Kwanini katika Nchi zote Afrika, ni Kenya tu!

Kwanini katika Nchi zote Afrika, ni Kenya tu!

Nina wasiwasi kwamba kweli uchumi wa Ethiopia ni mkubwa kuliko wa Kenya. Lakini hata hivyo, mimi ninaamini kwamba bandari ya Bagamoyo haijengwi kwa lengo la kuipiku Mombasa, bali ni kwasababu ya biashara ya gesi kati ya wachina na watz.
Usiwe na wasiwasi ni kweli uchumi wa Ethiopia ni mkubwa kuliko wa Kenya, ukubwa wa uchumi ni tofauti na per capita income.
 
Usiwe na wasiwasi ni kweli uchumi wa Ethiopia ni mkubwa kuliko wa Kenya, ukubwa wa uchumi ni tofauti na per capita income.

Ungekua unajua jinsi uchumi huhesabiwa hungekimbilia kuisifia Ethiopia wakati ina watu wengi zaidi ya Kenya, ina ardhi nyingi zaidi ya Kenya lakini GDP yake piga hesabu na ndio ulinganishe.
 
Wakenyà hawana lolote la kuwagwaya, si tumesomanao Chuo Kampala enzi hizo na tulikuwa tunawaongoza na wanatukubali, ukijisikia ni mnyonge kwa wakenya ni we we binafsi, kwa upande wangu sinakitu cha kunifanya niwe mnyonge na kutojiamini eti sababu ya mKenya, nadhani ni mtazamo tu.
 
Hata kwenye ufisadi tunajiringanisha na Kenya: mfano mtu utamsikia anasema kashfa ya ESCROW ni zaid ya ile kashfa ya GOLDENBERG ya Kenya!
Singasinga Seth aliiangusha serkal ya KANU na sasa CCM!
 
Ungekua unajua jinsi uchumi huhesabiwa hungekimbilia kuisifia Ethiopia wakati ina watu wengi zaidi ya Kenya, ina ardhi nyingi zaidi ya Kenya lakini GDP yake piga hesabu na ndio ulinganishe.
Lawmaina78 sio mie niliyekuwa nacalculate wala sio mie niliyesema kenya ina uchumi mdogo kuliko Ethiopia. Sasa najua mmerebase uchumi wenu mwishoni mwa mwezi wa tisa, kwa base mpya ndio mnaonekana mko juu ya Ethiopia lakini Ethiopia hawajarebase na wakirebase Ethiopia watashoot zaidi kwa kiasi kikubwa kuliko kenya kwasababu Ethiopia katika miaka ya karibuni ndio imekuwa ikifanya projects mpya nyingi kuliko nchi yeyote ktk Afrika. Hata hivyo hii thread ilipostiwa tarehe 10 september wakati kenya bado haijaja na data baada ya rebasing hivyo post yangu ilikuwa sahihi maana ilikuwa imebase ktk info za kabla. kama list inavyojieleza hapo chini.

