Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,517
- 31,901
Wapuuzi flan wakipewa 10,000 basi wnaanza kuhrisha na kutapika uchafu kama huu. Makamba awe rais wake yey na wazazi wake.na kama anampenda sana akaolewe naye waishi pamoja
Haya ni matusi eti january naye anafaa kuwa rais? Kweli ccm imekufa
Labda kama hawamjui huyo kijana!