Kwanini iwe CHADEMA tu? Kuna mkono wa mtu, Si bure!

Kwanini iwe CHADEMA tu? Kuna mkono wa mtu, Si bure!

Huwezi kwenda sehemu ambayo hata atakayekupigia kampeni kutoka ngazi za juu hafahamiki. Ukiwa CHADEMA huna sababu ya kujitambulisha sana maana ukisema vyama vya upinzani usipotaja CHADEMA bado hujakamilisha upinzani.
 
kweli kabisa chadema ni chama ambacho kinaonesha matumaini . na maana ya vyama vingi ndio hii! lazima watu watafute mabadiliko. kwann tuangalie chama kimoja kama tuna vyama vngi?!
 
Huwezi kuwa mkimbizi kutoka Burundi ukaenda Sudani,Somalia, Rwanda au Congo......lazima uende mahali palipo salama na uhakika wa maisha tofauti na ulipotoka......tukirudi kwenye siasa zetu Tanzania kwa sasa CHADEMA pekee ndio mahali salama na kimbilio la wanyonge.
Kuwe na mkono wa mtu au mguu wa mtu ula ukweli ni kuwa ukiwa ndani ya CDM upo mahali salama.
Tunakusubiri na ww Mzee wa Lumumba.

Huo ndio ukweli husio na chembe ya ki nazi
 
Kwa sababu CHADEMA ni chama ambacho kinakubalika na Watanzania wengi hata wale walio ndani ya CCM. Ni chama ambacho kinaaminiwa kwamba kina uwezo wa kuchukua madaraka nchini na kulinda maslahi ya Watanzania na pia kuleta maendeleo ya kweli kwa Watanzania wote. Karibuni CHADEMA ili tuikomboe nchi yetu toka kwa hawa wahuni na mafisadi.
 
Kwa sasa tunasubiria mahafahari waendelee kupigana ndiyo sisi wanyonge tutakuja..
 
"SITAKUWA NA HAYA NA MTU AMBAYE HATATEKELEZA MAJUKUMU YAKE KWA UMAKINI PINDI NITAKAPOPATA RIDHAA YA KUIONGOZA NCHI HII"

Nadhani kauli hiyo unafahamu imetolewa na nani....hivi kwa kauli hiyo unadhani wale wanaojifanya viongozi bila kuwa na impact lazma waondoke, sishangai kuona wanaondoka,,,watoto wa mjini wanasema TINGATINGA linakuja lazma watu watafute pa kwenda,,,ila wenye kujielewa watabak huko waliko

Tumeshazoea kauli za viongozi wetu pindi wanapotafuta ridhaa kuongoza wananchi.Hayo ni maneno tu mdomoni,mbona alishindwa kukemea akiwa kwenye baraza la mawaziri miaka 20?
 
"SITAKUWA NA HAYA NA MTU AMBAYE HATATEKELEZA MAJUKUMU YAKE KWA UMAKINI PINDI NITAKAPOPATA RIDHAA YA KUIONGOZA NCHI HII"

Nadhani kauli hiyo unafahamu imetolewa na nani....hivi kwa kauli hiyo unadhani wale wanaojifanya viongozi bila kuwa na impact lazma waondoke, sishangai kuona wanaondoka,,,watoto wa mjini wanasema TINGATINGA linakuja lazma watu watafute pa kwenda,,,ila wenye kujielewa watabak huko waliko

Labda tingatinga la kubomoa migodi ya wazalendo na kuwakabidhi wawekezaji
 
Nafikiri tatizo lililolipotiwa sio kudanganya CV, ila kudanganya kwamba anaumwa na kuendelea kulipwa mshahara wakati tayari ameacha kazi. Mbaya zaidi yeye ni kiongozi wa nchi. Sasa mimi nilidahni Kikwete alifanya home yake vizuri katika kuteua timu yake, lakini kwa kashfa hii inaonekana uteuzi wake una walakini. Kumbuka huyu ni kiongozi wa pili kuibuka na udanganyifu ukiacha wale waliodanganya PhD zao!

Exactly
 
"SITAKUWA NA HAYA NA MTU AMBAYE HATATEKELEZA MAJUKUMU YAKE KWA UMAKINI PINDI NITAKAPOPATA RIDHAA YA KUIONGOZA NCHI HII"

Nadhani kauli hiyo unafahamu imetolewa na nani....hivi kwa kauli hiyo unadhani wale wanaojifanya viongozi bila kuwa na impact lazma waondoke, sishangai kuona wanaondoka,,,watoto wa mjini wanasema TINGATINGA linakuja lazma watu watafute pa kwenda,,,ila wenye kujielewa watabak huko waliko

Hujitambui wewe bila shaka???;->;-> kwenye mikutano yake kila kukicha ni kumsifia kikwete raisi alieshindwa afu leo hii uniambie yeye awe tinga tinga
 
Mbowe aliwahi sema milango ya chadema imefungwa sasa hawa wanapitia madirishani? au alisahau kutoa funguo au maharamia yametumia "funguo Malaya" Slaa na Lisu watapata wapi ujasiri wa kukemea ufisadi wakati ndo yamejazana huko baada ya kukata ccm?
Ni fisadi gani aliekatwa CCM na akahamia CHADEMA? Nitajie walau mmoja tu! Mmoja tu!
 
Mkuu, unataka kusema wote wanaohama ccm kwenda CHADEMA ni mamluki wanakwenda kwa kazi maalum ya kuchinja, kuiba na kuharibu mabadiliko?

Kwamba watakapogombea kupitia CHADEMa watafanya makusudi ama kuharibu form ili wawekewe pingamaizi? Kwamba watajichelewesha kurudisha forms ili wajifanye kushituka muda umepita ili ccm wapite bila kpingwa? Au watajitoa dakiks za mwisho kwa sababu mbali mbali ili chadema isiwe na mgombea?

Kwamba watakuwa wakipiga kampeni za hapana kwa CHADEMA kisirisiri?

Kwamba watakuwa wanatafuta taarifa na mikakati ya CHADema na kuipeleka Ccm ili ccm wawe na taarifa kamili kusudi wakamilishe uhaini na ugaidi wao?

Kwamba watakuwa makada kwenye kura halafu wauze number kwa ccm?

Au shida kubwa unayoiona ni nini? Kama ni haya CHADEMA wanafahamu katika msafara wa mamba na kenge wamo. Hili wamejiandaa. Ila kama unatahadhari nyingine, naomba uweke bayana!.

Or else ccm bye bye!

Tumeshatunga nyimbo.

CCm ilizaliwa visiwani Zanzibar, Sherehe za kwanza mkoani Dodoma.

Kilikufa kule Magogoni, mazishi yake yakafanyika kule CHATO mkoani geita.

Kitakumbukwa kwa kudidimiza maisha ya Watanzania, kuimarisha rushwa na ufisadi.

Zaidi sana kitakumbukwa kwa uvunjaji wa katiba ya nchi, mauaji ya raia wasio na hatia,

Matumizi mabaya ya raslimali za uma na madaraka.

Upendeleo na ubaguzi.

Ccm ulikuwa nasi katika raha, na katiba tabu ulitupeleka na kutelekeza.

Mafisadi walikupenda, lakini shetani amekupenda zaidi.

Kwa heri ccm. Ulale kwa pasipo amani.
 
maumivu ya kichwa huanza pole pole ...maumivu ya kizidi muone daktari
 
Back
Top Bottom