Fizoujr
Member
- Mar 21, 2020
- 27
- 31
Sio kweli Teller wa NMB anakunja 1040000 per month na Transport allowance 120,000 na Kila jumamosi 40000..bado Tips hehehehKwaio bank teller hachukui hata @ 700k ?!
Sio kweli Teller wa NMB anakunja 1040000 per month na Transport allowance 120,000 na Kila jumamosi 40000..bado Tips hehehehKwaio bank teller hachukui hata @ 700k ?!
Poleee sanaa shangazi, ulikopaa Maboto au FINCA?Shangazi nilikopa hapa nasikia kulia Kila mda [emoji23][emoji23][emoji23]
Kila siku 500k hata km awe teller anayehudumia watu wa wizara, huu ni uongo.nyingi sana, tena asiwaringanishe na waalimu, wana mshahara wa kawaida hata mwalimu anawazidi, but wana fursa zinazowabeba sana, kama kuachiwa vitip tip kibao na customers, mdogo angu ni teller, anakwambia per day sometimes anaweza kuondoka hata na 500k tips tu, sasa jiulize anakusanya sh napi mwezi mzima? sababu pia ye ni teller wa kudeal na watu wazito
YeaaahYou are right..
Wee huko sithubutu na nilivo muoga nitakonda 🤣🤣🤣Poleee sanaa shangazi, ulikopaa Maboto au FINCA?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kimekulambaaa!!
Wewe ni mbulula nikajua umeweka evidence kumbe unaongea hisia.Naomba niende Moja Kwa Moja kwenye maada, hivi ni Kwa nini kada ya ualimu inapewa salary kiduchu kulinganisha na kada nyingine au kazi yao haina direct impact kwenye jamiii? Naomba kuwasilisha
Mpwayungu VillageWewe ni mbulula nikajua umeweka evidence kumbe unaongea hisia.
Sasa Kwa taarifa Yako tuu Kanda ya ualimu ni Moja ya fani Zenye mishahara mikubwa Serikalini sawa na watu wa Afya,Kilimo
Umemjibu vyema sana. Mimi ni mchumi wa halmashauri ila nilianza na mshahara sawa na mwalimu mwenye shahada sasa huyo sijui katoa wapi taarifa za uongo. Tofauti ni malupulupuUmeuliza sekta zingine au umesikia umekuja tu mbio.....utajikwaa mkuu
Ungeuliza kwanini walimu hawana marupurupu kama sekta zingine... ndiyo tofauti yetu
Kada ya Ualimu ina waajiriwa wengi sana nadhani zaidi ya kada yoyote hapa nchini. Sasa ili hao waajiriwa wasikose hayo Ma V8 yao kwa kuwapa mishahara minono walimu ilibidi kuwakata ili wrote sisi tuamini Tanzania ni nchi masikiniNaomba niende Moja Kwa Moja kwenye maada, hivi ni Kwa nini kada ya ualimu inapewa salary kiduchu kulinganisha na kada nyingine au kazi yao haina direct impact kwenye jamiii? Naomba kuwasilisha
Hiyo ongezeko la laki kwake ni kubwa.Miaka kadhaa nyuma kuna mwalimu mkongwe aliwai nifundisha advance siku moja akawa anafurahi san nikamuukiz sir mbona leo upo na furaha sana akasem nimepandishiwa mshahara nikamuuliza shingapi kwani unapata akasem alikuwa analipwa laki saba na sehemu...
na je kwasasa unalipwa kiasi gani akasem laki tisa na point.....
na amekaa kazini zaid ya miaka saba nilitafakari nikasema daah na ni mwalimu ana degree niliumia sana lakin hakukua na namna
Acha kudangany watuWewe ni mbulula nikajua umeweka evidence kumbe unaongea hisia.
Sasa Kwa taarifa Yako tuu Kanda ya ualimu ni Moja ya fani Zenye mishahara mikubwa Serikalini sawa na watu wa Afya,Kilimo
Wewe ni mbumbumbuAcha kudangany watu
Mimi nawew nani mbumbumbu unatoka mbele kujinasibu et walimu wanalipwa pesa ndefu jinga kweliWewe ni mbumbumbu