing Manual
[TABLE="class: directoryList, width: 1"]
[TR]
[TH="bgcolor: #2A2929, colspan: 2"]AGRICULTURAL[/TH]
[/TR]
[TR="class: row0"]
[TD="class: title"]Eaagads Ltd Ord 1.25[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR="class: row1"]
[TD="class: title, bgcolor: #EFFAFF"]Kapchorua Tea Co. Ltd Ord Ord 5.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EFFAFF"][/TD]
[/TR]
[TR="class: row0"]
[TD="class: title"]Kakuzi Ord.5.00[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR="class: row1"]
[TD="class: title, bgcolor: #EFFAFF"]Limuru Tea Co. Ltd Ord 20.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EFFAFF"][/TD]
[/TR]
[TR="class: row0"]
[TD="class: title"]Rea Vipingo Plantations Ltd Ord 5.00[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR="class: row1"]
[TD="class: title, bgcolor: #EFFAFF"]Sasini Ltd Ord 1.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EFFAFF"][/TD]
[/TR]
[TR="class: row0"]
[TD="class: title"]Williamson Tea Kenya Ltd Ord 5.00[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: #2A2929, colspan: 2"]COMMERCIAL AND SERVICES[/TH]
[/TR]
[TR="class: row1"]
[TD="class: title, bgcolor: #EFFAFF"]Express Ltd Ord 5.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EFFAFF"][/TD]
[/TR]
[TR="class: row0"]
[TD="class: title"]Kenya Airways Ltd Ord 5.00[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR="class: row1"]
[TD="class: title, bgcolor: #EFFAFF"]Nation Media Group Ord. 2.50[/TD]
[TD="bgcolor: #EFFAFF"][/TD]
[/TR]
[TR="class: row0"]
[TD="class: title"]Standard Group Ltd Ord 5.00[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR="class: row1"]
[TD="class: title, bgcolor: #EFFAFF"]TPS Eastern Africa (Serena) Ltd Ord 1.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EFFAFF"][/TD]
[/TR]
[TR="class: row0"]
[TD="class: title"]Scangroup Ltd Ord 1.00[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR="class: row1"]
[TD="class: title, bgcolor: #EFFAFF"]Uchumi Supermarket Ltd Ord 5.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EFFAFF"][/TD]
[/TR]
[TR="class: row0"]
[TD="class: title"]Hutchings Biemer Ltd Ord 5.00[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR="class: row1"]
[TD="class: title, bgcolor: #EFFAFF"]Longhorn Kenya Ltd[/TD]
[TD="bgcolor: #EFFAFF"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: #2A2929, colspan: 2"]TELECOMMUNICATION AND TECHNOLOGY[/TH]
[/TR]
[TR="class: row0"]
[TD="class: title"]AccessKenya Group Ltd Ord. 1.00[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR="class: row1"]
[TD="class: title, bgcolor: #EFFAFF"]Safaricom Ltd Ord 0.05[/TD]
[TD="bgcolor: #EFFAFF"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: #2A2929, colspan: 2"]AUTOMOBILES AND ACCESSORIES[/TH]
[/TR]
[TR="class: row0"]
[TD="class: title"]Car and General (K) Ltd Ord 5.00[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR="class: row1"]
[TD="class: title, bgcolor: #EFFAFF"]CMC Holdings Ltd Ord 0.50[/TD]
[TD="bgcolor: #EFFAFF"][/TD]
[/TR]
[TR="class: row0"]
[TD="class: title"]Sameer Africa Ltd Ord 5.00[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR="class: row1"]
[TD="class: title, bgcolor: #EFFAFF"]Marshalls (E.A.) Ltd Ord 5.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EFFAFF"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: #2A2929, colspan: 2"]BANKING[/TH]
[/TR]
[TR="class: row0"]
[TD="class: title"]Barclays Bank Ltd Ord 2.00[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR="class: row1"]
[TD="class: title, bgcolor: #EFFAFF"]CFC Stanbic Holdings Ltd ord.5.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EFFAFF"][/TD]
[/TR]
[TR="class: row0"]
[TD="class: title"]Diamond Trust Bank Kenya Ltd Ord 4.00[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR="class: row1"]
[TD="class: title, bgcolor: #EFFAFF"]Housing Finance Co Ltd Ord 5.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EFFAFF"][/TD]
[/TR]
[TR="class: row0"]
[TD="class: title"]Kenya Commercial Bank Ltd Ord 1.00[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR="class: row1"]
[TD="class: title, bgcolor: #EFFAFF"]National Bank of Kenya Ltd Ord 5.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EFFAFF"][/TD]
[/TR]
[TR="class: row0"]
[TD="class: title"]NIC Bank Ltd 0rd 5.00[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR="class: row1"]
[TD="class: title, bgcolor: #EFFAFF"]Standard Chartered Bank Ltd Ord 5.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EFFAFF"][/TD]
[/TR]
[TR="class: row0"]
[TD="class: title"]Equity Bank Ltd Ord 0.50[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR="class: row1"]
[TD="class: title, bgcolor: #EFFAFF"]The Co-operative Bank of Kenya Ltd Ord 1.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EFFAFF"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: #2A2929, colspan: 2"]INSURANCE[/TH]
[/TR]
[TR="class: row0"]
[TD="class: title"]Jubilee Holdings Ltd Ord 5.00[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR="class: row1"]
