Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,319
- 4,352
Mnanipa mawazo wakuu 🤔😕wanawake wengi 70% wakisoma wanajiona ma superior wanakuwa na dharau sana.
mpka huwa nashangaa sijui wanakwamaga wapi?
Mnanipa mawazo wakuu 🤔😕wanawake wengi 70% wakisoma wanajiona ma superior wanakuwa na dharau sana.
mpka huwa nashangaa sijui wanakwamaga wapi?
Napenda sana comments zako best 😃😃😃Kiburi na ujuwaji vinawaponza.... Wanaume wenyewe hawa kichefuchefu umletee ujuwaji mtawezana?
Sasa napata wakati mgumu maana ninyetarajia kumuoa ana mpango wa kwenda masters md, je atathamini ndoa au ndo ataleta dharau au ujuaji na usuperiority?Hbr za w,keend wakuu
Najiuliza ni kwann wanawake wasomi hawaolewi, mfano: madoctor wakike, mahakimu wakike, wanasheria na hata walimu wengi was secondary hawaolewi shida nn hasa jaman
Nina marafiki zangu, na Dada zangu kadhaa ambao wamesoma lakin hawajaolewa na wanataman wapate waume wa kuwaoa
1) Huyu wa kwa kwanza ni muheshiwa hakimu anaheshimika sna ni jiran angu na best angu, hana mume ila ana mtoto na amezaa na mume wa MTU, nikamuuliza my kulikon unaishi na mume wa MTU anasema ntafanyaje sasa, wanaume wa kututongoza hakuna wengi wao wanatuogopa wanadhan tumeolewa akaniambia pale oficn waheshiwa wote hawajaolewa ni masingle mother tukacheka yakaisha hayo
2) Huyu mwingine ni doctor wangu specialist kabisaa wa mambo ya wanawake lakin hajaolewa amenunua Pete ya ndoa ameivaa utadhan kaolewa kumbe hajaolewa, ktk story story anasema hajaolewa na ana watoto wake wawili kamaliza, anakula maisha kinikamuuliza VP haumiss kuwa na familia anasema nataman hata kesho lakin tunaogopeka wanatuona high class.
Hao ni baadhi tu ambao nawafaham, ninakutana nao kwenye vikoba na kanisan ni wengi na wanamaisha mazuri najiuliza shida ni nn mbona warembo na wanaonekana wife material kakazangu mnakwama wapi,
Kwakweli namshukuru Mungu niliolewa cjui namm ningekua kwenye hz stress.
Shida nn wanawake wasomi hawaolewi wanaishia kuwa single mother's. Wapo wengi humu tujadili tuweze kuwasaidia Dada zetu wanakwama wapi.
Mungu azidi kukuongezea hekima mamangu. una upeo mkubwa sana na jamaako anafaidi sana.Sababu ni nyingi,
Wengi wajuaji
Wanataka mwanaume awe 100% perfect
Masharti mengi katika mahusiano
Duh,Sababu ni nyingi,
Wengi wajuaji
Wanataka mwanaume awe 100% perfect
Masharti mengi katika mahusiano
Kama anakuheshimu na wewe unaona haigizi n ni mkweli.. hakuna shidaHii mojawapo ya sababu za kutokuoa wanawake waliosoma. Binafsi natarajia kujilipua nioe dem wangu huyu shida tunatofautiana kiwango cha elimu. Nawaza tu kama ataendelea kuniheshimu au ndo tutaona makucha baadae?
Amen na asante mkuuMungu azidi kukuongezea hekima mamangu. una upeo mkubwa sana na jamaako anafaidi sana.
Ah wapi mkuu, nawish sana kuoa mwanamke msomi kwa sababu sikupata privilege ya kusoma kuwa msomi kama yeye. Suala lipo kwenye tabia na mwenendo.Waoaji hawataki argument
Hawaolewi kwa sababu wanaume wana hofu ya kuoa wanawake wa hivyo wakihofia kutawaliwa.
Cc. Lizarazu
Bahati yako wewe siyo msomi halafu ni tegemezi......kinyume cha hapo hakuna mtu angekuoaHbr za w,keend wakuu
Najiuliza ni kwann wanawake wasomi hawaolewi, mfano: madoctor wakike, mahakimu wakike, wanasheria na hata walimu wengi was secondary hawaolewi shida nn hasa jaman
Nina marafiki zangu, na Dada zangu kadhaa ambao wamesoma lakin hawajaolewa na wanataman wapate waume wa kuwaoa
1) Huyu wa kwa kwanza ni muheshiwa hakimu anaheshimika sna ni jiran angu na best angu, hana mume ila ana mtoto na amezaa na mume wa MTU, nikamuuliza my kulikon unaishi na mume wa MTU anasema ntafanyaje sasa, wanaume wa kututongoza hakuna wengi wao wanatuogopa wanadhan tumeolewa akaniambia pale oficn waheshiwa wote hawajaolewa ni masingle mother tukacheka yakaisha hayo
2) Huyu mwingine ni doctor wangu specialist kabisaa wa mambo ya wanawake lakin hajaolewa amenunua Pete ya ndoa ameivaa utadhan kaolewa kumbe hajaolewa, ktk story story anasema hajaolewa na ana watoto wake wawili kamaliza, anakula maisha kinikamuuliza VP haumiss kuwa na familia anasema nataman hata kesho lakin tunaogopeka wanatuona high class.
Hao ni baadhi tu ambao nawafaham, ninakutana nao kwenye vikoba na kanisan ni wengi na wanamaisha mazuri najiuliza shida ni nn mbona warembo na wanaonekana wife material kakazangu mnakwama wapi,
Kwakweli namshukuru Mungu niliolewa cjui namm ningekua kwenye hz stress.
Shida nn wanawake wasomi hawaolewi wanaishia kuwa single mother's. Wapo wengi humu tujadili tuweze kuwasaidia Dada zetu wanakwama wapi.
Lakini wazazi wanawasomesha mpaka kufika hizi levels za usomi OG. Wakubaliane na consequences tuNo man in his right state of mind will ever make a move to a woman who has already lost her femininity and asking for marriage! hayupo.
Hao wengi wao ni wanaume wenye jinsia ya kike acha waishi wenyewe.
Hata binti yangu nitamwambia kabisa, akiruhusu usomi wake ukamuondolea uanamke wake shauri lake.
Ni kweli mkuu hata vitabu vya dini, vinasema Mwanamke amtii mume wake kwahiyo haijarishi Mume boda boda, mwanamke daktar lazima ajishushe tu na amtii mumewe.Mwanamke mzuri bana awe anamtii mwanaume wake. Which is contrary kwa wengi wa hao waliosoma
Kumbe ile ndoa na jr ili betri lowKumbe ndio maana sijaolewa mpaka Leo ngoja niache kazi
Hakuna kitu. Mi wa kwangu alisema hivyohivyo kabla sijamuoa...kwa ajili ya watoto nikamvumilia baada ya miaka zaidi ya kumi ...akawa anaota mapembe kila kukicha nikaona isiwe tabu ndoa nikaipiga chini sababu mwisho tungegawana majengo ya serikali yaani jela na monchuwari bora tutengane tuwe hai tulee watoto....msomi mwanasheria unategemea nini?Ni hofu tu ya wanaume wengi kuhisi watatawaliwa lkn sio kweli kwani mwanamke anaejitambua hutofautisha kazi na mume.