Kwanini katika Nchi zote Afrika, ni Kenya tu!

Kwanini katika Nchi zote Afrika, ni Kenya tu!

I told you, kiingereza chako cha kukariri, how do you get better policies without good governance, and then you want me to have an open mind? Sorry I can't compete with ignorance and bigotry.
Good policies doesnt necessarily mean good governance my fellow country man, governance is a compound word it entails alot more than just policy.
But back to your point, ownership of industries does not grow an economy, what grows an economy is how much a country produces, regardless of who owns the industries. Untill that gets through your rather thick skull, it'll remain gibberish.
So what has made kenya move faster? Saying its because her industries is OWNED by wazungus from UK is rather stupid (for lack of better word)
Kenya has moved faster coz of it produces more goods and services not because the industries are owned by foreigners
 
Kwan nini katika Timu zote nice Yanga tu akimfunga Simba audio night Simba tu akimfunga Yanga balaa huhamia mtaani Kwan aliyefungwa.
 
Wa kenya sijui kwanini huwa wanasahau hii point.uchumi wa kenya umejengwa kwa nguvu na rasilimali za nchi za EA.Kenya kama kenya haiwezi kusimama na Tanzania.Tz inaweza kumlisha kenya mpaka akavimbiwa.Tz ina kila kitu,basi tu watawala wa kiafrika ndio wanaotuangusha.
uchumi wa kenya umejengwa kwa nguvu na rasilimali za nchi za EA.
sababu moja wapo ya kuvunjika EA its coz Kenya tayari ilikua na uchumi mkubwa at the time, na walitaka wapewe mamlaka zaidi ya UG na TZ (being the alpha dog)
Tz inaweza kumlisha kenya mpaka akavimbiwa
we are just lucky a big chunk of our beautiful country is fertile and arable
Kenya kama kenya haiwezi kusimama na Tanzania.
sit back and ponder this statement, on what level? compared to Tz, ni ka nchi kadogo, watu wachache, more than half the country is semi arid, least dependant on foreign aid but still hata budget yao 2014/15 ni karibia mara mbili ya budget yetu! (Tz 19 Ke 33.6 trillion T shillings )! So hapa sijakuelewa.
Kwa kifupi, hawa jamaa sio rahisi kuwapata
 
Are you alive?

What kind of question are u asking?Kenya is poor country sir/madam.when an wht did you see Tz learning from kenya?tell me.
3.jpg
3.jpg

kibera.
 
sababu moja wapo ya kuvunjika EA its coz Kenya tayari ilikua na uchumi mkubwa at the time, na walitaka wapewe mamlaka zaidi ya UG na TZ (being the alpha dog)
Walitaka wapewe mamlaka ya kufanyaje?kimsingi ni kuwa viwanda vya EAC vilijengwa kenya.

we are just lucky a big chunk of our beautiful country is fertile and arable sit back and ponder this statement, on what level? compared to Tz, ni ka nchi kadogo, watu wachache, more than half the country is semi arid,
images

Hii picha ni kenya.Tanzania inapata mvua za kutosha mkuu,semi arid does not mean desert.we have very high rainfall.
least dependant on foreign aid but still hata budget yao 2014/15 ni karibia mara mbili ya budget yetu! (Tz 19 Ke 33.6 trillion T shillings )! So hapa sijakuelewa.
Kwa kifupi, hawa jamaa sio rahisi kuwapata

Hizo bajeti zisikupe shida,33.6 trilion si tungeona kenya ikibadilika na kupaa.serikali za afrika zinapanga bajeti nje na uwezo wao kwahiyo hawatimizi ahadi.
 
Nchi ya kenya ni ndogo na ina kipato kidogo ndomana bajeti yao ni ndogo kuliko ya TZ.

Huwa mnanikera sana kwa nyie kujihusisha na siasa za kimataifa halafu hamna uelewa wowote, mtu anakurupuka chochote kinachomtoka akilini. Budget ya Kenya ni karibu mara mbili ya Tanzania.

