Madam vivian original
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 503
- 990
- Thread starter
- #41
Ha ha ha umenifurahisha mkuu, mm sijasoma SNA mwaya, ila hata ningesoma ningemuheshimu sababu na kumtii mbona wapo baadh ya wasomi wanaheshimu na kurinda ndoa zao.
Sio wasomi wote ni baadhi yao tu
Sio wasomi wote ni baadhi yao tu
Bahati yako wewe siyo msomi halafu ni tegemezi......kinyume cha hapo hakuna mtu angekuoa