[TABLE="width: 0"]
[TR="bgcolor: #EFEFEF"]
[TD]Region
Rank
[/TD]
[TD]World
Rank
[/TD]
[TD]Country[/TD]
[TD]2013 GDP (nominal)
billions of US dollars[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]-[/TD]
[TD]-[/TD]
[TD]Africa[/TD]
[TD]2,263,744[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1[/TD]
[TD]24[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Nigeria.svg.png
Nigeria[/TD]
[TD]521,790[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2[/TD]
[TD]34[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_South_Africa.svg.png
South Africa[/TD]
[TD]350,579[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3[/TD]
[TD]41[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Egypt.svg.png
Egypt[/TD]
[TD]272,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4[/TD]
[TD]50[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Algeria.svg.png
Algeria[/TD]
[TD]211,906[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5[/TD]
[TD]60[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Angola.svg.png
Angola[/TD]
[TD]121,704[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6[/TD]
[TD]61[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Morocco.svg.png
Morocco[/TD]
[TD]105,101[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7[/TD]
[TD]67[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Sudan.svg.png
Sudan[/TD]
[TD]70,127[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]8[/TD]
[TD]68[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Ghana.svg.png
Ghana[/TD]
[TD]55,206[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9[/TD]
[TD]79[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Libya.svg.png
Libya[/TD]
[TD]54,890[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]10[/TD]
[TD]81[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Ethiopia.svg.png
Ethiopia[/TD]
[TD]48,145[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]11[/TD]
[TD]85[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Tunisia.svg.png
Tunisia[/TD]
[TD]47,439[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]12[/TD]
[TD]83[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Kenya.svg.png
Kenya[/TD]
[TD]44,223[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]13[/TD]
[TD]94[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Tanzania.svg.png
Tanzania[/TD]
[TD]34,238[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]13[/TD]
[TD]94[/TD]
[TD]
20px-Flag_of_the_Democratic_Republic_of_the_Congo.svg.png
Democratic Republic of the Congo[/TD]
[TD]30,639[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]14[/TD]
[TD]98[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Cameroon.svg.png
Cameroon[/TD]
[TD]27,957[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]15[/TD]
[TD]97[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_C%C3%B4te_d%27Ivoire.svg.png
Ivory Coast[/TD]
[TD]28,288[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
kwanza uchumi wa kenya unakuwa kwasababu tz tumeshindwa kusimama kwenye nafasi yetu Africa mashariki, tunapaswa kuwapita kenya kwa kila kitu kabla ya kusonga mbele zaidi
 
Hii ni habari ya mitaani na vijiweni.hakuna siku ambayo serikali ya Tanzania ilifanya kitu imejenga mradi kwa kuiga kenya.ila kenya ndo huwa inafatilia Tz inafanya nini ili wao wafanye kuizidi.kenya inaangalia tz imeishia wapi ili yenyewe ifanye kuizidi tz.mfano,
1.Tz ndio muasisi wa lugha ya kiswahili kuwa lugha ya Taifa,kenya wameweka kwenye katiba mpya nao.
2.Tz ilianzisha barozi wa nyumba 10,kenya imeiga tayari.
3.Tz imejenga viwanja vya mpira kila mkoa,kenya nayo imejikongoja.tukawamaliza na uwanja mpya wao bado wanajipanga.
4.Tanzania ilianzisha RELI inayotoka dsm hadi zambia ,kenya nao wanaiga na kuboresha.
sisi Tanzania tunazidiwa na kenya kitu kimoja tu.tz tuna watawala lakini kenya kuna viongozi.kuhusu uchumi,sisi tuliwafukuza kabisa wazungu, wakati kenya haikufanya hivyo kwa settlers wao.hao ndio wanaofanya kenya iwe na sarafu imara kidogo kwakua wana export bidhaa.lakini kwa maisha YA MTU MMOJA MMOJA sisi tuko vizuri.
 
​
Kenyans Are Very Arrogant By Nature.Ni Watu Wapendao Kujitapa Na Kuwananga Watz Kwa Majina Mengi, Hii Imeleta Hofu Na Kutojiamin Kwa WTz.
Is Kenyan's arrogance the problem or is it our low self esteem?
 
Hii ni habari ya mitaani na vijiweni.hakuna siku ambayo serikali ya Tanzania ilifanya kitu imejenga mradi kwa kuiga kenya.ila kenya ndo huwa inafatilia Tz inafanya nini ili wao wafanye kuizidi.kenya inaangalia tz imeishia wapi ili yenyewe ifanye kuizidi tz.mfano,
1.Tz ndio muasisi wa lugha ya kiswahili kuwa lugha ya Taifa,kenya wameweka kwenye katiba mpya nao.
2.Tz ilianzisha barozi wa nyumba 10,kenya imeiga tayari.
3.Tz imejenga viwanja vya mpira kila mkoa,kenya nayo imejikongoja.tukawamaliza na uwanja mpya wao bado wanajipanga.
4.Tanzania ilianzisha RELI inayotoka dsm hadi zambia ,kenya nao wanaiga na kuboresha.
sisi Tanzania tunazidiwa na kenya kitu kimoja tu.tz tuna watawala lakini kenya kuna viongozi.kuhusu uchumi,sisi tuliwafukuza kabisa wazungu, wakati kenya haikufanya hivyo kwa settlers wao.hao ndio wanaofanya kenya iwe na sarafu imara kidogo kwakua wana export bidhaa.lakini kwa maisha YA MTU MMOJA MMOJA sisi tuko vizuri.
Hapa Jf tunajadili facts sio habari ya mitaani na vijiweni.
kwa mfano, Kenya ilipoazimia kujenga tech city About Konza | Konza Techno City, miezi michache baadae Tanzania ikaja na raphta city Tanzania Answers To Konza Technology City With "Raphta City" – Techmtaa.
Konza city ipo kwenye hatua ya kujenga miundo mbinu ikiwemo barabara, umeme na bwawa litakalo supply maji kwenye city.COMMISSIONING OF KONZA INFRASTRUCTURE BY H.E. THE DEPUTY PRESIDENT HON. WILLIAM RUTO ON 15 Dec 2014 | Konza Techno City na
Kenya power completed provision of initial power to Phase 1 | Konza Techno City
alie na info kuhusu maendeleo ya raphta tech city atujuze