Country 2014/15 (US$) Budget
---------------------------------------------
Kenya $21.52Billion
Tanzania $12.268Billion
Uganda $5.616Billion
Rwanda $2.558Billion
 
ni kama watoto wa familia moja. wanashindana nani zaidi.
 
Huwa mnanikera sana kwa nyie kujihusisha na siasa za kimataifa halafu hamna uelewa wowote, mtu anakurupuka chochote kinachomtoka akilini. Budget ya Kenya ni karibu mara mbili ya Tanzania.

Country 2014/15 (US$) Budget
---------------------------------------------
Kenya $21.52Billion
Tanzania $12.268Billion
Uganda $5.616Billion
Rwanda $2.558Billion

Anyway nadhani sikumuelewa vizuri alieniambia bajeti ya kenya ni mara 2 ya ile ya Tz.Hata hivyo hizo figure tu za kujiweka juu.laptop kwa kila mwanafunzi kenya wamepata?ni blaa blaaa tu,kama kenya inaweza ku afford $21.52Billion na zikafika kwenye huduma za wananchi tungeona kenya ikiwa kama ulaya.
 
Walitaka wapewe mamlaka ya kufanyaje?kimsingi ni kuwa viwanda vya EAC vilijengwa kenya.
walitaka wapewe more seats kwenye decision making panel kwa sababu walikua na uchumi mkubwa kuzidi Ug na Tz. Hii inaonyesha kwamba tayari walikua juu na sio EA iliyowaweka juu.
images

Hii picha ni kenya.Tanzania inapata mvua za kutosha mkuu,semi arid does not mean desert.we have very high rainfall.
Hata sielewi umeongea nini hapa, but nilichosema ni kwamba, since its not our making kwamba tunamvua za kutosha sehem nyingi tanzania, sio jambo la kujipigia kifua bali kushukuru.

Nchi ya kenya ni ndogo na ina kipato kidogo ndomana bajeti yao ni ndogo kuliko ya TZ.
duh!! Ndo Ulivyoelewa sentensi yangu?...... I wish I could break it down for you like a 4year old but i just dont have the time.
 
walitaka wapewe more seats kwenye decision making panel kwa sababu walikua na uchumi mkubwa kuzidi Ug na Tz. Hii inaonyesha kwamba tayari walikua juu na sio EA iliyowaweka juu.

Uchumi wa kenya uliimarishwa toka EA ya mkoloni.kwakua wakoloni waliifanya kenya ni makao makuu ya ukoloni wao ktk EA.na hiyo difference haiwezi kututisha watz au ug maana it does nt reflect induvidual lives.Ni pesa zipo mikononi mwa investors wachache wenye makampuni imara kwa ku xport.soko kubwa ni lipo TZ,sasa nani ataipa mamlaka makubwa kenya?

Hata sielewi umeongea nini hapa, but nilichosema ni kwamba, since its not our making kwamba tunamvua za kutosha sehem nyingi tanzania, sio jambo la kujipigia kifua bali kushukuru.

Hapa nilijibu ile kauli ya TZ ni semi arid almost a half of country.Look at the picture TZ is surrounded by very great lakes,sea,rivers and swamps and dams!

duh!! Ndo Ulivyoelewa sentensi yangu?...... I wish I could break it down for you like a 4year old but i just dont have the time.

Hapo nakiri sikuwa makini niliposoma,lakini nakwambia in good faith Nchi za EA huwa zinaweka bajet kubwa wakati hawana uwezo wa kuzipata hizo pesa.trillion 33 kenya haina,na ikipata hizo pesa Kenya itakuwa developed country within 5 yrs.
 
What kind of question are u asking?Kenya is poor country sir/madam.when an wht did you see Tz learning from kenya?tell me.
3.jpg
3.jpg

kibera.

