Kwanini Instagram na Facebook bado wanamlilia Magufuli?

Sikuchukulia kama dhambi mdogo wangu, ila kwa upeo wako katika mijadala niliona umehemkwa zaidi ya kuongea facts.
sija hemkwa ila huo ndo ukweli wangu sionagi jipya kwenye hyo mitandao hata comments za mle huona akili ndogo nyingi aisee
 
Matabaka yapo tangu enzi za king Daudi, Hadi wakati wa Yesu na matabaka hayatakaa kamwe yaishe mpaka mwisho wa ulimwengu, so hata kwa huyo mwendazake nothing new, maana wanyonge hawajui kesho zao, katunga misheria katandamizi huko bodi ya mikopo waliokuwa wanalipa kaamua kukomoa kabisa. So unaposema matabaka sijui wewe unaangalia angle gani ndugu
Inawezekana wewe hutoki tabaka hilo ndiomana huwezi kuona mateso na manyanyaso waliokuwa wakiyapata wananchi wa hali za chini na hivyo huwezi kuona ni kwa kiasi gani JPM aliweza kupambana na kuleta ahueni kwa wahanga.
Hizi hoja zako ukizipeleka huko kwenye mitandao unayoita ya wasio na akili ndio utajua kuwa haujui ulisemalo kwa jinsi utakavyoshukiwa na hasira zao kwa kubeza jitihada za JPM.
Na amini nakwambia,sasahivi wananchi hawatopata tabu kumjua kiongozi bora kupitia tu legacy na falsafa ya uncle Magu,Watakuhukumu mapema sana usipoenda sawa na matarajio yao.
 
Mbona hujaleta na comments za watu za kumpongeza na kumkubali mama yetu zilizopo hapo instagram kwa millard ayo?
Au ulijikita zaidi kwenye maombolezo?
 
Sawa endeleeni na matusi yenu nyinyi si mnajua kuongea sana. Ila mjue wananchi sio wajinga wanamjua mbaya kwao na mzuri kwao. Magufuli kawafanyia mengi mazuri haya matusi ya kumuita fisadi yatawahukumu siku moja.
Tena yeye katawala miaka mitano tu .
Rekodi yake ya mazuri tunayo,
Japo hakufanya peke yake, lakini kwa kuwa alikuwa nap wamemgeuka , kwamba hawakuwa nae kiakili Bali kimwili tu , wakafanya nae kazi Kama maroboti(sifa mbaya kabisa kwa kiongozi wa umma), sasa nao Wana karibia miaka mitano, tuwachukue rekodi, tutalinganisha na hizi za marehemu, Kisha tutajua, wizi au ufisadi wa marehemu umerusaidia Nini, na uaminifu na utakatifu wao umerusaidia Nini ..
Majibu April 2026..
 
Ni kweli, tabaka kubwa la wapiga kura wa nchi hii ni huko Instagram na Facebook ambako pia ndipo linapopatikana tabaka kubwa pia la wananchi wenye upeo mdogo sana wa kufikiri.
Bado tuna safari ndefu kama nchi.
wewe kweli🐒 kuwa jf unajiona bonge la msomi na mjanja zaidi kwa taarifa yako tu jf inawatumiaji chini ya idadi ya watu 10000, na watumiaji wake ni kuanzia miaka 15 nakuendelea
 
Kwan hujui Facebook na Instagram ndio mitandao ambayo asilimia kubwa waliomo humo ni vilaza? Kwanza mm msichana akiniambia nina account Facebook nam delete kabisa

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Sisi vilaza ndo tunaohotaji kuongozwa.
Wewe unahisi unahitaji kuongoza, ila huna credibility.

Mathayo 9 :12
" Naye aliposikia, aliwaambia, Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio hawawezi. "
 
Back
Top Bottom