Kwanini Januari Makamba anawatesa

Kwanini Januari Makamba anawatesa

Hakuna kitu hapo,alishiriki uchakachuaji kwmy uchaguzi,alisimamia kidete utungaji wa sheria za mitandaoni.

So nasema hivi,rais kamatilia hapo hapo hapo mpk wajue machungu wemzao wanayopitia.
 
Smart guy.. As long as upinzani hauwezi kushinda nchi hii, I'll vote only January au Riz au Mwinyi kule CCM..

Reason; Ni watoto wa mjini sio washamba na walugha lugha kama hawa wakolomije..
Washamba ni wale wanaokenulia meno wezi (wa nje na wandani) huku nchi yao ikiliwa.

Mtoto wa mjini ni yule aliyeweza kuwaokoa watanzania kutoka kwenye utumwa wa kulipa capacity charge kwa muda mferu kwa kuwapiga chenga wezi (kujenga bwawa la umeme) walioweka mijira ya kinyonyaji (gesi). Wezi wanaweza kuendela kukaa na mabomba yao lakini watanzania hawata walipa hata senti moja.
 
Back
Top Bottom