It was a rhetorical question, so you failed already!

BTW Tanzania is now learning how to establish a competent laboratory at least like one of Nairobi!
 
Hapo nakiri sikuwa makini niliposoma,lakini nakwambia in good faith Nchi za EA huwa zinaweka bajet kubwa wakati hawana uwezo wa kuzipata hizo pesa.trillion 33 kenya haina,na ikipata hizo pesa Kenya itakuwa developed country within 5 yrs.

Tuendelee na somo naona bado hujatulia, nikipata fursa nitakupa breakdown yote.
Kenya budget $21.52, deficit $4 billion
Kenya raised $2.75 billion in debut Eurobond
Net external financing amounted to 149.2 billion shillings, or 3.2 percent of GDP
 
Maneno matupu hayavunji mfupa,wakenya wanaamini wao ni matajiri ila sisi tunaona si matajiri.kenya ni maskini kama tz.kenya ni tajiri kwa maandishi.huwezi kutajirika kwa kilimo cha chai na pareto.hiyo bajet ni Expenditure za wakubwa,vikao,chai,magari,safari na mishahara.mwananchi wa kawaida bado analima kwa hoe na panga kufyeka shamba.maji hamna!you re guest of african politics.
 
It was a rhetorical question, so you failed already!

BTW Tanzania is now learning how to establish a competent laboratory at least like one of Nairobi!

liar...!Inajengwa wapi?not our priority rght now na sio hatuna uwezo!sisi tunaweza lisha chakula EA na mnajua hilo,mwaka juzi mlilalamika tuliwauzia UG na kuwaacha nyie.sasa kenya ina resource gani kuishinda tz?tanzania tulinza mradi wa shule za kata almost 10 yrs!lakini shule tayar zipo,tatizo ni Vitabu,maabara,walimu,madawati.kwasasa tumetatua ishu ya madawati,vitabu,walimu that means tumeanza na maabara maana mitihani ina consist experiments.kuhusu hiyo maabara atleast compitent like one of Nairobi hatujaanza na hakuna bajeti ya hiyo kitu coz no rift valley fever here.
 
Maneno matupu hayavunji mfupa,wakenya wanaamini wao ni matajiri ila sisi tunaona si matajiri.kenya ni maskini kama tz.kenya ni tajiri kwa maandishi.huwezi kutajirika kwa kilimo cha chai na pareto.hiyo bajet ni Expenditure za wakubwa,vikao,chai,magari,safari na mishahara.mwananchi wa kawaida bado analima kwa hoe na panga kufyeka shamba.maji hamna!you re guest of african politics.

Wewe ni majanga lakini najua nikikomaa utatulia, kwenye hiyo budget hivi ndivyo hela zinatumika
Education share 27.3%,
Energy, infrastructure and ICTs 22,6%
Health 5%
Agriculture 5%
Rural and urban development 5%
 
kuna siku utakumbuka kauli yangu,22.6% zile laptop kwa kila mwanafunzi wa kenya tayari?jibu kwa evidence.
 
labda wewe na wenzako wenye akili kama zako ndio wanajilinganisha na kenya.
 
kenya police.jpg
Tanzania inaweza kuiga ?bunduki ndefu kama hii unawinda gaidi ndani ya jengo la westgate?gaidi atapokonya?hii imeaandikwa kwenye guiness book of records.we are very sorry dear neighbours!
 
kuna siku utakumbuka kauli yangu,22.6% zile laptop kwa kila mwanafunzi wa kenya tayari?jibu kwa evidence.

Ninajua utaingia box taratibu, mradi wa laptop umekumbwa tu na ushindani wa tendering companies, ambapo ni jambo la kawaida kwenye mradi wowote mkubwa. Kama tu jinsi BVR kwenu imekua ngoma, mimi binafsi nilihusika kwenye bidding ya hiyo BVR kwenu na kwa hakika ni mchakato balaa.
 
Back
Top Bottom