Kwanini kampeni ya Tokomeza Zero Kisarawe imekaa kibaguzi?

Ukiona mtu anadhihaki wengine ujue hajiamini na anafanya hivyo ili ajiinue na kusafisha madhaifu yake!
 
Unless hii iwe ni moja ya kampeni nyingi zijazo za huko Kisarawe, sitounga mkono..

Namuamini sana Jojo, lakini kubagua na kuinua kundi fulani tu wakati yeye ni kiongozi wa wote naona haijakaa poa..

Hii project ilibidi ifanywe na NGO kama Msichana Initiative, siyo Serikali.

Aache harakati!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuunga mkono 100%
 
Kama Jokate mpak sa hv hana mme hata hao wasichana wanaosaidiwa ujue na wao wengi wao hawataolewa waspokuwa makni, mwanamke anapoelimika sana huwa ana overconfidence na wengi wao wanaloose nature yao...na kujikuta wanapigwa eat and run method
Nilitaka kuweka "hit & run" lakini kwa mada iliyoko mezani nadhani uko sahihi kutumia "eat and run".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimetoka kutazama matangazo ya kampeni ya Tokomeza Zero iliyoandaliwa na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo. Nikavutiwa nayo.
Hata hivyo, nimeshangaa kuona kampeni hii imeweka focus kwa wanafunzi wa kike pekee.. Hii imekaaje? Vipi kuhusu watoto wa kiume? Kwanini isiwe jumuishi?
Nampongeza sana DC Jokate kwa dhamira yake ya kutatua changamoto za elimu katika wilaya anayoiongoza.
Sote tunajua mikoa ya Pwani inakabiliwa na matatizo mengi na mara nyingi shule za huko zimekuwa zikishika mkia kwenye matokeo ya mitihani. Hivyo, uamuzi huu wa DC Mwegelo ni wa kuungwa mkono kwa nguvu zote.
Hivi karibuni kutakuwa na harambee ya uchangishaji fedha (fundraising) itakayofanyika katika Ukumbi wa Mikutano ambapo kiingilio kitaanzia laki 1 kwa MTU mmoja na Milioni 1 kwa VIP.
Kama kuna ufafanuzi wa hili suala ningeomba nipatiwe maana imekuwa kawaida mtoto wa kiume kuwekwa kando kwa kisingizio cha kumuinua mtoto wa kike.
Hongera tena DC Jojo kwa initiative nzuri!
Cheza mbali na wavulana.
 
Sidhani kama kumbeba mtoto wa kike kunasaidia zaidi ya kuharibu tu saikolojia yake. Atakuwa akiamini yeye ili afanye jambo lazima asaidiwe..

Fursa sawa zitolewe kwa WATOTO wote kama kweli kuna nia ya kuwafanya wajione wako sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana mpaka leo hii unakuta mwanamke mtu mzima anaamini yeye ni haki yake kupewa tu
 
Hata mashirika mengi yanafadhili watoto wa kike kuliko wa kiume. Ni kwa sababu ya ile vulnerability yao

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mkakati toka kuzimu,kumpoka Mwanaume nafasi yake ya Kuwa kichwa,Miaka 20 wanawake ndio watakao toa maamuzi ya kuiendesha hii Dunia na huo ni Mpango wa Mpinga Kristo maana anajiandaa kuja kuitawala Dunia akipitia kwa hao akina Mama,Dunia itashuudia Mambo ya hovyo maana Mwanadamu akili yake it's kuwa Kama ya Kuku.Wanaume tutahukumiwa kwa kuuza nafasi zetu.NI MAONI YANGU.Akina Mama ruksa Mapovu.
 
Nimetoka kutazama matangazo ya kampeni ya Tokomeza Zero iliyoandaliwa na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo. Nikavutiwa nayo.

Hata hivyo, nimeshangaa kuona kampeni hii imeweka focus kwa wanafunzi wa kike pekee.. Hii imekaaje? Vipi kuhusu watoto wa kiume? Kwanini isiwe jumuishi?

Nampongeza sana DC Jokate kwa dhamira yake ya kutatua changamoto za elimu katika wilaya anayoiongoza.

Sote tunajua mikoa ya Pwani inakabiliwa na matatizo mengi na mara nyingi shule za huko zimekuwa zikishika mkia kwenye matokeo ya mitihani. Hivyo, uamuzi huu wa DC Mwegelo ni wa kuungwa mkono kwa nguvu zote.

Hivi karibuni kutakuwa na harambee ya uchangishaji fedha (fundraising) itakayofanyika katika Ukumbi wa Mikutano ambapo kiingilio kitaanzia laki 1 kwa MTU mmoja na Milioni 1 kwa VIP.

Kama kuna ufafanuzi wa hili suala ningeomba nipatiwe maana imekuwa kawaida mtoto wa kiume kuwekwa kando kwa kisingizio cha kumuinua mtoto wa kike.

Hongera tena DC Jojo kwa initiative nzuri!
yaaani joketi aliyekuwa anafanywa punch box na kina kiba yule aliyekuwa anajipga picha za utupu na kuzipost mitandaoni juzi leo atokomeze zero kisarawe?
aisee akifanikiwa hata kwa 2% najinyonga
 
Nimetoka kutazama matangazo ya kampeni ya Tokomeza Zero iliyoandaliwa na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo. Nikavutiwa nayo.