[TD="class: title, bgcolor: #EFFAFF"]Pan Africa Insurance Holdings Ltd 0rd 5.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EFFAFF"][/TD]
[/TR]
[TR="class: row0"]
[TD="class: title"]Kenya Re-Insurance Corporation Ltd Ord 2.50[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR="class: row1"]
[TD="class: title, bgcolor: #EFFAFF"]CFC Insurance Holdings[/TD]
[TD="bgcolor: #EFFAFF"][/TD]
[/TR]
[TR="class: row0"]
[TD="class: title"]British-American Investments Company ( Kenya) Ltd Ord 0.10[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR="class: row1"]
[TD="class: title, bgcolor: #EFFAFF"]CIC Insurance Group Ltd Ord 1.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EFFAFF"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: #2A2929, colspan: 2"]INVESTMENT[/TH]
[/TR]
[TR="class: row0"]
[TD="class: title"]City Trust Ltd Ord 5.00[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR="class: row1"]
[TD="class: title, bgcolor: #EFFAFF"]Olympia Capital Holdings ltd Ord 5.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EFFAFF"][/TD]
[/TR]
[TR="class: row0"]
[TD="class: title"]Centum Investment Co Ltd Ord 0.50[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR="class: row1"]
[TD="class: title, bgcolor: #EFFAFF"]Trans-Century Ltd[/TD]
[TD="bgcolor: #EFFAFF"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: #2A2929, colspan: 2"]MANUFACTURING AND ALLIED[/TH]
[/TR]
[TR="class: row0"]
[TD="class: title"]B.O.C Kenya Ltd Ord 5.00[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR="class: row1"]
[TD="class: title, bgcolor: #EFFAFF"]British American Tobacco Kenya Ltd Ord 10.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EFFAFF"][/TD]
[/TR]
[TR="class: row0"]
[TD="class: title"]Carbacid Investments Ltd Ord 5.00[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR="class: row1"]
[TD="class: title, bgcolor: #EFFAFF"]East African Breweries Ltd Ord 2.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EFFAFF"][/TD]
[/TR]
[TR="class: row0"]
[TD="class: title"]Mumias Sugar Co. Ltd Ord 2.00[/TD]
[TD]Announcements[/TD]
[/TR]
[TR="class: row1"]
[TD="class: title, bgcolor: #EFFAFF"]Unga Group Ltd Ord 5.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EFFAFF"][/TD]
[/TR]
[TR="class: row0"]
[TD="class: title"]Eveready East Africa Ltd Ord.1.00[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR="class: row1"]
[TD="class: title, bgcolor: #EFFAFF"]Kenya Orchards Ltd Ord 5.00[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Dar stock exchange/DSE
[TABLE="class: wikitable"]
[TR]
[TH="bgcolor: #F2F2F2, align: center"]Symbol[/TH]
[TH="bgcolor: #F2F2F2, align: center"]Company[/TH]
[TH="bgcolor: #F2F2F2, align: center"]Notes[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]01.TOL[/TD]
[TD]Tol Gases Limited[/TD]
[TD]Production of Oxygen, Industrial Gases, Welding Equipment[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]02.TBL[/TD]
[TD]Tanzania Breweries Limited[/TD]
[TD]Beer Brewing, Beer Marketing Beer Distribution[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]03.TATEPA[/TD]
[TD]Tanzania Tea Packers Limited[/TD]
[TD]Tea Packaging & Distribution, Coffee Packaging & Distribution[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]04.TCC[/TD]
[TD]Tanzania Cigarette Company Limited[/TD]
[TD]Cigarettes, Tobacco Products[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]05.SIMBA[/TD]
[TD]Tanga Cement Company Limited[/TD]
[TD]Cement[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]06.SWISSPORT[/TD]
[TD]Swissport Tanzania Limited[/TD]
[TD]Aviation, Ground Handling, Cargo Handling[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]07.TWIGA[/TD]
[TD]Tanzania Portland Cement Company Limited[/TD]
[TD]Cement[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]08.DCB[/TD]
[TD]Dar es Salaam Community Bank[/TD]
[TD]Banking, Finance[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]09.NMB[/TD]
[TD]National Microfinance Bank[/TD]
[TD]Banking, Finance[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]10.KA[/TD]
[TD]Kenya Airways[/TD]
[TD]Aviation[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]11.EABL[/TD]
[TD]East African Breweries Limited[/TD]
[TD]Beer, Gin, Spirits[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]12.JHL[/TD]
[TD]Jubilee Holdings Limited[/TD]
[TD]Insurance[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]13. KCB[/TD]
[TD]KCB Group[/TD]
[TD]Banking, Finance[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]14.CRDB[/TD]
[TD]CRDB Bank[/TD]
[TD]Banking, Finance[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]15.NMG[/TD]
[TD]Nation Media Group[/TD]
[TD]Publishing, Printing, Television, Broadcasting[SUP][4][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]16.ABG[/TD]
[TD]African Barrick Gold[/TD]
[TD]Mining[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]17.PAL[/TD]
[TD]Precision Air Services Limited[/TD]
[TD]Aviation Services

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Back
Top Bottom