Hivi ukimkata mtu kama Lembeli na Bulaya utakua unatumia akili kweli? Hebu tuwe wawazi badala ya kuongea kimahaba mahaba tu na chama chetu.kule wameenda kuchukua majimbo tu baada ya kuona alama za kukatwa na Ccm, kama wasira alivyofanya miaka ya nyuma lakini baada ya hapo mbona alirudi mwenyewe.
Kwa jinsi nilivyomuelewa mtoa mada ni kwamba, huo uhamiaji unaweza ukawa na hidden issue ndani yake ambayo huenda ikawa ni detrimental kwa wanao wapokea. Umakini mkubwa sana unahitajika ktk kuwapokea wakimbizi, kwani ccm huenda wakaitumia hii opportunity kupenyeza mamluki watakaokuja kufitinisha na kuzuia harakati kusonga mbele. Ila ukilitizama kwa haraka haraka ni rahisi kujibu "ULITAKA WAENDE WAPI...CUF,UDP AU TADEA?" Kama ambavyo baadhi wamejibu.Binafsi sioni ata umuhimu wa chadema kuwapokea hao ma ccm kwasababu waweza kuja kuwa ndo wasaliti wao wazuri. Na pia kama ccm ndo mafisadi, wanapohama ufisadi wanamwachia nan??. Chadema kuweni makini coz hao wahamiaji naamini wanakuja baada ya kupoteza tumaini lao😀
Ccm imetudanganya sana na sasa tunasema basi
Huwezi kuwa mkimbizi kutoka Burundi ukaenda Sudani,Somalia, Rwanda au Congo......lazima uende mahali palipo salama na uhakika wa maisha tofauti na ulipotoka......tukirudi kwenye siasa zetu Tanzania kwa sasa CHADEMA pekee ndio mahali salama na kimbilio la wanyonge.
Kuwe na mkono wa mtu au mguu wa mtu ula ukweli ni kuwa ukiwa ndani ya CDM upo mahali salama.
Tunakusubiri na ww Mzee wa Lumumba.
Kuna ishara tosha ya mabadiliko makubwa kutokea katika nchi hii na Chadema kimekuwa kinara wa mabadiliko haya ndiyo maana kimekuwa na mvuto mkubwa
Kweli chadema mmeamuwa kuwatukana watanzania. Leo hii majambazi waliotoroka ccm mnawaita wanyonge ,kwamba eti chadema ni kimbilio la wanyonge kama hilo genge la lowassa? Asante sana
bado ambao tutakisurubu kimya kimya bila kuhama ndio balaa, sharti la kuua panya ni lazima uingie ndani.
wangeenda kafu ila ile chama haitabiriki
sitaki nataka
Kwa jinsi nilivyomuelewa mtoa mada ni kwamba, huo uhamiaji unaweza ukawa na hidden issue ndani yake ambayo huenda ikawa ni detrimental kwa wanao wapokea. Umakini mkubwa sana unahitajika ktk kuwapokea wakimbizi, kwani ccm huenda wakaitumia hii opportunity kupenyeza mamluki watakaokuja kufitinisha na kuzuia harakati kusonga mbele. Ila ukilitizama kwa haraka haraka ni rahisi kujibu "ULITAKA WAENDE WAPI...CUF,UDP AU TADEA?" Kama ambavyo baadhi wamejibu.
Ni mtazamo tu
namshukuru mwanzilishi was jf. maana imekua shamba darasa kwangu
swadata kabisaaa, kwa sumu yoyote yule hadi aache kula kila akionacho.Haki ya panya ni kuuawa
Huyo lowasa unaye muita mwizi hadi leo yupo mwanachama hai ndani ya chama chenu ccm,kwanini hamjamfukuza?au unataka kutwambia kuwa ccm ni chaka la kuwahifadhi wezi?naomba majibu yako