Kwanini Kenya wanalia mbona Uganda wamepigiwa mnada Ng'ombe 6000 hawalalakiki na Magufuli yupo Uganda saizi

Sawa. Lakini kumbuka penye Moshi. Ndo penye moto. Baada tusije tukalalamika.

Sioni maendeleo ya Jumuiya ya Afrika mashariki.
Nafikiri tungejitoa. Ili kila mtu aishi kivyake.

wee hujui jumuiya ilikuwa ni ile ya kwanza. hii ni uzushi tu. kama unakumbuka wakenya walichofanya wakati wa mchakato wa bomba la mafuta walitupiga vita mpaka walikuwa wanatuma mamluki. uzuri tuliwakamata wakakaa selo mpaka wale delegates ya Uganda ilipomaliza kazi. maana walijichomeka kwenye delegate ya Uganda.
 
UUNGWANA SI UNYONGE.
Ongea na kiongozi mwenzio. Bwana imekuwaje wananchi wako wameingiza mifugo nchini mwangu?
Mwenzio atakujibu. Labda wamekosea kwa bahati mbaya. Nitawakanya. Kesho wasirudie.
Na hata kama kuna uhalifu umetokea. Unaweza ukamwambia akufidie.
Ili umpe ng'ombe wake.
Naamini ili jambo lingeisha bila kuyumbisha uhusiano wetu.

hiyo ingekuwa sawa kwa Zambia au Kongo au hata Malawi, lkn si Kenya. mwaka 2007 walijipanga kuja kufanya ambush Moshi kuokoa majambazi wenzao. thanks to our intelligence system. kilichowatokea hawata kisahau.
 
Kenya maisha yatazidi kuwa magumu. Maana serikali itaongeza kodi kufidia gharama za uchaguzis (3).
 
Elimu ya nini ?

Ng'ombe wameingizwa nchini kwa uvunjwaji wa sheria tena wameingizwa kwenye hifadhi ..mtu akivunja sheria za nchi ,sheria zinasemaje

Kwani serikali iliingia Kenya na kuwaiba au baada ya sheria kuvunjwa wakachukua hatua?

Ndio umejiona umeandika point mwenyewe ,genius eti Tanzania tuna safari ndefu sana
Wewe beberu tu.....kichwa chako kimevimba na mavi tu....logic gani unatumia? Ndiyo maana Dr Mwakyembe amewadharau sana maTz kwenye hoja mitandaoni akasema afadhali Kenyans.
 
Ya jumuiya. Yanamalizwa ki Jumuiya.
Kuku wa jirani yako ameingia kwenye banda lako.
Utamkamata na kwenda kumuuza au utamrudishia mwenyewe?
Mfano wako umenichekesha..

Cha msingi tujiulize , je Tanzania imekiuka sheria yoyote?

Kama hapana, je ni makosa kwa nchi kufuata sheria ilizojiwekea?
 
hiyo ingekuwa sawa kwa Zambia au Kongo au hata Malawi, lkn si Kenya. mwaka 2007 walijipanga kuja kufanya ambush Moshi kuokoa majambazi wenzao. thanks to our intelligence system. kilichowatokea hawata kisahau.
Eti Malawi ....ipi tena mupo nayo kwenye mugogolo wakufa na kupona kwasababu ya ziwa yawo?
 
Eti Malawi ....ipi tena mupo nayo kwenye mugogolo wakufa na kupona kwasababu ya ziwa yawo?

do you know reparian rights for reparian countries. that's why we relaxed because the lake Nyasa is safe.
 
Back
Top Bottom