fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,073
Kwa vile sisi tuna rais ambaye ni ombaomba ndo maana tunajilinganisha na wanaofanya kazi kujitegemea tuone kuomba ni bora zaidi kuliko kujitegemea
Kenya wako serious na makini katika mambo yao ya msingi. Wanafanya kazi kwa bidii. Wanatofauti zao na ukabila lakini kwenye mambo ya msingi ya kulijenga taifa lao hawataki mzaha hata kidogo.
ndg we ni mtu wa namna gani....The question is superfluosly founded and colloquially phrased.
Comments kama hizi zinanifanya nijiulize are we just plain stupid or what?!
Hizi consolation stories tunazoambiana vijiweni kwamba uchumi wa kenya, mara ardhi, mara viwanda vinamilikiwa na wazungu ni upuuzi mtupu. Tumekataa kuona ukweli kwamba better government POLICIES, ACCOUNTABILITY na a BIGGER EDUCATED POPULATION ndo zimefikisha kenya hapo ilipo.
Viwanda kumilikiwa na wazungu au wageni sio tatizo coz tunapotafuta wawekezaji its obvious investment hiyo ni yakwao, ishu ni policies zitakazo determine tutabenefit vipi na hiyo investment.
Kwa mfano, in kenya kampuni yoyote ya ndege ili ipate leseni kufanya biashara kenya, lazima asilimai 49 ya hisa zimilikiwe na wakenya. I agine policy kama hii ingetumika kwa kampuni zinazochimba madini hapa bongo!
Stick to the topic.Can you account for thousands of poor Kenyans who died during election and come to preach about Good governance.
Umiliki wa viwanda hauchangii kukua kwa uchumi, bali ni idadi ya viwanda na uzalishaji.Kenya uchumi wao ulipanda haraka sana kwa sababu viwanda vyao vingi ni vya wageni hususan UK
Stick to the topic.
You said
Umiliki wa viwanda hauchangii kukua kwa uchumi, bali ni idadi ya viwanda na uzalishaji.
Idadi ya viwanda itaongezeka kutokana business environment itakayotengenezwa na serekali ikiwemo miundo mbinu kama barabara na umeme wa bei nafuu, tax policies na skill and cost of labour. (Better policies ndo inayotengeneza mazingira mazuri ya biashara na kuvutia wawekezaji. A bigger educated population inaleta cheaper skilled labour, making cost of production cheaper)
Viwanda vikiwa vingi ndo uchumi utapanda kutokana na kiasi cha kodi kitakacholipwa kwa serekali, ajira kwa wafanyikazi, soko la malighafi, na huduma nyinginezo.
Sasa wewe habari za election violence na mada husika wapi na wapi?
You can go back and check on my comments if you like but i talked about better policies, am sorry if you translated that to good governance.Wewe ulisema katika majibu yako good governance sasa unaanza kuruka ruka jibu swali wacha ngebe? Hakuna raia walio nyuma kama kenya ni uendawazimu tu watu wanakwenda Kenya wanafikiri wako mbinguni. Kenyans ni manyang'au wakubwa baada ya kudhulumu mtaji wa EAC walikuwa wanajaribu kuiba forex kutoka Tanzania kama unakumbuka sakata la Stanbic walipoanza na ile benki iliyokufa the guys a loafers. Cheap labour imeshamiri pamoja na ubinafsi mkubwa walio nao. I hate to be associated with them honestly.
Hayo mashairi uliyokariri si waambie wajinga waliouza viwanda na mashirika ya umma. NBC, Posta Reli nk, huwezi kuendelea kamwe kama njia kuu za uchumi ziko mikononi mwa foreigners. Hata Japan, UK, USA na sasa unaona China hawakuweka njia kuu zao za uchumi rehani. Go back to school and then come back.
andGo back to school and then come back.
Then i know you have absolutely nothing and all this is rocket science to you, so i don't expect you to understand.Hayo mashairi uliyokariri
You can go back and check on my comments if you like but i talked about better policies, am sorry if you translated that to good governance.
You need to have an open mind but when you say things like and
Then i know you have absolutely nothing and all this is rocket science to you, so i don't expect you to understand.
Kenya kuwa na uchumi mkubwa ni jambo la kihistori.Waingereza waliifanya kenya ni makazi yao ya kudumu,hivyo uwekezaji mkubwa wa viwanda na raslimali watu viliwekezwa kenya.Kwa waojua tanganyika lilikuwa koloni la ujerumani.Baada ya ujerumani kushindwa vita ya kwanza ya dunia tanganyika ikawekwa kuwa trustship na sio koloni la kiingereza,hivyo waingereza hawakuweza wala kujenga miundombinu ya kutosha,bidhaa nyingi zilikuwa zinatoka kenya kwenye viwanda,hivyo kuwafanya kenya kuwa giants wa uchumii kwa kanda ya afrika mashariki .Hivyo kujilinganisha na kenya ni sahihi kwa kuwa ni kipimo kilicho karibu.
Hapa Jf tunajadili facts sio habari ya mitaani na vijiweni.
kwa mfano, Kenya ilipoazimia kujenga tech city About Konza | Konza Techno City, miezi michache baadae Tanzania ikaja na raphta city Tanzania Answers To Konza Technology City With Raphta City Techmtaa.
Konza city ipo kwenye hatua ya kujenga miundo mbinu ikiwemo barabara, umeme na bwawa litakalo supply maji kwenye city.COMMISSIONING OF KONZA INFRASTRUCTURE BY H.E. THE DEPUTY PRESIDENT HON. WILLIAM RUTO ON 15 Dec 2014 | Konza Techno City na
Kenya power completed provision of initial power to Phase 1 | Konza Techno City
alie na info kuhusu maendeleo ya raphta tech city atujuze
Alafu mtu hataki tujilinganishe na kenya!!! Utanisamehe
Hahahaa!! kaka naomba sana usiwe mmojawapo wa wasomi wanaotegemewa nchi yenu.
Kenya kuwa na uchumi mkubwa ni jambo la kihistori.Waingereza waliifanya kenya ni makazi yao ya kudumu,hivyo uwekezaji mkubwa wa viwanda na raslimali watu viliwekezwa kenya.Kwa waojua tanganyika lilikuwa koloni la ujerumani.Baada ya ujerumani kushindwa vita ya kwanza ya dunia tanganyika ikawekwa kuwa trustship na sio koloni la kiingereza,hivyo waingereza hawakuweza wala kujenga miundombinu ya kutosha,bidhaa nyingi zilikuwa zinatoka kenya kwenye viwanda,hivyo kuwafanya kenya kuwa giants wa uchumii kwa kanda ya afrika mashariki .Hivyo kujilinganisha na kenya ni sahihi kwa kuwa ni kipimo kilicho karibu.
Kenya tume wazidi rasilimali, lakini wao wametuzidi utajiri! Very funny!
Kweli. Tena nimeshangaa, wanapendana kuliko sisi, pamoja na kuwa siasa yetu ilikuwa ujamaa na eti hatuna ukabila. Hizi porojo za ndani bwana, toka nje uone.