Kwanini JK hakubaliki ndani ya EAC?

Kwanini JK hakubaliki ndani ya EAC?

some time kikwete is ok on substantial matters, give him credits please

how can I give him a credit for being a fencesitter? Aidha anataka shirikisho au halitaki na anajitoa.......................siyo kuwakwamisha wale ambao wanataka kusonga mbele.............................halafu fafanua kwa nini muungano wa tanganyika na zenji hauongeleki na tunalazimishwa kuupokea bila mjadala.........................na huu wa EAC ujadiliwe................................huoni double standards.........

unajua JK hana la lake jambo na ndiyo maana unadai aheshimiwa bila kutaja sababu au hata kujibu hoja zilziopo mbele yako...............JK is a real problem not a solution............................................in EAC political federation...........
 
vipi makaburu mbona huwaongelei.......................au kwa vile huhona mapesa kibao kupata hiyo ardhi?.............angalia mbona mashimo yote ya madini tumemilikisha wazungu......................au ni kheri mzungu akitunyonya kulikoni tukinyonywa na wamatumbi wenzetu?????????????????

Aisee bora kaburu atunyonye lakini sio mkenya kuja na makanyagio yake na kujifanya anajua kuliko mimi
 
Wazungu gani hao'wale walioigawa sudan?nani kakuambia sisi waafrica tunaweza kuungana?
Mbona tanganyika na znz matatizo kibao tangu tulipoungana?je tukiingiza wakenya na watusi itakuwaje?

swali la msingi mbona unakwepa kulijibu...................................ni kwa nini JK hakubaliki ndani ya EAC?

matatizo yapo kila mahali lakini huwezi kusema sifanyi jambo fulani kwa vile kuna matatizo............................hata kuzaa watoto kuna changa moto zake sasa tutaacha kuzaa kwa vile kuna matatizo...............................mbona ni mtupu kihoja hivyo weye?????????
 
Aisee bora kaburu atunyonye lakini sio mkenya kuja na makanyagio yake na kujifanya anajua kuliko mimi

hoja siyo hiyo.................................bali ni kuwa washabikia wakubwa serikalini kuhongwa...................................lakni ardhi ni hiyo hiyo inayochukuliwa...........
 
Wale viongozi wa EAC wanachuki binafsi dhidi ya Jk kwasababu Tanzania imekataa baadhi ya mambo kuratibiwa katika shitikisho la Afrika Mashariki kama ardhi kwahiyo wameghafirika na kususia sherehe nasi tunasema hatuzihitaji hizo nchi we can move alone or with other countries like Zambia, Mozambique and Congo Kinshasa

Unajua hatuwezi kuingia kwenye shirikisho bila kufanya wanachama tuwe kitu kimoja tutaungana vipi na taifa kama la Kenya ambapo mtu anaporwa urais kwa sababu ni mjaluo? Uganda rais Museveni anaamini bila yeye nchi haiend kwahiyo kabadili katiba kutawala milele? Au Kagame pale Rwanda anavyowaweka ndani wapinzani na kuendesha nchi kikabe akisingizia mauaji ya halaiki hatopenda yatokee tena? Afadhali Burundi wana demokrasia kama yetu kwa sasa lakini Kenya waache ukabila kwanza, Uganda Museveni aondoke na kuachia mtu mwingine madaraka na asiwe mwanae Kanali Muhozi na Kagame aruhusu Rias wa zamani Pastory Bizimungu, Waziri Mkuu wa zamani Faustine Twagiramungu wafanye siasa na awaondoe kizuizini
 
kwann unang'ang'ania 2gawe ardì ye2 kwa manyang'au? 2 be honest hata kama wewe ni mtanzania wa kuzaliwa wazazi wako wamepata uraia wa maombi

pole sana mbona hujibu hoja........................................uraia wangu hauwezi kujibu kwanini JK anadharaulika na wenzie ndani ya EAC.............????????????????????????????