Alafu mtu hataki tujilinganishe na kenya!!! Utanisamehe
 
hata mwalimu jk nyerere alisema kabla ujaenda kutafuta watalam au wawekezaji ughaibuni angalia kwanza kwa majirani zako wanaokuzunguka kama wapo wanao weza

hivyo hakuna ubaya wowote maana hali hiyo inaongeza ushindani na wivu wa kimaendeleo kati ya Tz na kenya
 
​ Is Kenyan's arrogance the problem or is it our low self esteem?
Haha..KWa taarifa yako hata Akili zao wote hazitofautiani,na kila mmoja asipomwona mwenzie anafikrii kapotea,na akimwona anataka kushindana nae.Mwisho wa siku kila mmoja ni reference ya mwenzie.Na kila mtu asipojua mwingine kaamkaje na anafanya nini basi huogopa na kudhani kaachwa sana.Wote hupenda kugombea wapenzi.Inajenga afya lakini.
 
Lazima ufahamu wote wanaojilinganisha nA Kenya, hiyo ndio level yao. Vyombo vya habari wakati wa enzi hizo hasa vile vilivyokuwa na nguvu kupitia UK vilikuwa na makao makuu yake pale Nairobi kwa ukanda wa E Afrika na tulikuwa na EAC ambayo Kenya waliivunja kwa makusudi kabisa kwa ukorofi tu, ili kutukomoa Wabongo, matokeo yake Mwalimu alifunga mpaka hadi pale Waziri mkuu aliyekuwa bora kabisa Tanzania na hajawahi kutokea mwingine ambaye alikuwa anaifahamu kazi yake sawa sawa Moringe Sokoine. Huyu angekuwepo nakwambia hawa wezi kama kina JK leo hii wangekuwa wananyea debe long time. Alimwambia mwalimu fungua mpaka kwa sababu tunaweza kulinda chokochoko zozote ambazo zinaweza kutokea kutoka kwa Manyang'au nk.

Kenya uchumi wao ulipanda haraka sana kwa sababu viwanda vyao vingi ni vya wageni hususan UK ambao waliwa-colonise (Si unafahamu Tanganyika haikuwa koloni la uingereza) hivyo wakiwaambia inama wanainama hawana sheda. Kwa hiyo wanawapendelea kwa Kila jambo si unaona hata kenyatta kesi yake imepoozwa sio kwa sababu ya haki ni kwa sababu ya UK ambayo inamiliki ardhi kubwa kule Kenya usione wana husda na ardhi yetu wanaitaka kwa udi na uvumba .... ....... ..... ... .anyway nitaendelea kesho ... ... stay tuned .... ..
 
Hivi ni kwanini ktk nchi zooote barani Afrika zaidi ya 50, Watz wengi hupenda kujipima na kujilinganisha na Kenya tu?
Na hii ni kuanzia Viongozi mpaka Wananchi yaani kwa mfano kuna nchi nyingi sana Afrika ambazo zinaizidi Nchi yetu kiuchumi kwamba zina Uchumi mkubwa kuliko wetu, sasa ni kwa nini tuwe tunajilinganisha na Kenya tu?

