Kwanini kampeni ya Tokomeza Zero Kisarawe imekaa kibaguzi?

Kwanini kampeni ya Tokomeza Zero Kisarawe imekaa kibaguzi?

Kwahiyo unaona umeongea ya maana au Sio Makonda ni RC hata kama ukimwita zero brain amekufunika mbali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
TZ wapumbavu ni wengi, mtu ana kasoro zake ndio ila mazuri ya makonda hawayaangalii ,wivu tu unawasumbua hao mkuu,sio kila kitu kiwe agenda ya kitaifa,hili swala walipaswa wamkosoe makonda kwa heshima sio kumtukana,siku moja watamkumbuka
 
Amezungumza ukweli mchungu.

Japo Makonda anatakiwa kujua jinsi ya kuongea na ni maneno gani aongee pale anapokuwepo kiongozi wa juu yake.
​
makonda na BANZA STONE wanakasoro moja, hawajuagi the right time and place kuongea kitu pia huwa wanazungumza ukweli mchungu ambao baadae huwasababishia watukanwe
 
Hata wakristo wanamkumbuka yuda iscariote...sijui ni kwa wema wake au ubaya wake !!!!

Back
Top Bottom