wazazi wangu wote ni watanzania wa kuzaliwa na mababu zangu vivyo hivyo...........................kwa hiy0o jibu khoja kama waweza............................badala ya kuanzisha mijadala ambayo ipo nje ya mada............................

kiri kuwa JK ni kilaza..............................hata Nyerere alithamini sana EAC hata alikuwa tayari kuchelewesha uhuru wa tanganyika ili mradi tu kama itasaidia kuanzishwa kwa shirikisho la EAC............................au sasa na Nyerere utamwona siyo raia kwa kuona mbali...................................maana sifa ya kuwa mbongo ni kuwa kihiyo kama watendanji serikalini wanaopigana vikumbo kununua vyeti vya udaktari wakifiri kwa kufanya hivyo hatutahoji madhaifu yao.....................
 
nilizaliwa mtupu na nitarudi ardhini mtupu............................na wajukuu wangu vivyo hivyo............................hivi kwa nini mnawashupalia sana wakenya na huku wakija wzungu na wachina ardhi mnawagawia kama njugu?

lengo la EAC ni kuwa na shirikisho moja la kisiasa...............................sasa kama hatuwezi situjitoe tu.......................mkenya kama ni tatizo labda kwa vile hatawahonga warasimu serikalini kama wale wazungu na wachina wanavyowahonga..................hakuna masilahi ya taifa kwa kujikita kwenye mipaka iliyowekwa na mkoloni.......................UNITED STATES OF AFRICA..............is the only way katika kumaliza umasikini hapa nchini............................mwisho Ardhi tuliikuta na mali ya Mwenyezi Mungu na tuaiacha kwa sababu siyo yetu sasa ngebe hizi zatoka wapi?????????????????????

Ruta, I beg to differ.....

Kwa swala la ardhi unachanganya habari....ardhi yetu ni mali ya umma tunakuwa leased kuimiliki... Kama Mungu alitupa hii ardhi then kuna sababu kwa nini alitupatia..,.. Kwamba tupo huru haimanishi tuishi kwa uholela and if you believe what God gives you is for everyone, then I would love to know how you manage your properties..

Kwenye hili la EAC woga wa JK ktk kufanya maamuz is working to our advantage.. Lets go for the EAC only after putting our house in order!

Have a blessed sunday.
 
Wale viongozi wa EAC wanachuki binafsi dhidi ya Jk kwasababu Tanzania imekataa baadhi ya mambo kuratibiwa katika shitikisho la Afrika Mashariki kama ardhi kwahiyo wameghafirika na kususia sherehe nasi tunasema hatuzihitaji hizo nchi we can move alone or with other countries like Zambia, Mozambique and Congo Kinshasa

Unajua hatuwezi kuingia kwenye shirikisho bila kufanya wanachama tuwe kitu kimoja tutaungana vipi na taifa kama la Kenya ambapo mtu anaporwa urais kwa sababu ni mjaluo? Uganda rais Museveni anaamini bila yeye nchi haiend kwahiyo kabadili katiba kutawala milele? Au Kagame pale Rwanda anavyowaweka ndani wapinzani na kuendesha nchi kikabe akisingizia mauaji ya halaiki hatopenda yatokee tena? Afadhali Burundi wana demokrasia kama yetu kwa sasa lakini Kenya waache ukabila kwanza, Uganda Museveni aondoke na kuachia mtu mwingine madaraka na asiwe mwanae Kanali Muhozi na Kagame aruhusu Rias wa zamani Pastory Bizimungu, Waziri Mkuu wa zamani Faustine Twagiramungu wafanye siasa na awaondoe kizuizini

matatizo unayoyaongelea ni ya kimfumo tu......................hao wote uliowataja kesho hawapo watakuwa kimya kwenye makaburi yao...................................waonaje ukataja sababu za kimsingi za kumkosoa Nyerere ambaye mwaka 1961 alikuwa tayari kuchelewesha uhur wa tanganyika ili mradi tu kama ingelisaidia kuanzishwa kwa shirikisho la kisiasa la EAC?
 