Hata kwenye malengo ya Nchi utasikia Viongozi (wetu) mwaka fulani tutaipita Kenya, hata kama tukijenga Kiwanja cha mpira utasikia ni kikubwa AM nzima (na hapo wanamaanisha nchi mbili tu UG na hasa Kenya), hata kama ni ukumbi wa Disko tu utasikia ni mkubwa hata Kenya hamna, kwanini tusiseme hiki Kiwanja ni kikubwa Afrika Nzima?

Hata kwenye bandari lengo ni kuizidi Bandari ya Mombasa tu, sasa kwanini isiwe kuwa na Bandari kubwa na yenye ufanisi kushinda zote Afrika nzima? yaani tushindane na Beira, Durban, Djibouti n.k ni kwa nini Kenya tu?

Ukija kwenye Reli ni hivyo Mshindani na wakujilinganisha naye ni Kenya tu! Kwanini isiwe Kongo, Zambia, Malawi, Zimbabwe, Ethiopia n.k

Ukija kwenye Utalii ni hivyo hivyo lengo SIYO kupata watalii wengi kuliko nchi zote Afrika, hapana bali ni kuwa na Watalii wengi kuliko Kenya, sasa ni kwanini? Kwa nini Siyo lkuliko Zimbabwe au AK au Misri?

Kuna anaye jua sababu hasa, ni kwa nini Kipimo chetu ni Kenya tu? Na je kama tukifanikiwa kuwazidi Kenya Kiuchumi, tutakuwa tumefanikiwa nini hasa?

Duh! yaani uko gud sana "kama #wakenya " aisee!
 
Duh! asante kwa kuniita huku mkuu. Post kama hizi niwe nakua tagged hata kabla haijaanza. Haya sasa wacha nisome comments zote na kutoa msimamo wangu.
Mimi kwa nchi za africa mashariki naona kenya ni kama ndugu tu,siwezi nikawa free nchi zingine kama Kenya,nina ndugu wengi kenya,ila nipo free kusafiri kenya mda wowote kuliko nchi zingine,pia wakenya wengi tumewazoea,kumwona mkenya bongo ni kawaida tu.

Sasa heri kujilinganisha na unayemfahamu kuliko usiyemfahamu
 
Kenya(narobi)ndo makao makuu ya wakoloni East Africa
 
Hayo maswali angepatikana kiongoz mmoja akajibu ingelikua safi
 
we mwnywe unajua! watz kukopy na kupest ndio zao! kenya heshima kazi!!
 
Hii ni habari ya mitaani na vijiweni.hakuna siku ambayo serikali ya Tanzania ilifanya kitu imejenga mradi kwa kuiga kenya.ila kenya ndo huwa inafatilia Tz inafanya nini ili wao wafanye kuizidi.kenya inaangalia tz imeishia wapi ili yenyewe ifanye kuizidi tz.mfano,
1.Tz ndio muasisi wa lugha ya kiswahili kuwa lugha ya Taifa,kenya wameweka kwenye katiba mpya nao.
2.Tz ilianzisha barozi wa nyumba 10,kenya imeiga tayari.
3.Tz imejenga viwanja vya mpira kila mkoa,kenya nayo imejikongoja.tukawamaliza na uwanja mpya wao bado wanajipanga.
4.Tanzania ilianzisha RELI inayotoka dsm hadi zambia ,kenya nao wanaiga na kuboresha.
sisi Tanzania tunazidiwa na kenya kitu kimoja tu.tz tuna watawala lakini kenya kuna viongozi.kuhusu uchumi,sisi tuliwafukuza kabisa wazungu, wakati kenya haikufanya hivyo kwa settlers wao.hao ndio wanaofanya kenya iwe na sarafu imara kidogo kwakua wana export bidhaa.lakini kwa maisha YA MTU MMOJA MMOJA sisi tuko vizuri.

Hahahaa!! kaka naomba sana usiwe mmojawapo wa wasomi wanaotegemewa nchi yenu.
 
