Huko ni kuikejeri kazi njema ya Mwenyezi Mungu.
Mpaka kufikia huo umri, Piere amekuwa raia mwema na mwenye kujipatia kipato chake kwa njia ya halali.
Kama kunywa bia ni haramu kwanini viwanda vya bia havifungwi ?
Vipo kwa ajiri ya nani ?
Kwa watu wa hovyo ?
Mtu kunywa bia kwa pesa yake kuna kosa gani ?
Au kufurahia maisha, kuna tatizo gani ?
Amri ya kunywa bia kwa nusu bei ilitolewa kwa malengo gani ?
Wapi ilisikika Piere akimwomba pesa mtu yeyote ?
Anataka watu wamchukie Piere kwa hoja gani ?
Hizo kamera zinazomrekodi ni zake ?
AuJe, unywaji bia Sio habari nzuri ?
Ati "mtu wa hovyo"
Mtu asiye wa hovyo ni nani ?
Ambaye ni Malaika, asiye na dhambi ?
Au Kwamba ni Naibu Kiongozi wa Malaika ?
Ni Sheria ipi aliyoivunja Piere ?
Na Kwa nini asishtakiwe ?
Huyo "mtu wa hovyo"...!
Piere Tulia usijibu kitu,
Tuonane Siku ya Kiama.
Sent using
Jamii Forums mobile app