rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,412
Mkuu Ruta
hivi unaonaje hizi nchi zote zinazotaka kuungana,hivi ni idea nzuri kuungana na jirani yako na una matatizo kibao nyumbani kwako?unaonaje kwanza kila mtu amalize matatizo yake ndo tuje tuungane?sisi hapa tanzania matatizo kibao,mpaka sasa hivi tunapoongea hapa hatujapata uhuru,sisi bado tuna wakoloni wabaya kule hata wale wazungu wa miaka ileeee!sasa tutaungana vipi si unaona tunakaribisha matatizo mapya?nyie endeleeni na muungano wenu sisi hatupo tayari,kwa nini tulazimishe mambo yasiyowezekana?