cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,336
sija hemkwa ila huo ndo ukweli wangu sionagi jipya kwenye hyo mitandao hata comments za mle huona akili ndogo nyingi aiseeSikuchukulia kama dhambi mdogo wangu, ila kwa upeo wako katika mijadala niliona umehemkwa zaidi ya kuongea facts.