Kwanini kada ya ualimu inapewa mshahara kidogo?

Kwanini kada ya ualimu inapewa mshahara kidogo?

Haya ndiyo maalimu mapumbavu yanayo waambia wanafunzi kwa nini mmepeta 100% kwenye mtihani wangu kwani tulitunga wote 😁😁😁😁walimu wapumbavu wanaotumika kama toilet paper za ccm kipindi cha uchaguzi
Wewe ni jinga shenzi kabisa ungekua toilet paper ningekuchambia
 
1746827076948.png
 
Kada yenye mshahara mkubwa kuliko walimu ni Afya.

Kada zingine hazijatofautiana na walimu, tena zingine zimezidiwa.

Sema ualimu hauna marupu rupu, halafu wako wengi ndio maana wanaonekana sana.
Samahan nikuambie kada nyingi zinawaburuta walimu mbali mno. Tena kama yupo taasis ndio kabisa
 
Kwasababu ni kada ambayo hata ukiwa unajitambua vipi ukishaingia tu utambuzi wote unapotea unageuka kuwa punda.

Mshahara wa punda ni kula tu.
 
Back
Top Bottom