Kwanini kampuni ya Apple kutoa matoleo kwa kipindi kifupi?

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,721
Kweli ukibweteka wenzako wapo mbali.visa vingi ambavo marekani kushutumu nchi ya china kwa teknolojia zake.

China kwa sasa ndio mwenye hatua kubwa katika teknolojia ya mawasiliano .mfano teknolojia ya 5g,chip ya hisillicon na vioo.
Ni mambo mengi China sasa umfanya USA kukosa usingizi hata kufikia ni hatua gani afanye,tumeona USA kuweka vikwazo vingi kuanzia playstore app ya google,ushuru wa vifaa vinavyotoka China na n.k.

MTAZAMO
Tabia za maraisi uja na kubeba makampuni fulani ili wawe kipaumbele.tunaona kipindi cha obama hakuwa kipaumbele sana Microsoft kiufupi mpaka kumaliza muda wake.

Trump sasa kuimiza apple kushindana teknolojia ya China kama Huawei,Samsung.tulizoea kuwa Apple hutoa matoleo yake kwa kuchelewa sana lakini kwa kipindi kifupi tu kutoa iphone 11 na sasa kutoa iphone 12 .na kuja na vitu vingine

Je hii imekaa kiserikali kumshawishi kufanya hivi .au vita hii kushindana na ubabe vina sababishwa na serikali

IMG_1419.jpg

IMG_1398.jpg

IMG_1400.jpg

IMG_1405.jpg

IMG_1389.jpg

IMG_1200.jpg

IMG_1199.jpg
View attachment 1598962
View attachment 1598963
View attachment 1598964
View attachment 1598965
View attachment 1598966
 
Apple hawafuati vurugu za Trump, kunacuwezekano zinawaharibia soko. Na utaratibu wa matoleo yao haujabadilika.
 
Apple hawafuati vurugu za Trump, kunacuwezekano zinawaharibia soko. Na utaratibu wa matoleo yao haujabadilika.
mhhhh tamko la trump linaathiri mpaka mauzo ya satafu forex apple wasifuate,hawajipendi???

ungesema wanajitahidi wakwepe athali zake ningekuelewa.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom