Kwanini jf management wasiwe wanatoa awards kila mwaka?

Msolid1990

Senior Member
Apr 2, 2012
144
49
Mi nashauri jf management wawe wanatoa zawadi kila mwaka kwa member ambaye amepost thead ambazo zimepata wachangiaji wengi. Mfano thread zako nyingi ziwe zinachangiwa na member kuanzia 150+ sio wanachangia watu 20 then inaachwa No!. So hao watu wawe wanatangazwa kwenye media then wanakuwa awarded! Kama vipi waweke namba yao ya M-pesa/tigo-pesa tuwe tunachangia. Afu toa na ushauri tuwe tunaziitaje hizo awards?
 
Kwani pesa yenyewe itakuwa sh. ngapi?Ntahonga watu wachangie thread zangu na wasichangie za wengine.
 
vipi? Mkuu wewe ushawahi changia hata sent 1 ya kuiwezesha JF iendelee kuwa on air??
 
Hehehehe ahsante.

Haya tuendelee. . . ntawahonga LIKE na Reputation.

duh! Kumbe wote walionipa like wamenihonga.
Preta,kipipi,erotica,firstlady,chaminglady,king'asti,badili tabia,smile,kongosho. Kha! Wote mmenihonga??

Back to topic
hivi eti unategemea ulete lithread la ajabu ajabu, oo eti 'jamani wanajf leo nimeshiba sana' afu nichangie kisa umenipa like? Hata unipe like 100 at ago sichangii ng'o!
 
Hivi ile michango mmeshachanguua Jamii Forum au mnapost bure na kutaka zawadi
jamani hii ni huduma wapo wasimamizi wanaotuletea huduma hiyo Shime tuchangie kila mwaka kwa front page inaonyesha tupo 78,800
 
wengi watapost PUMBA NYINGI iliwafikishe hiyo idadi .. (Siungi mkono hoja) Sorry.
 
Si bora wewe utahonga, mie tafungua ID 18 kama TUNTEMEKE afu niwe najichangia mwenyewe. Yaani najitekenya afu nacheka.
Kwani pesa yenyewe itakuwa sh. ngapi?Ntahonga watu wachangie thread zangu na wasichangie za wengine.
 
Last edited by a moderator:
Mi nashauri jf management wawe wanatoa zawadi kila mwaka kwa member ambaye amepost thead ambazo zimepata wachangiaji wengi. Mfano thread zako nyingi ziwe zinachangiwa na member kuanzia 150+ sio wanachangia watu 20 then inaachwa No!. So hao watu wawe wanatangazwa kwenye media then wanakuwa awarded! Kama vipi waweke namba yao ya M-pesa/tigo-pesa tuwe tunachangia. Afu toa na ushauri tuwe tunaziitaje hizo awards?
Tatizo privacy mkuu
 
Duh post ya 2012 unaifufua leo, kweli tumetoka mbali 78,800 mpaka 518,000
Hivi ile michango mmeshachanguua Jamii Forum au mnapost bure na kutaka zawadi
jamani hii ni huduma wapo wasimamizi wanaotuletea huduma hiyo Shime tuchangie kila mwaka kwa front page inaonyesha tupo 78,800
FORUM STATISTICS
thread.png
THREADS1,358,580
member.png
MEMBERS 519,350
 
Back
Top Bottom