Lazima ufahamu wote wanaojilinganisha nA Kenya, hiyo ndio level yao. Vyombo vya habari wakati wa enzi hizo hasa vile vilivyokuwa na nguvu kupitia UK vilikuwa na makao makuu yake pale Nairobi kwa ukanda wa E Afrika na tulikuwa na EAC ambayo Kenya waliivunja kwa makusudi kabisa kwa ukorofi tu, ili kutukomoa Wabongo, matokeo yake Mwalimu alifunga mpaka hadi pale Waziri mkuu aliyekuwa bora kabisa Tanzania na hajawahi kutokea mwingine ambaye alikuwa anaifahamu kazi yake sawa sawa Moringe Sokoine. Huyu angekuwepo nakwambia hawa wezi kama kina JK leo hii wangekuwa wananyea debe long time. Alimwambia mwalimu fungua mpaka kwa sababu tunaweza kulinda chokochoko zozote ambazo zinaweza kutokea kutoka kwa Manyang'au nk.

Kenya uchumi wao ulipanda haraka sana kwa sababu viwanda vyao vingi ni vya wageni hususan UK ambao waliwa-colonise (Si unafahamu Tanganyika haikuwa koloni la uingereza) hivyo wakiwaambia inama wanainama hawana sheda. Kwa hiyo wanawapendelea kwa Kila jambo si unaona hata kenyatta kesi yake imepoozwa sio kwa sababu ya haki ni kwa sababu ya UK ambayo inamiliki ardhi kubwa kule Kenya usione wana husda na ardhi yetu wanaitaka kwa udi na uvumba .... ....... ..... ... .anyway nitaendelea kesho ... ... stay tuned .... ..

why do you always have to be so loud and angry bruh? chill, you'll burst a vein orsomethiing. its the holidays for Christs sake. You can always rub one out if the stress is too much.
 
Lazima ufahamu wote wanaojilinganisha nA Kenya, hiyo ndio level yao. Vyombo vya habari wakati wa enzi hizo hasa vile vilivyokuwa na nguvu kupitia UK vilikuwa na makao makuu yake pale Nairobi kwa ukanda wa E Afrika na tulikuwa na EAC ambayo Kenya waliivunja kwa makusudi kabisa kwa ukorofi tu, ili kutukomoa Wabongo, matokeo yake Mwalimu alifunga mpaka hadi pale Waziri mkuu aliyekuwa bora kabisa Tanzania na hajawahi kutokea mwingine ambaye alikuwa anaifahamu kazi yake sawa sawa Moringe Sokoine. Huyu angekuwepo nakwambia hawa wezi kama kina JK leo hii wangekuwa wananyea debe long time. Alimwambia mwalimu fungua mpaka kwa sababu tunaweza kulinda chokochoko zozote ambazo zinaweza kutokea kutoka kwa Manyang'au nk.

Kenya uchumi wao ulipanda haraka sana kwa sababu viwanda vyao vingi ni vya wageni hususan UK ambao waliwa-colonise (Si unafahamu Tanganyika haikuwa koloni la uingereza) hivyo wakiwaambia inama wanainama hawana sheda. Kwa hiyo wanawapendelea kwa Kila jambo si unaona hata kenyatta kesi yake imepoozwa sio kwa sababu ya haki ni kwa sababu ya UK ambayo inamiliki ardhi kubwa kule Kenya usione wana husda na ardhi yetu wanaitaka kwa udi na uvumba .... ....... ..... ... .anyway nitaendelea kesho ... ... stay tuned .... ..
Comments kama hizi zinanifanya nijiulize are we just plain stupid or what?!
Hizi consolation stories tunazoambiana vijiweni kwamba uchumi wa kenya, mara ardhi, mara viwanda vinamilikiwa na wazungu ni upuuzi mtupu. Tumekataa kuona ukweli kwamba better government POLICIES, ACCOUNTABILITY na a BIGGER EDUCATED POPULATION ndo zimefikisha kenya hapo ilipo.
Viwanda kumilikiwa na wazungu au wageni sio tatizo coz tunapotafuta wawekezaji its obvious investment hiyo ni yakwao, ishu ni policies zitakazo determine tutabenefit vipi na hiyo investment.
Kwa mfano, in kenya kampuni yoyote ya ndege ili ipate leseni kufanya biashara kenya, lazima asilimai 49 ya hisa zimilikiwe na wakenya. I agine policy kama hii ingetumika kwa kampuni zinazochimba madini hapa bongo!
 
Back
Top Bottom