It is a NO TO EAC. wazungu na kujipanga kwao kote jumuia yao imefeli, seuze akina sie na mafisi wetu Magamba, totalistic regimes za akina Kagame na m7, na puppets wa west hawa nanyang'auz. Rutabaga nafikiri wewe ndo upo out of touch.waache waendelee kumdharau JK Maana hiyo ndo salama yetu wanyonge.
 
Nakumbuka hili suala liliposhika kasi sana Tanzania iliwaambia Jamaa waendelee na Muungano wao bila kutushirikisha kwa kuwa hatujawa tayari, siku tukiwa tayari tutajiunga.. Sasa najiuliza ni kwa nini hawakukubali kuendelea bila sisi? Ni kwa nini wanaendelea kutusubiri sisi? Ni kwa nini wanatulaumu kwamba tunakwamisha Muungano ilhali tuliwapa go ahead wakaikataa? Kuna haja gani kukubali ardhi yetu iingizwe kwenye miliki ya EAC ilhali hatuko tayari kwa hilo? Ina maana Umuhimu wa Tanzania kwenye EAC ni ardhi tu?

Kwa hili naunga mkono msimamo wa JK....
 
kama mtusi kutoka rwanda na mwenzake kutoka burundi wanashindwa kuungana sembuse sisi na hayo manyang'au?not easy bro
 
Ruta, I beg to differ.....

Kwa swala la ardhi unachanganya habari....ardhi yetu ni mali ya umma tunakuwa leased kuimiliki... Kama Mungu alitupa hii ardhi then kuna sababu kwa nini alitupatia..,.. Kwamba tupo huru haimanishi tuishi kwa uholela and if you believe what God gives you is for everyone, then I would love to know how you manage your properties..

Kwenye hili la EAC woga wa JK ktk kufanya maamuz is working to our advantage.. Lets go for the EAC only after putting our house in order!

Have a blessed sunday.

Thanks..........................angalau unatoa hoja za kujibu hoja badala ya kuhoji uraia wangu.......................nyerere alipigania sana shirikisho la EAC............................sasa sijui hao ambao ukiongelea hili suala wanatuona hatuna uzalendo au siyo raia..........

upende usipende............................umiliki wa ardhi unategemeana sana na ssera, sheria na uimara wa taasisi zilizopo............hapa TZ usipoteze kuipigania ardhi kwa sababu hawa mafisadi hata kesho watakuondoa...............................kila siku vipo vilio vya raia kufukuzwa kwenye ardhi kwa malipo hewa ili kupisha mwekezaji hewa.....................................kwa hiyo usidhani Mkenya ni tishio..........................katika mfumo uliopo utashngaa ya kuwa wanaongoza katika kununua ardhi hapa nchini ni wakenya.........................kwa hiyo shirikisho la EAC siyo kikwazo kwao liwepo au la..................................penye udhia wanaweka rupia.na ardhi inakwenda...............................mfumo uliopo haunilindi mimi wala wewe........................kwa hiyo tuache kuutetea...........shirikisho ni zaidi ya ardhi..........................................lakini kubwa zaidi kama tunaona hatupo tayari basi kwani tumekuwa king'ang'anizi????????????????
 
kama mtusi kutoka rwanda na mwenzake kutoka burundi wanashindwa kuungana sembuse sisi na hayo manyang'au?not easy bro

BIG point, at last................................lakini ugumu huo wasababishwa na nini? wakati wao ndani ya EAC wapo tayari kuungana?
 
Kulikuwa na Amavubi, The Cranes, Inghamba Murugamba, The Cranes na Harambee Stars. Unataka wampe nini tena mtu anaye penda 'michezo'?
 
