Kwanini jicho la kwanza ni kitandani?

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
18,716
28,622
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa

Iv ni kwanini ukiingiza demu gheto kabula ya kuangalia yote hupenda sana kutupa jicho kitandan kabula ya kuangalia sehemu nyingine,
Kwanini waanzie kuangalia kitandan wakati gheto unakuta linavitu vingi kama tv kabati lakin wao huangalia kitandan tu kwanini
 
Unapendekeza waanzie wapi?
Hujui kinachowaleta getoni ni ......?
 
Halafu mkuu kabula hilo sio jini kweli!?viwanja vya kuchezea soka vyenyewe vinakaguliwa sasa kwanini asikague uwanja wa mechi inayokuja mbele yake!?
 
Kwan amekuja kupika au kufua nguo au kudeki? Yey ataangalia pitch inahali gan maana ndio inayomuhusu
 
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa

Iv ni kwanini ukiingiza demu gheto kabula ya kuangalia yote hupenda sana kutupa jicho kitandan kabula ya kuangalia sehemu nyingine,
Kwanini waanzie kuangalia kitandan wakati gheto unakuta linavitu vingi kama tv kabati lakin wao huangalia kitandan tu kwanini
Sijui nyie wa chumba kimoja sie wa nyumba kamili mgeni yuko living room ataangalia kila kitu na akiingia chumbani well ni kweli mnaenda kitandani sasa aangalie darini kutafuta nini!
 
Kwani wewe ukikaribishwa na demu kwake ukafanikiwa kuingia chumbani utaangaliwa wapi.!? utaenda kuangalia choo au.!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom