ipo siku utakufa
Senior Member
- Dec 8, 2016
- 146
- 529
Hivi karibuni serikali ilikamata Ng'ombe 6000 kutoka Uganda walioingia nchini na kuwapiga mnada lakini Uganda wamenyamaza na wala hawalii na kama hio haitoshi Rais amekutana na Museveni mpakani na kufungua kituo kwa pamoja huku wakiwa na bashasha na Mh Rais atafanya ziara nchini Uganda
Turudi sasa kwa hawa majirani wengine Kenya kupigiwa mnada Ng'ombe 1600 tu wanapiga makelele, wanalia na baadhi ya viongozi kuanza kuropoka.
Why Kenya mbona Uganda ambao idadi ya Ng'ombe kubwa zaidi wameshikiliwa na wapo calm.
Na uhusiano upo imara zaidi
Kenyans acheni kulialia na Bavicha mbona hamuwatetei Uganda ?