Nakumbuka hili suala liliposhika kasi sana Tanzania iliwaambia Jamaa waendelee na Muungano wao bila kutushirikisha kwa kuwa hatujawa tayari, siku tukiwa tayari tutajiunga.. Sasa najiuliza ni kwa nini hawakukubali kuendelea bila sisi? Ni kwa nini wanaendelea kutusubiri sisi? Ni kwa nini wanatulaumu kwamba tunakwamisha Muungano ilhali tuliwapa go ahead wakaikataa? Kuna haja gani kukubali ardhi yetu iingizwe kwenye miliki ya EAC ilhali hatuko tayari kwa hilo? Ina maana Umuhimu wa Tanzania kwenye EAC ni ardhi tu?

Kwa hili naunga mkono msimamo wa JK....

wao wako tayari kuendelea tatizo JK kawawekea breki kuwa maamuzi lazima yakubalike na nchi zote...................badala ya wengi wape...............................yaelekea hujalifanyia hili suala kazi ya kutosha...............
 
BIG point, at last................................lakini ugumu huo wasababishwa na nini? wakati wao ndani ya EAC wapo tayari kuungana?

kwa nini wasubiri eac'waungane wenyewe kwanza tuone'wanakuja kila mtu kivyake kuungana na sisi hatutaki watatuletea matatizo hao'
 
Siungi mkono Afrika Mshariki kwa sababu Tanzania tutaishia kuwa losers Kenya wale wanataka ardhi na masoko dhidi ya bidhaa zao Burundi, Rwanda na Uganda wanataka ardhi je sisi tutapata nini? hakuna kitu ila kupoteza kila kitu

Wakati europen Union inaanzishwa na Ufaransa, Ubelgiji, Luxernburg, Ujerumani, na Uholanzi Uingereza ilizuiliwa kuwa iko too developed maana hizi nchi zingine viwanda vyake vilikuwa vimeharibiwa na vita kuu ya pili ya dunia Uingereza imekuja kuwa registerd mwaka 1977 nayo kwa kulipa kisasi ikakataa kudisolve pesa yake pia nchi zingine zimekuja baada ya kutimiza madharti na kuwa tayari.

Kwa muungano ule nchi za magharibi zinauza bidhaa nchi za mashariki kwahiyo zina soko hapo na nchi za mshariki zinatoa cheap labor wafanyakazi kwa lugha nyingine wananchi wa nchi za mashariki wanapata ajira nchi za magharibi kwahiyo mambo ni win win situation lakini kwetu sisi Tanzania kuna mtanzania anaweza pata kazi kenya? Kuna mtanzania anaweza pata ardhi Kenya? Je kuna bidhaa za Tanzania za viwandani zinaweza kuuzwa Kenya? ukiacha mazo ya chakula? kwanini tuwe na muungano ambao ni one way traffic? Hapo sijaongelea kuwa treated kama second citizen maana makenya ni mabaguzi kishenzi
 
It is a NO TO EAC. wazungu na kujipanga kwao kote jumuia yao imefeli, seuze akina sie na mafisi wetu Magamba, totalistic regimes za akina Kagame na m7, na puppets wa west hawa nanyang'auz. Rutabaga nafikiri wewe ndo upo out of touch.waache waendelee kumdharau JK Maana hiyo ndo salama yetu wanyonge.

EAC kama shirikisho itakuja upende au usipende baada ya hawa mafisadi kuilmaliza kugawana hii ardhi............na hoja ya ardhi itakapokuwa haipo............kama kweli JK ndiyo salama ya wanyonge huu umasikini mbona unaongezeka wakati wa kipindi chake?

kila kitu bei mbaya ...........kuanzia mfumuko wa bei....n.k................................JK anaiogopa EAC siyo kwa sababu za kiuchumi kama unavyodhani bali kwa sababu aona wakristu watawafunika waislamu..............................hiyo ndiyo hoja yake.......
 
Back
Top Bottom