Hata hivyo, nimeshangaa kuona kampeni hii imeweka focus kwa wanafunzi wa kike pekee.. Hii imekaaje? Vipi kuhusu watoto wa kiume? Kwanini isiwe jumuishi?

Nampongeza sana DC Jokate kwa dhamira yake ya kutatua changamoto za elimu katika wilaya anayoiongoza.

Sote tunajua mikoa ya Pwani inakabiliwa na matatizo mengi na mara nyingi shule za huko zimekuwa zikishika mkia kwenye matokeo ya mitihani. Hivyo, uamuzi huu wa DC Mwegelo ni wa kuungwa mkono kwa nguvu zote.

Hivi karibuni kutakuwa na harambee ya uchangishaji fedha (fundraising) itakayofanyika katika Ukumbi wa Mikutano ambapo kiingilio kitaanzia laki 1 kwa MTU mmoja na Milioni 1 kwa VIP.

Kama kuna ufafanuzi wa hili suala ningeomba nipatiwe maana imekuwa kawaida mtoto wa kiume kuwekwa kando kwa kisingizio cha kumuinua mtoto wa kike.

Hongera tena DC Jojo kwa initiative nzuri!
Mm naunga mkono hii juhudi na haswa Kwa watoto wa kike Kwa kuwa changamoto nyingi ndo yy huzipata!Mfano mimba,kuozeshwa na wazazi,Kutopelekwa shule Kwa kuwa yy ni mwanamke.Hivyo nadhani kampeni imelenga kupunguza au kuondosha hizo changamoto ikiwemo kuwapatia hostel ili kuepusha c changamoto za umbali kutoka shule,kubakwa n.k.Nadhani ni vyema tukaliona hili sote badala ya kuhic kuna ubaguzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bashite bhana, ye mwenyewe alipata ZERO, atatokomeza vipi zero

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Ni mkakati toka kuzimu,kumpoka Mwanaume nafasi yake ya Kuwa kichwa,Miaka 20 wanawake ndio watakao toa maamuzi ya kuiendesha hii Dunia na huo ni Mpango wa Mpinga Kristo maana anajiandaa kuja kuitawala Dunia akipitia kwa hao akina Mama,Dunia itashuudia Mambo ya hovyo maana Mwanadamu akili yake it's kuwa Kama ya Kuku.Wanaume tutahukumiwa kwa kuuza nafasi zetu.NI MAONI YANGU.Akina Mama ruksa Mapovu.
Naunga mkono hoja hii pia. Hiyo ni sehemu ya mkakati mzito wa kumpaisha juu mwanamke na kumshusha mwanaume. Ni mpanga wa shetani kuitawala dunia bila upinzani, na nashangaa anafanikiwa kwa kiasi kikubwa sana, halafu mpango wenyewe unatekelezwa kwa kuongozwa na wanaume!! Yaani tunajichimbia kaburi wenyewe, hatukumbuki hata biblia inamtaja mwanaume kuwa juu siku zote.

Leo hii, japo maandiko yanakataza, tayari hata madhabahuni wanawake husimama altareni na kuhubiri, na wengine wameanza kwenda mbali zaidi na kujiita wafalme, miungu na wanaabudiwa, tazama yule mama wa Butimba, Mwanza, hata ndume zimo tu! Zinamuita mfalme/mungu wa zumalid.

Ingekuwa enzi zile za akina Nuhu tungeshapata kipigo toka kwa Mungu.

Hata nielimike namna gani, sitakubaliana hata siku moja na kampeni za kumwezesha mwanamke, eti 50/50! Ujinga tu. Tunaharibu jamii kizembe sana.

***Mbire mwene Nyamwonyo***
 
Sidhani kama kumbeba mtoto wa kike kunasaidia zaidi ya kuharibu tu saikolojia yake. Atakuwa akiamini yeye ili afanye jambo lazima asaidiwe..

Fursa sawa zitolewe kwa WATOTO wote kama kweli kuna nia ya kuwafanya wajione wako sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha ya hii jinsia nyingine ni kupewa slope kwa kila kitu ,kitu ambacho kinaathiri mentality zao .

Sio unaona hata mtaani wadangaji wengi lakini wajasiriamali unakuta wachache .

Wanadhani unawasaidia watoto wa kike kwa kuwapa special privileges lakini ndio mnawaharibu

Katika hii dunia ukitegemea special privileges lazima uione chungu .

Waweke usawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ipo hapa
Screenshot_20190331-145535.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni Jokate.
Kumwalika Piere na kumsahau Sha hazard.
Na kuja nae ktk gari moja.
Na kuwa wote uwanja wa Taifa ktk mechi na Uganda
Na kuondoka wote pamoja
Piere akiona mrembo ni lazima amtongoze.
Na bahati nzuri akakubaliwa.
Kumbe bosi alikuwa bado anavizia achomekee.
Hata mimi ningefoka
" huyo mpumbavu Piere ni mtu wa hovyo sana. Kwani huko kwake uswahilini hakuna wanawake, mkamateni na mchinjeni, mpumbavu sana huyo babu, na akome"
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom