Kwanini Kenya wanalia mbona Uganda wamepigiwa mnada Ng'ombe 6000 hawalalakiki na Magufuli yupo Uganda saizi

ipo siku utakufa

Senior Member
Dec 8, 2016
146
529
Hivi karibuni serikali ilikamata Ng'ombe 6000 kutoka Uganda walioingia nchini na kuwapiga mnada lakini Uganda wamenyamaza na wala hawalii na kama hio haitoshi Rais amekutana na Museveni mpakani na kufungua kituo kwa pamoja huku wakiwa na bashasha na Mh Rais atafanya ziara nchini Uganda

d546fac8a0354a43860b9add6226b395.jpg

Turudi sasa kwa hawa majirani wengine Kenya kupigiwa mnada Ng'ombe 1600 tu wanapiga makelele, wanalia na baadhi ya viongozi kuanza kuropoka.

Why Kenya mbona Uganda ambao idadi ya Ng'ombe kubwa zaidi wameshikiliwa na wapo calm.

Na uhusiano upo imara zaidi

de354d0b25a59330a746814f944f6c12.jpg

Kenyans acheni kulialia na Bavicha mbona hamuwatetei Uganda ?
 
Hivi karibuni serikali ilikamata Ng'ombe 6000 kutoka Uganda walioingia nchini na kuwapiga mnada lakini Uganda wamenyamaza na wala hawalii na kama hio haitoshi Rais amekutana na Museveni mpakani na kufungua kituo kwa pamoja huku wakiwa na bashasha na Mh Rais atafanya ziara nchini Uganda

d546fac8a0354a43860b9add6226b395.jpg

Turudi sasa kwa Hawa majirani wengine Kenya kupigiwa mnada Ng'ombe 1600 tu wanapiga makelele,wanalia na baadhi ya viongozi kuanza kuropoka

Why Kenya mbona Uganda ambao idadi ya Ng'ombe kubwa zaidi wameshikiliwa na wapo calm

Na uhusiano upo imara zaidi

de354d0b25a59330a746814f944f6c12.jpg

Kenyans acheni kulialia na Bavicha mbona hamuwatetei Uganda ?
Tanzania tunayo safari ndefu kama bado wengi wanayo akili za kibashite. Hatufiki mbali TANZANIA INAHITAJI ELIMU KULIKO KITU CHOCHOTE KILE
 
If Bwana X akitendewa ubaya akanyamaza then wooote wakitendewa ubaya ule ule wanapaswa kunyamaza eti tu kwa vile Bwana X alinyamaza?. Kuna tataizo kubwa kwa watanzania wa sasa. Somo la filosofia lianze kufundishwa kuanzia shule za msingi
I second you Mr. Ferdinando Sucre.
 
Tanzania tunayo safari ndefu kama bado wengi wanayo akili za kibashite. Hatufiki mbali TANZANIA INAHITAJI ELIMU KULIKO KITU CHOCHOTE KILE
Elimu ya nini ?

Ng'ombe wameingizwa nchini kwa uvunjwaji wa sheria tena wameingizwa kwenye hifadhi ..mtu akivunja sheria za nchi ,sheria zinasemaje

Kwani serikali iliingia Kenya na kuwaiba au baada ya sheria kuvunjwa wakachukua hatua?

Ndio umejiona umeandika point mwenyewe ,genius eti Tanzania tuna safari ndefu sana
 
Hivi karibuni serikali ilikamata Ng'ombe 6000 kutoka Uganda walioingia nchini na kuwapiga mnada lakini Uganda wamenyamaza na wala hawalii na kama hio haitoshi Rais amekutana na Museveni mpakani na kufungua kituo kwa pamoja huku wakiwa na bashasha na Mh Rais atafanya ziara nchini Uganda

d546fac8a0354a43860b9add6226b395.jpg

Turudi sasa kwa Hawa majirani wengine Kenya kupigiwa mnada Ng'ombe 1600 tu wanapiga makelele,wanalia na baadhi ya viongozi kuanza kuropoka

Why Kenya mbona Uganda ambao idadi ya Ng'ombe kubwa zaidi wameshikiliwa na wapo calm

Na uhusiano upo imara zaidi

de354d0b25a59330a746814f944f6c12.jpg

Kenyans acheni kulialia na Bavicha mbona hamuwatetei Uganda ?
Wewe sifia tu eti Uganda hawalalamiki kisa huwajui akina Museveni...Museveni anaweza kumpa hata na ndege ya kwenda kuringishia kijijini kwake Lyabambagwe lakini kabla hajarefusha bichwa asome kilichompata Dr.John Garang
 
Kwa maelezo hayo inaonyesha dhahiri Kenya wanathamini watu wao, biashara zao mpaka na Mali zao.

Hongera sana na ndo maana wanatukimbiza karibia kila sekta
 
Afadhali Rafiki au jirani anayepiga kelele akihisi umemkosea kuliko jirani anayekunyamazia na kukusalimia mkono huku akitabasamu hata baada ya kumkosea.

Kawaida ya mkenya ukimkosea hatanyamaza, atakujulisha hisia zake usoni mwako akikuangalia, hatangojea ugeuke uumpe mgongo alafu ndo akudunge kisu kama watu wengine
 
Back
Top Bottom